barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. Deeboyfrexh

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Bima-Kimanga-Kisukuru

    Hii barabara ni mbovu na aibu kwa eneo ambalo tayari lime mature jamani wahusika mpo wapi! Eneo limedorora day by day panazidi kuwa hovyo panadumaa. Tozo mnazochukua mfanye maendeleo hayo basi.
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Trafiki watafute mbinu nyingine ya kusimamisha magari wasisimame katikati ya barabara

    Natoa tahadhari kwa JESHI la POLISI wawe makini na ule mfumo wao wa KUSIMAMISHA MAGARI wakiwa wamesimama katikati ya barabara Tena wakati mwingine high way. Kuna polisi wema japo kwasasa jeshi la polisi Lina madoa mabaya Sasa ni Bora tukatoa tahadhari kuwaepusha wale wema wasije kukutana na...
  3. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi

    Barabara hatarishi huwa na mtelemko mikali au kona nyingi au vyote kwa pamoja hapa Tanzania, hivyo uwezekano wa kupata ajari ni mkubwa dereva asipokuwa muangalifu. - Hizi ni baadhi ya barabara hatarishi Tanzania. 1. Nyang’olo barabara ya Iringa kwenda Dodoma 2. Barabara ya mlima Kitonga...
  4. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Bodaboda: Furaha za punguzo la adhabu ya makosa ya barabara imepotea?

    Tulishuhudia na kusikia shangwe za wabunge, Bodaboda na wamiliki wa pikipiki wakati bajeti inasomwa na mheshmiwa Wazili Mche. Naomba kufahamu, hali ya sasa katika Hilo nchini kwakuwa, nimeona idadai ya pikipiki inaongezeka katika vituo vya polisi. Mbaya zaidi, nimeona askali wetu wakizisaka...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakopa Benki ya Dunia tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya Elimu, Barabara na Mawasiliano!

    Benki ya Dunia imeikopesha Tanzania jumla ya tsh 2.7 trilioni kwa ajili ya sekta za Elimu, Barabara Mawasiliano na uchumi jumuishi. ---- Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea mkopo wa masharti nafuu wenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 kutoka Benki ya Dunia (WB). Waziri wa Fedha na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Dar - Arusha kuna Hoteli nzuri za kisasa maeneo ya Korogwe

    Nitoe hongera kwa uwekezaji wa hotel /motel zilizopo Korogwe zinazohudumia Wasafiri wa kutoka Dar-Arusha. Kiukweli japo bei ya vyakula ni juu kiasi ila nimeupenda huu uwekezaji, nashauri na maeneo mengine waige uwekezaji huu mzuri.
  7. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Barabara ya njia nne Arusha Inufaishe waendesha vyombo vya moto pia

    Kwa wale wageni Arusha, Kuna barabara nzuri sana kutokea Sakina hadi Tengeru na kuna mpango wa kuindeleza ifike Namanaga na Holili kwa upande wa pili Pamoja na kupendezesha mji kwa kiasi kikubwa kwa mtazamo wangu kuna changamoto inayotakiwa kufanyiwa kazi. Hii barabara pamoja na kuwa na njia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Chamuriho uliahidi kutangaza tenda ya ujenzi wa Barabara ya Itoni (Njombe) - Lusitu (Ludewa), mbona kimya?

    Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi kuwa mwezi wa tano mtatangaza Tender ya kuanza ujenzi wa barabara ya Njombe-Ludewa-Manda kwa kujenga...
  9. comte

    JamiiForums Tanzania Unaunga mkono hoja hii ya majina ya barabara

  10. uchumi2018

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara Kisukulu Maji Chumvi - Segerea ni kero kubwa

    Ndugu wanajamvi Nawasalimuni kwa jina la jamhuri ya muungano. Nimeona niamke na hoja hii kwani wakazi wa kisukulu tumejikuta kwenye mateso ya muda mrefu. Kwa wale wasiojua kisukulu ni wapi, Kisukulu ni kata inayoangukia kwenye jimbo la uchaguzi la segerea wilaya ya ilala kwa utambulisho zaidi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania LATRA tunaomba usafiri wa daladala katika barabara kutoka Goba njia nne kupitia Madale kwenda Tegeta

    Wasaalam Mlioko humu ndani. Kichwa cha habari chahusika. Kutokana na kukamilika kwa ujenzi wa barabara kutoka njia nne kwenda Tegeta Nyuki ambapo tumeona magari mengi ya mikoani yanayoenda mikoa ya kaskazini yakipita katika barabara hii. Ni wakati mwafaka kwa LATRA kupanga route ya Daladala...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tsh Milioni 500 zinazotangazwa na Wabunge kwamba zimetolewa na Rais mnazielewa?

