Kada CHADEMA adaiwa kufanyiwa unyama na wasiojulikana
KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Evarist Rite, mkazi wa Narumu, Hai mkoani Kilimanjaro, ameokotwa akiwa amejeruhiwa vibaya na watu wasiojulikana.
Mtu huyo aliokotwa jana akiwa ametelekezwa kando ya barabara kuu ya...