Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,717
Nimenunua barakoa sh. 500. I noticed yule mwanamke anayeuza barakoa mkono wake wa kulia ile middle finger ina bendeji.
Kwa hiyo akawa ananipa barakoa kwa uangalifu sana,in fact amekwenda ndani kuzichukua akaja kunionyesha kwamba anafungua pakti mpya,na ile barakoa nikaichomoa mwenyewe.
Nikamuuliza mkono wake una tatizo gani?
Akasema,"Mdudu".
Nikamuuliza,"Mdudu,vipi"?
Akasema,"Mdudu maana yake mkono unavimba,unapata kidonda,halafu ukipona mambo yanakuwa sawa."
Yaani just like that huyu mwanamke ananijibu,"Mdudu"----such a careless reply. Yule mwanamke siyo muuguzi,naona amevaa kiraia tu.
What I noticed ni kwamba toka ulipokuja uongozi wa Profesa Janabi,vijana wengi kule nje waliokuwa wanauza barakoa wamefukuzwa ili hospitali ichukue responsibility kwa kila barakoa inayouzwa pale. Inakuaje sasa mtu ananiuzia barakoa anasema,"Mdudu"?
You understand what I am driving at, I hope. Mi nautilia mashaka uongozi wa Prof Janabi. Au labda hiyo ni extreme statement. Niseme tu mimi nasikitika kwamba yule mwanamke ameniamibia,"Mdudu".