basata

Ras Burqa, (“head of the blessing” in Ararbic) is a small bay on the Red Sea in the district of Nuwaiba, Egypt.
In 1985, Suleiman Khater, a lone Egyptian assailant, perpetrated the Ras Burqa massacre killing eight people.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania BASATA ingilieni kati suala la hakimiliki za biti kuondoa uchawa wa Maproducer

    Sasa BASATA mnafanya kazi nzuri kuzuia au kupunguza unyonyaji wa wasanii, Sasa Kuna inshu kubwa ya hao mnaowatetea pia hao ni wanyonyaji wakubwa Sana wa Maproducer, yaani producer wamebaki chawa, ifwatwe Sheria biti ibaki Mali ya producer na Kama diamond akiuza stream mil 10 basi na lizer apate...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Innocent Bashungwa: BASATA haitafanya kazi za Kipolisi

    SERIKALI imesema kuwa kutokana na kuwepo kwa ugonjwa wa Korona Wasanii wanaojisajiriwa na BASATA sasa watatumia mfumo wa Kidigitali badala ya kufika moja kwenye taasisi hiyo ili kupunguza kuenea kwa maambukizi ya Korona nchini. Kauli hiyo ya Serikali imetolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka: BASATA waingilia kati sakata la Miss Tanzania aliyevuliwa taji

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limewaita Kamati ya Miss Tanzania pamoja na na Miss Tanzania 2020/21 ambaye amevuliwa taji hilo, Rose Manfere. Kwa mujibu wa taarifa ya Kaimu Katiba Mtendaji wa Basata, Matiko Mniko, iliyotolewa leo Jumatano Julai 14, 2021 Kamati pamoja na mrembo huyo...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Jiwe baada ya Jiwe: BASATA isipoingilia hii vita ya hizi lebo 3 Wasanii wengine 3 watasahaulika

    Naona kina baraka prince, Nay wa mitego na wengine wmetoa kazi zao ila kwa hizi fujo zinazofanywa na WCB, Konde ganf na kiba wasanii wengine wanapata wakati mgumu sana kuvuma. Rapcha kutoka bongo records alivuma na Lisa ila hii vita ya vigogo ilipoanza katupwa
  5. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz mziki sasa inatosha, kastaafu kwa heshima ukimbilie kwenye siasa

    Habari wanabodi, Ushauri kwa ndugu yetu Diamond Platinum naona sasa taa nyekundu kwake imeanza kuwaka ni kiashiria kwamba mwisho wa muziki wake umekaribia au kama sivyo basi anatakiwe akaboost kidogo mambo kwa babu, itakuwa alijisahau huwa watu wana renew kwa babu kila mwaka. Kwa sasa naona...
  6. The Boss

    JamiiForums Tanzania BASATA kwanini hawazigusi nyimbo za singeli?

    Kuna matusi mengi mno kwenye singeli.. Why BASATA hawagusi hizi nyimbo? 'kalia chupa..kasema kalia chupa' 'mke wangu nenda kadange' 'ntafutie madanga' 'nikipata mzungu nampeleka kwa mpalange' Mimi sio sio msikilizaji wa singeli lakini hayo matusi nimeweza sikia few times nikisikia hizo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania BASATA, huu wimbo wenye maneno "dela jipya, chupi la zamani", haudhalilisha wanawake, na kwanini msiupigie marufuku?

    Wadau, kwa wale mliosikia huu wimbo, maneno hayo kweli yanafaa kutumiwa kwa wimbo unaopigiwa katika vituo kama vya radio, kwenye daladala na sehemu nyingine za public? Binafsi maneno hayo naona yana ukakasi na hivyo nashauri huu wimbo upigwe marufuku na ufanyiwe marekebisho ndio uruhusiwe...
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania BASATA, barua za kiofisi haziandikwi hivi

    Sina shida kuhusu kumpigia campaign Diamond, kila mtu atachagua mtu wake wa kumpigia! Shida yangu iko kwenye uandishi wa barua za kiserikali kuwekwa picha ya MTU na Katibu akaisaini kabisa. Huu uandishi haukubaliki na naomba isijirudie tena.
  9. S

    JamiiForums Tanzania BASATA wamempongeza Diamond kuteuliwa kushiriki tuzo za BET

    Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima. Cha kushangaza katika tamko lao ni kuweka picha ya Diamond katika hilo tamko na sijui kama ni sahihi...
  10. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga: BASATA ni Baraza la Sanaa la Taifa, sasa hivi limegeuka ni Mahakama ya Sanaa ya Taifa

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga, amesema asilimia kubwa ya Wasanii wa Tanzania wamejipambania wenyewe bila msaada wowote wa Vyombo vinavyotakiwa kuwasadia lakini Baraza la Sanaa (BASATA) linafanya urasimu kwenye kazi zao Ameongeza kuwa, Sheria zilizopo BASATA ni za kikoloni ambazo zimejikita...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kwa TANESCO sawa, kwanini sio kwa BASATA na TCRA?

