Ras Burqa, (“head of the blessing” in Ararbic) is a small bay on the Red Sea in the district of Nuwaiba, Egypt.
In 1985, Suleiman Khater, a lone Egyptian assailant, perpetrated the Ras Burqa massacre killing eight people.
Kwa hakika, Tanzania tunaendeshwa na aina mpya ya uongozi—uongozi wa “ada kwanza, fikiria baadaye.” Tanzania tuna viongozi vichwa maji kupita maelezo. Barua ya BASATA inayotaka MC wa sherehe na MaDJ wote kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo Januari 31, 2026 imepokelewa kwa mshangao mkubwa na...
29 Disemba, 2025
Baraza la Sanaa la Taifa kupitia kanuni ya 18.- kifungu (1) (a) na (b) ni msajili mkuu na mtoa vibali vyote vya kufanya kazi za Sanaa na kutoa vibali kwa makampuni, wadau wanaotumia kazi za Sanaa.
Kanuni ya 20 ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa za mwaka 2018, zikisomwa kwa...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekumbusha kuwa, kwa mujibu wa Kanuni za BASATA za mwaka 2018 na Tozo za mwaka 2025, waongoza sherehe, burudani na matukio (MC) pamoja na Manju Muziki (DJ) wanatakiwa kupata vibali vya BASATA kabla ya kufanya kazi za sanaa.
BASATA imeelekeza wahusika wote...
Wakati wasanii wakikaangwa na mashabiki kwa kukosa matamasha na uungwaji mkono kwenye majukwaa ya mitandao ya kijamii, hatuoni BASATA wakifanya juhudi zozote kuwasaidia. Wapo kimyaaaaa, kama vile BASATA imefutwa.
Mpk wadau binafsi kama Majizzo wanachukua hatua ya kuja mbele ya vyombo vya habari...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limetangaza rasmi kuahirishwa kwa hafla ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2025, ambayo mwanzo ilikuwa imepangwa kufanyika tarehe 13 Desemba 2025.
Kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye mitandao ya kijamii ya BASATA, imeelezwa kuwa uamuzi wa kuahirisha...
Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) katika jitihada za kutambua na kurasmisha kundi la vijana na mabinti wasusi na vinyozi limewataka kusajali rasmi na kutambuliwa
BASATA wanasema laZima ziwe kazi rasimi na walipe Kodi Kwa Serikali Kwa kutumia vipaji na sanaa zao za kusuka na kunyoa watu, laZima...
Ningependa kujua kwa nini leseni yangu ya biashara ya vifaa vya ujenzi (hardware) katika Jiji la Arusha (CBD) inahitaji kibali cha BASATA na kwa nini nalipishwa shilingi 50,000/= za ziada?”
Mfumo wa maombi ya leseni za biashara za studio, decoration service n.K zinahitaji kibali cha baraza la sanaa (BASATA), sasa huu mfumo wao unaitwa (AMIS) uko slow na haumalizi hata kujisajili
Basata tunaomba watatue hii kero
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua uamuzi wa kuifutia rasmi Kampuni ya The Look Company Limited leseni ya kuendesha shindano la Miss Tanzania,
Uamuzi huo umetolewa baada ya kampuni hiyo kushindwa kutekeleza maagizo halali ya Baraza licha ya kupewa maelekezo kwa nyakati tofauti kupitia...
Matusi yamekua mengi sana mitandaoni na hao wasanii Wajinga Wajinga wanaojiita kioo Cha jamiii
Nimesikitishwa sana na hii video ya gigy money akiwa ndani ya Gari akiimba na Wenzake nyimbo yenye lugha chafu na zamatusi
Je Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) mnasubiri mpaka mtu ajirekodi...
Katibu Mtendaji Wa Baraza La Sanaa Taifa Kedmon Mapana amesema wimbo wa Mtangazaji Oscar Oscar Jr hautaruhusiwa kupigwa sehemu za wazi, utapigwa kuanzia saa sita usiku na utasikilizwa na watu wazima pekee.
Mapana ameyazungumza hayo baada ya kumuita Oscar Oscar BASATA kujadili mustakabali wa...
Wakuu,
Hili limenishangaza, BASATA inakuwa kama vile mpo kwaajili ya kusumbua wasanii tu na kuwaona wanafeli kwa nguvu zote, yaani kwa miaka yote hii hiki ndio kikubwa Watanzania wanaona mnafanya.
Mtu anaenda club, ambako watoto hawatakiwi kwenda, anaenda kujiachia zake na kula starehe hayo...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limechukua hatua ya kuingilia mvutano unaoendelea kati ya msanii Ibraah na bosi wake, Harmonize, kwa kuitaka pande zote mbili kufika ofisini kwao Jumatatu Mei 12, 2025 kwa lengo la kutafuta suluhu ya mgogoro huo.
Taarifa hiyo ya BASATA inakuja kufuatia mvutano...
Baada ya kutizama kwa kina nyimbo za Diamond Platnumz zilozofungiwa na BASATA, Hallelujah, Wakawaka na nyinginezo sikuona kosa la kimaadili
Miaka ya nyuma BASATA ilichukua uamuzi wa kufungia nyimbo hizo kwa madai ya kuvunja maadili, baada ya kutazama kwa kina sikuona maudhui mabaya, akina dada...
Miaka hii wasanii hawaumizi tena vichwa kuimba nyimbo za kuelimisha wamejikita kuimba nyimbo za burudani tu lakini bado si rafiki kwa vizazi vyetu.
Wanaimba nyimbo wanachanganya wa dini na singeli ndani ya wimbo mmoja.mf Yesu nipeleke kule mbinguni"unachanganywa hii tabia inadhalilisha nyimbo...
Huyu tapeli ana rekodi mbaya kwenye utapeli wa ardhi na madawa ya kulevya. Nawasihi BASATA au Tume ya uchaguzi (NEC) msimruhusu kamwe ajihusishe na uchaguzi mkuu wa 2025.
--
TAMASHA la kuombea Uchaguzi Mkuu linatarajiwa kufanyika katika mikoa 26 ya Tanzania, likianza jijini Dar es Salaam mwaka...
Wakuu,
Uchawa ni kansa ambayo tunaulea, siku vikibumbuluka tutajita sana!
=====
Kupitia ukurasa wake wa Insta@Gerson Msigwa ameandika haya;
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) tunakuletea Tamasha la Muziki wa Dansi liitwalo KADANSEE LA MAMA...
Wakuu,
Yaani ni wazi kabisa kuwa serikali ya CCM ina-propagate hii idea ya Uchawa ionekane ni kitu cha kawaida.
Hivi karibuni wameanzisha tuzo za wachekeshaji na ndani yake wanaweka kipengele cha BEST CHAWA OF THE YEAR.
Yaani wakati mataifa mengine wana tuzo za mathematicians, astronomers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.