    Hizi fedha zinajenga barababara ukubwa gani? Kwanini fedha hizi kwa idadi ya majimbo tuliyonayo zingekabidhiwa TARURA ZIKAJENGA barabara kwa kuzingatia kipaumbele Cha Tarura kuliko kutawanya fedha kwenye kukwangua barabara ambayo mvua ikinyesha mara moja zinarudia Hali ileile. Hizi fedha...
  13. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na kamati, Kuna shida ipo mahali

    Rais Samia ni kama bado yupo kwenye umakamu wa raisi. Kuna vitu wala havihitaji kamati ila yeye anaunda kamati. Hadi sasa sijaona umuhimu wa kamati kuhusu tozo. Tozo mmeziweka wenyewe bila kushirikisha wananchi, halafu nyie tena haohao mnaunda kamati kuhusu hizo tozo. Hapa Rais Samia...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai 2025 sio mbali, ni kweli kuongeza tozo za miamala kutapeleka zahanati, maji, madawati, madarasa na barabara kila kijiji kabla ya 2025?

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, hivi ni kweli sababu ya Bunge lako kuongeza tozo kwenye miamala ya simu ni kumalizia upatikaji wa barabara, maji, madawati, madarasa, na zahanati katika kila kijiji kabla ya 2025? Naungana na wewe 100% kuwa hakuna mfadhili atakuja kutujengea nchi yetu, hivyo ni...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tukio kwenye mataa ya Mwenge: Tofauti ya Wazungu na Waafrika

    Sijui hata niseme vipi?!. Kwa lugha nyepesi tu naweza kusema wenzetu WAZUNGU wameumbwa tofauti kabisa na sisi (ngozi nyeusi) WAAFRIKA. Sitaki kutumia maneno yanayoweza kufanya nikufuru, lakini ninachoweza kusema ni kwamba Mwenyezi Mungu aliwaumba wazungu kwa namna ya pekee sana. Kusema hivi...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania RATIBA: Baada ya Mwanza Kongamano la Katiba Mpya lielekee Ikungi -Singida

    Ikumbukwe kwamba siku ya Jumamosi ya 17/7/2021 lile Kongamano kubwa kabisa la Katiba mpya litafanyika Jijini Mwanza , Tunawashukuru Chadema na wadau wote waliowezesha Makongamano haya kufanikiwa . Sina haja sana na kongamano hili ambalo halijafanyika bado , Bali ninachotaka kuwaomba viongozi...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Ubovu wa barabara ya Mombasa kwa Mkolemba

    Ukitazama barabara ya Mombasa kwa mkolemba jimbo la ukonga utajiuliza yu wapi Jerry Slaa mbunge wa jimbo la Ukonga?. Upo wapi mheshimiwa mbunge au unasubiri 2025 tena uje na porojo hewa kwetu sisi wananchi tunaotaabika kwa ubovu wa barabara ya Mombasa, Moshi bar, Kwa Mkolemba, Kanyigo, Mwembeni...
  18. Francis fares Maro

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Excavator inauzwa

    CAT 318 B EXCAVATOR 3556 MASAA 2001 YOM TABATA DAR ES SALAAM +255714908121 100 millions TSH
  19. A

    JamiiForums Tanzania RC Makalla, nunueni magari ya kufagia barabara; himizeni mama lishe kutumiia maji tiririka

    Hivi sasa barabara zetu za Dar es Salaam zina lami pamoja na Mifereji. Lakini naona michanga barabara ni mingi na wafagizi wengi wanamwagia huo mchanga kwenye hiyo mifereji. Hivyo ni vizuri mkanunua magari ya kufagia barabara na pili hiyo mitaro isafishwe. Maana la stand ya Mbezi na machinga...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeongeza shilingi 100 katika kila lita ya mafuta ili tuweze kukusanya fedha zitusaidie kujenga Barabara za Vijijini

    Akiwa anamalizia siku ya pili ya ziara yake Mkoani Morogoro Rais Samia ametoa ufafanuzi juu ya ongezeko la bei ya mafuta ambalo limekuwa likijadiliwa na wengi mitandaoni Katika hili Rais Samia amesema “Tumeongeza fedha kidogo kwenye mafuta, mtakuwa mmesikia kelele za mafuta. Tumeongeza shilingi...
Back
Top Bottom