    Hongera Mh. Kalemani kwa kuwawajibisha watumishi ambao aidha wamehisika kusababisha usumbufu au vyovyote vile. Pia Mh. Kalemani amekua muungwana kwa kuwaomba radhi Watanzania kwa usumbufu uliojitokeza. Wakati huohuo waziri mkuu ameenda mbali zaidi kwa kutoa maagizo kwamba wakae pembeni wapishe...
  12. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Unafahamu 21% ya waajiriwa wanatakiwa kuwa Wazanzibar?

    HaBari Wakurugenzi! Kuna mambo ya Muungano wengi wetu tulikuwa hatujafundishwa shuleni lakini kitaa sasa ndio tunajifundisha. Mfano hili la ajira zinazotolewa na JMT Wazanzibar wanatakiwa kupata mgawo wa asilimia 21 na Serikali ya Zanzibar inaandaa kanzu data na kuhakikisha wale wanaohitimu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri BASATA wasanii wetu kazi zao ni za kimataifa sio Tanzania pekee

    Ushauri wangu kwa Basata ni huu kazi za wasanii sio za Tanzania pekee na hamuwezi kukaa vikao bila kuelewa hilo. Usanii ni biashara ambayo serikali inanufaika kwa ubunifu sasa cha ajabu ni watu kuwa katikati na kutaka kuwaeleza wabunifu etu wabuni vipi!. Dhana ya hiki chama ni kusaidia kusiwepo...
  14. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania BASATA wana nguvukazi ya kutekeleza azimio/uamuzi wao?

    Nimesikia redioni na kusoma mitandaoni kuwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wameazimia na kuamua kuzipitia kazi zote za kisanaa za wanamuziki zikiwa kwenye sauti tupu (audio) au sauti na picha (video) kabla ya kuchezwa kwenye vyombo vya habari na burudani. Nimesikia na kusoma kuwa kila wimbo...
  15. BAVICHA Taifa

    JamiiForums Tanzania BAVICHA: Tumesikitishwa na tunalaani kitendo cha BASATA kuufungia wimbo wa ‘MAMA'

    Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) tumesikitishwa na tunalaani kitendo cha Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA) kuufungia wimbo uitwao ‘MAMA’ ulioimbwa na Msanii wa Mziki wa Kizazi Kipya, Emmanuel Elibariki (Ney wa Mitego). Mbali ya kuufungia wimbo huo, Basata limemwagiza kusitisha mara moja...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ney wa Mitego aanza mchakato wa kujiondoa BASATA, asema atasambaza muziki wake Mitaani

    Hii ni baada ya masharti ya hovyo ya Sheria za Basata za kuruhusu wimbo upigwe redioni ama uonyeshwe kwenye TV . Ney amesema atatunga na ataimbia mitaani na ikiwezekana atasambaza mtaa kwa mtaa mwenyewe .
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania Mbunge na Mwanamuziki, MwanaFA apinga sheria mpya ya BASATA ya kutaka kusikiliza nyimbo kabla ya Msanii kuipeleka redioni. Asema ni ya ‘kidwanzi’

    Mbunge wa Muheza, Hamis Mwinjuma ambaye pia ni mwanamuziki maarufu wa Bongofleva ‘MwanaFA’ ameipinga vikali sheria mpya iliyowekwa na BASATA. Sheria hiyo inamtaka msanii kupeleka kwanza nyimbo BASATA ikasikilizwe kabla ya kuipeleka kupigwa redioni. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika...
  18. Chaliifrancisco

    JamiiForums Tanzania BASATA Kuanza Kuhariri Nyimbo za Wasanii Bongo.

    Kuanzia tarehe 1 Mei 2021 BASATA wanaanza kutumia rasmi kanuni ya kuzipitia/kuchuja nyimbo mpya za Wasanii wote Tanzania kabla ya kupelekwa kwenye vituo vya Radio/TV “hii sio sheria mpya, ilikuwepo kabla ila haikua imeanza kutekelezwa, wimbo ukipitishwa Msanii anapewa cheti” Chanzo...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Gharama za kujisajili BASATA kwa Msanii/Promota

    Gharama za usajili ni kiasi cha Tsh. 75,000/- ambapo fomu hupatikana kwa Tsh. 5, 000/-, Usajili 30,000/- na kibali cha kila mwaka 40,000/- Kwa upande wa Studio na wakuzaji wa Sanaa (Mapromota) gharama ni sawa na za Msanii isipokuwa tofauti huwa kwenye kibali, wao hulipa kiasi cha Tsh. 200,000/-...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujisajili BASATA kwa ajili ya kufanya sanaa

    Msanii anaweza kupata fomu ya usajili mtandaoni kwa kuingia www.basata.go.tz au kwa maafisa Utamaduni wa Wilaya na baadaye kujaza fomu na kuziwasilisha BASATA zikiwa zimeambatanishwa na wasifu binafsi (CV) wa Msanii husika
Back
Top Bottom