basata

Ras Burqa, (“head of the blessing” in Ararbic) is a small bay on the Red Sea in the district of Nuwaiba, Egypt.
In 1985, Suleiman Khater, a lone Egyptian assailant, perpetrated the Ras Burqa massacre killing eight people.

View More On Wikipedia.org
  1. maroon7

    JamiiForums Tanzania BASATA wanaendaga beach za wapi?

    Wakuu ishu ya BASATA na Wavuvi Kempu imeniacha na maswali najiuliza hawa BASATAwanaendaga beach za wapi hadi washangae bikini ufukweni. Kuna beach watu hawavai bikini? Tena bora hata wavuvi camp watu wote ni watu wazima hakuna watoto,ukienda pembeni tu beach za bure watu wanapiga bikini na kuna...
  2. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania BASATA, kosa la Dulla Makabila ni lipi akionesha Mchungaji akihukumiwa kwenda moto wa milele?

    Katika wimbo wa Dulla Makabila wa Pita huku, kaelelezea hukumu ya adhabu ya moto wa milele. Kwamba hukumu hii inaweza kumpata yeyote kutegemea na matendo yake maovu aliyoyafanya hapa Duniani. Haidhalilishi wadhifa aliokuwa nao hapa Duniani. Kaonesha daktari, mchungaji na watu wengine mbali...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Anjella wa Harmonize naye aenda BASATA kudai haki zake

    Bundi bado ametua kwenye lebo ya Konde Music, ndivyo unavyoweza kusema baada ya msanii kutoka lebo hiyo, Angelina Samson, maarufu Angela naye kuwasilisha malalamiko Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), akidai waachane naye rasmi. Madai ya Anjela kuachana na lebo hiyo rasmi badala ya ilivyo sasa...
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ni wajibu wa msanii kuwasilisha wimbo wake Basata kabla hajautoa au sheria inasemaje?

    Hili limekuwa linanitatiza sana je utaratibu unasemaje Kuhusu hili? Je msanii anaweza kutunga tu wimbo wake na akaurusha tu bila kuruhusiwa na mamlaka hii? (BASATA) na endapo msanii atafanya hivyo kiholela ni adhabu gani anaweza kukumbana nazo.
  5. Slowly

    JamiiForums Tanzania Anjela anajihangaisha Tu pale BASATA

    Taarifa zilizopo ni kuwa Anjela yupo Basata akipambana angalau kupata haki yake, hata hvyo mshale unaonekana atashindwa tuu, mana Harmonize hajatangaza kumfukuza kama alivyowafukuza wengine, pamoja na Yule mlamba mdomo yeye aliamua kukimbia kimya kimya. Harmonize amemwambia Anjela Yuko huru...
  6. sanalii

    JamiiForums Tanzania BASATA wapige marufuku wadada kucheza kwa kuinama wakitingisha makalio

    Imekua kero sana, nyimbo nyingi lazima wadada wainame mfano wa kuchuma mboga au walale mfano wa chura kisha wanatingisha makalio, huu ni udhalilishaji na kuchochea mmomonyoko wa maadili, kingine hizi nyimbo zinatumika katika mabasi ya mkoani, imekua tabu ukiwa na watu unaowaheshimu. Kutafutwe...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Killy na Cheedy wamshtaki Harmonize BASATA

    Baada ya Harmonize kavunja mkataba wa Cheedy pamoja na Killy chini ya Label yake ya Kondegang baada ya kufata pendekeza la Manager wake Kajala Masanja. Cheedy na Killy wameenda Basata kudai fidia ya kuvunjwa mkataba wao ambapo wanatakiwa kulipwa kila mmoja million 10 na label ya Kondegang kama...
  8. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Macheyeki: BASATA iifungulie Mara Moja Wimbo wa Ney wa Mitego

    JUZI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA,) ilivitaka vyombo vya Habari vya kielektronic hususan redio Tv na mitandao ya kijamii kutoutumia wimbo wa msanii wa Kizazi Kipya Emanuel Elibariki(Ney wa Mitego) walioutaja kwa jina la Tozo, wakieleza kuwa wamepokea taarifa kutoka baraza la Sanaa la...
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania WCB Wasafi kusaini wasanii wapya wawili, mashahidi wao watatoka BASATA na COSOTA

    Huu ndio utaratibu mpya wa recording label namba moja Africa. Japo hauwezi kuzuia watu wabaya kuwarushia maneno ila utapunguza wachimba chumvi kutema nyongo zao. Kwa sasa kupata nafasi WCB Wasafi linakuwa ni jambo la kitaifa. WCB for life baby! === Alichoandika Babu Tale.... Hivi karibuni...
  10. Wand

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

    Najiuliza hiv inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hivi anadhani mikataba inaweza kuvunjwa kirahisi tu na BASATA. Afate masharti ya mkataba basata hawataweza msaidia Kitu. Ajifunze Kwa Harmonize mwenzake hakuhangaika na BASATA...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rayvanny ampeleka Diamond BASATA

