The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Mamlaka ya Afya ya Uingereza inayoitwa UK Health Security Agency imekiri kwamba hakuna chembe ya ushahidi wowote wa aina yoyote ya Barakoa inayoweza kuzuia maambukizi ya Covid-19.
Mamlaka hiyo imesema hata barakoa za kiwango cha juu kabisa za N95, KN95 and FFP2 hazina uwezo wowote wa kuzuia maambukizi ya Covid-19.
Juzi hapa WHO ilikiri kwamba chanjo ya Covid ni mahususi kwa watu wenye changamoto za kiafya ila mtu mwenye afya njema hastahili kupata chanjo.
Bwana Elon Musk anasema wale wote walioleta masharti na kulazimisha watu wate kuvaa barakoa na kuchanja huku wakijua kwamba hazikua na msaada wowote dhidi ya maambukizi ya covid akiwemo Antony Fauci lazima washitakiwe.
Hii ni baada ya kugundulika kwamba mamlaka za afya za nchi za ulaya zilikua zinajua fika kwamba chanjo ama barakoa ama kujifungia ndani hazizuii maambukizi lakini bado wakalazimisha watu kuchanjwa na kuvaa barakoa.
Hivi huku Tanzania bado watu wanachanja na kuvaa barakoa?
Tumpongeze Magufuli kwa kuliona hilo mapema kwamba chanjo na barakoa ulikua utapeli kama utapeli mwingine.

No evidence face masks protected vulnerable from Covid, health officials admit
Critics say authorities are failing to prepare for any future pandemics by not examining the effectiveness of masks
www.telegraph.co.uk