BASATA ipo kwa ajili ya kuwadhibiti baadhi ya wasanii?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,579
44,826
Hivi BASATA haisikilizi hizi nyimbo zinazoimbwa matusi, ila BASATA ipo kwa ajili ya kusikiliza nyimbo za Ney wa Mitego tu jamani tusaidizane hapa au BASATA ni kwajili ya kuchambua wasanii baadhi.

Hii Tanzania kuna unyanyaasaji sana eti mtu akiimba uhalisia anakuwa mchochezi hivi mtu mchochezi na anayeharibu maaadili ya vijana /watoto wadogo ambao wanakuja kuwa taifa la kesho maana sasa hivi wasanii wanaimba matusi sana vitoto na vyenyewe vinaimba swali taifa la kesho kuna kizazi kipi kijacho.

Wasanii wanaropoka utumbo kisa tu kuendana na soko la muziki na hutasikia wameitwa na BASATA. Hii nchi tunahitaji kiongozi mmoja aje atokee afanye mapinduzi makubwa ya kiutendaji kuanzia polisi, BASATA na kwenye maofisi yote ya Serikali maana hali inatisha sana mpaka unaogopa bora uhuni wa kenya huko wa live live ila sisi huku chini kumeoza kumeoza mitaani watoto wanadatishwa na nyimbo mpaka wanatinduliwa kimasihara..ooh Tanzania yangu
 
Wasanii wa muziki hususan mondi et al wanaimba sana fantasy za kingono ngono tu . Yaani ngono inakuwa glorified mpaka too much
 
Hivi BASATA haisikilizi hizi nyimbo zinazoimbwa matusi, ila BASATA ipo kwa ajili ya kusikiliza nyimbo za Ney wa Mitego tu jamani tusaidizane hapa au BASATA ni kwajili ya kuchambua wasanii baadhi.

Hii Tanzania kuna unyanyaasaji sana eti mtu akiimba uhalisia anakuwa mchochezi hivi mtu mchochezi na anayeharibu maaadili ya vijana /watoto wadogo ambao wanakuja kuwa taifa la kesho maana sasa hivi wasanii wanaimba matusi sana vitoto na vyenyewe vinaimba swali taifa la kesho kuna kizazi kipi kijacho.

Wasanii wanaropoka utumbo kisa tu kuendana na soko la muziki na hutasikia wameitwa na BASATA. Hii nchi tunahitaji kiongozi mmoja aje atokee afanye mapinduzi makubwa ya kiutendaji kuanzia polisi, BASATA na kwenye maofisi yote ya Serikali maana hali inatisha sana mpaka unaogopa bora uhuni wa kenya huko wa live live ila sisi huku chini kumeoza kumeoza mitaani watoto wanadatishwa na nyimbo mpaka wanatinduliwa kimasihara..ooh Tanzania yangu
Kuna pandikizi la Msoga pale. Jamaa ni mpana huyo si mcheso
 
Nipo kwenye basi muda huu... Hawa wenye basi wanaonyesha miziki ambayo ni inappropriate. Hawa Basata huwa kazi yao ni nini kuhakikisha vetting ya hii muziki inafanyika?
 
Back
Top Bottom