    Najiuliza HIV inakuaje msanii Kama Rayvanny ameshindwa kumalizana na Diamond hadi kaamua kumpeleka Diamond BASATA. Hiv anadhan mikataba inaweza kuvunjwa kirahis tu na basata. Afate masharti ya mkataba basata hawataweza msaidia Kitu. Ajifunze Kwa Harmonize mwenzake hakuhangaika na basata alilipa...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania TCRA, BASATA zafungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz ft Zuchu - "Watasubiri Sana"

    Mamlaka ya wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeufungia video ya wimbo wa Diamond Platnumz na Zuchu unaoitwa "Watasubiri Sana' baada ya kupata taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuwa wimbo na video hiyo inaleta ukakasi kwa waumini wa dini na dhehebu fulani. Wimbo huo unafungiwa...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Basata Yampiga Stop Steve Nyerere

    Baraza la Sanaa (BASATA) limesema kuwa Msemaji wa Shirikisho hilo aliyeteuliwa, Steven Mengere asianze kutekeleza majukumu yake hadi hapo itakapoamuliwa na Baraza hilo. BARUA YA BASATA KWA KATIBU MKUU (FID - Q) WA SHIKISHO LA MUZIKI Tafadhali rejea somo tajwa hapo juu. Baraza la Sanaa la...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri aagiza BASATA kushughulikia mgogoro wa uteuzi wa Steve Nyerere na Wasanii

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mohamed Mchengerwa, leo Jumanne Machi 22, 2022 amemwagiza Katibu Mkuu wa wizara hiyo kulitaka Barasa la Sanaa Tanzania (BASATA) kuwaita viongozi wa Shiriko la Muziki Tanzania kuhusu mgogoro unaoendelea wa Steven Nyerere kuteuliwa kuwa msemaji kisha...
  15. Tea Party

    JamiiForums Tanzania BASATA waweka wazi Nominations za Tanzania Music Awards. Ali Kiba Aongoza

    Wakuu habari za muda huu. Jana usiku BASATA waliweka wazi nominations za tuzo za Tanzania Music Awards kwa mwaka huu. Vipengele ni vingi na wasanii pia ni wengi, walioongoza kwa nominations nyingi ni pamoja na Ali Kiba akifuatiwa na Professa Jay kisha Nandy na Harmonize. Wasanii ambao watu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania BASATA yasajili makumi ya Wasanii Dodoma

    Baraza la sanaa Tanzania BASATA limeendelea na uhamasishaji wa Wasanii Kujisajili kwenye mfumo wa Usimamizi Taarifa za Msanii 'Amis' pamoja na kuwasaidia Washiriki kujisajili kwenye Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) waliokua na changamoto za Kimtandao. Akizungumza na Wasanii wa Dodoma Kwanza Afisa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania BASATA huu Wimbo mpya wa Dully Sykes uitwao 'Bigi' mmeubariki kwa Mikono miwili kabisa?

    Napenda sana Mashairi yake yasemayo... Bigi yangu Nene Bigi yangu Pana Bigi yangu Kubwa Bigi yangu Tamu Naona hata Watoto nao wameupenda.
  18. luangalila

    JamiiForums Tanzania BASATA imulike tamthilia za Bongo hazina maadili

    Baraza la sanaa Tanzania niwaombe mzitazame kwa jicho la.umakini ktk muktadha wa maadili ya taifa letu, izi tamthilia za bongo ambazo zina rushwa ktk Pay tv hasa hasa za Dstv, Zile.tamthilia naona zipo nje ya maadili yetu,. Izi story message zao ni MAPENZI MAPENZ . Mavazi yao hasa ya...
  19. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania Bongo Star Search Waache Human Abuse, BASATA na TRCA wawaangalie !

    Nimekuwa naangalia hiki kipindi cha Bongo Star Search karibuni ila Kauli chafu na maneno wanayowapa hawa vijana sio sawa kabisa. Sijajua kama hizi lugha zingeeleweka huko mbele kwa nchi za wenzetu katika ulimwengu uliostarabika. Nimeangalia vipindi vingi sana kama hivi mfano American Idol ...
  20. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kutoka BASATA: Mwongozo Mahsusi wa Uzingatiaji wa Maadili Katika kazi za Sanaa

    Heading inahusika kama ilivyo. Lakini kwa mtazamo wangu hili jambo linaenda kuibua mjadala mkubwa huko mbeleni. Najaribu kuweka link ya rasimu ya Kanuni hizo. Mnaweza kupeleka maoni kabla kisu hakijawekwa ======= Simu: 255 22 2863748 Barua pepe: info@basata.go.tz Tovuti: www.basata.go.tz...
Back
Top Bottom