barabara

A barabara or barabora (Russian); ulax̂, ulaagamax, ulaq, or ulas (plural) (Aleut); and ciqlluaq (Alutiiq ~ Sugpiaq) were the traditional, main or communal dwelling used by the Alutiiq people and Aleuts, the indigenous people of the Aleutian Islands. They lay partially underground like an earth lodge or pit-house, and most of the house was excavated from the dirt so as to withstand the high forces of wind in the Aleutian chain of islands. Barabaras are no longer used, as present-day Aleuts live in modern houses and apartment buildings.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Barabara za mitaani jijini Arusha ni afadhali za mkoa wa Singida

    Jiji la Arusha linahitaji bajeti kubwa sana ili kujenga barabara hasa za mitaani Hii ni kutokana na aina ya ardhi ili ujenge barabara ni lazima uhamishe ule udongo wa eneo husika na kuleta udongo ule mgumu, ikifika kiangazi vumbi ikifika masika ndo balaa zaidi. Sina uzoefu na gharama za...
  2. JamiiForums Tanzania Kuna wimbi kubwa nimeingia nchini la kuwahadaa wananchi kuwa barabara zinajengwa kumbe hazijengwi!

    Watanzania ni Wale na huwa hawana nia ya kusahau wanachiambiwa ila vitu vingi wanafanganywa. Kuna ujenzi wa barabara nchini mikataba ilisainiwa ya ujenzi wa barabara wa kilometers 2,000 haijulikani kinachoendelea. 2. Barabara ya Kimaro kwenda Chalinze haijulikani kinachoendelea. 3. Tarime kwenda...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Jangwani ilijengwa kwa makusudi namna ile wala haikukosewa kama wanavyodai

    Viongozi wetu wakati mwingine huwa wanaongea kama vile wanaongea na watoto wadogo! Tumesikia viongozi wetu wakihutubia kwamba eti eneo la Jangwani kipande kinachojaa maji kwamba wataalam waliojenga hapo Jangwani waliikosea! Kwamba makosa ya ujenzi ule siyo ya Serikali Bali wataalam ndiyo...
  4. JamiiForums Tanzania Profesa Ndakidemi alia na Barabara ya Mabogini

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameitaka wakala wa barabara za mjini na Vijijini (TARURA) kuharakisha mchakato wa ujenzi wa barabara ya Geti Fonga hadi Mabogini kwa kiwango Cha lami. Ndekidemi ametoa kilio hicho leo mjini Moshi kwenye kikao cha Bodi ya Barabara...
  5. JamiiForums Tanzania Paul Makonda: Endeleeni kufunga barabara maana tumepewa jukumu la kuwasikiliza na kuisaidia Serikali

    ENDELEENI KUFUNGA BARABARA MAANA TUMEPEWA JUKUMU LA KUWASIKILIZA NA KUISAIDIA SERIKALI - MWENEZI MAKONDA "Kitu kimoja nimegundua hapa, hii staili yenu ya kufunga barabara mnapoona msafara wa Viongozi wanapita ni nzuri sana kwa maana inasaidia kusikiliza ba kutatua kero na changamoto zenu tena...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna Foleni Kubwa Sana Barabara ya Morogoro Maeneo ya Mikese

    Tumekaa maeneo ya Fulwe Mikese kwa zaidi ya saa tatu, gari zimefunga pande zote mbili, nilikuwa mawazo Dodoma kikao saa 2:30 sijui kama nitawahi
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Barabara Mwanza Mjini ijengwe njia nne

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu wa kina wa barabara za Mwanza Mjini hadi Round about ya Usagara na barabara ya Mwanza Mjini hadi Igoma ili zipewe kipaumbele katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kujenga barabara ya njia nne...
  8. JamiiForums Tanzania IGP, si sahihi kufunga barabara masaa 3 ili Makonda ahutubie barabarani

    Salaam, Ni kweli bila Polisi hakuna utii wa Sheria. Ila Kitendo cha Polisi kujipendekeza kwa Wanasiasa ili wasifiwe au wapewe vyeo vya kisiasa ni kuwaonea wananchi. Ni kweli Polisi wanapambania matumbo yao, ila hili la kuzuia wafanyabiasha na Wasafiri kuchelewa kufika kisa kiongozi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Makonda ambananisha meneja TANROADS Geita: Ahoji ni lini mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama - Kakoro (km 60) utasainiwa ili ujenzi kuanza

    Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda amembananisha Meneja wa TANROADS Geita kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi kuwa ni lini barabara ya Kahama - Kakoro yenye urefu wa Kilomita 60 itajengwa kwa kiwango cha lami. Mwenezi Makonda ambananisha Meneja huyo mara...
  10. JamiiForums Tanzania Barabara hii ya kimataifa na lango la uchumi, serikali iiangalie .

    Barabara ya Mandela hasa kuanzia ubungo hadi bandalini, haikidhi haja kutokana ubebaji wake malori mengi. Barabara hii ya kimataifa, inayopitisha malori mengi, yakiwemo yanatokea nchi za jirani, ikimbukwe ni lango kuu la uchumi wa Tanzania, ila inaonyesha serikali hailioni hili. Barabara ina...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Aloyce Kwezi: Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2024 - 2025 Serikali Ijenge Barabara ya Mpanda - Kaliua - Kahama

    MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa letu. Nawapongeza Mawaziri, Komredi Mwigulu Lameck Nchemba na Professor Kitila...
  12. JamiiForums Tanzania Vijumba vilivyopo pembeni ya barabara ya Morogoro Road vinatia aibu na fedheha kwa Watanzania

    Pamoja na kujitahidi kuwa na barabara za kisasa ambazo zinachangia kupendezesha mandhari ya nchi, lkn muonekano huu wa vijumba vilivyochoka pembezoni mwa barabara vinafanya upendezaji huo uwe ni sawa na mtu alievaa nguo nzuri, lkn chini amevaa viatu vichafu na vya kutoboka. Kwa wenzetu mfano...
  13. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara za Mitaa jimbo la Segerea ni mbovu, zinajaa maji na hazina mitaro

    Naenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Kuna vitu vinafanywa na Serikali vinakera sana. Mfano. TMA walitangaza zaidi ya miezi miwili nyuma kwamba kutakuwa na Mvua kubwa za e El Nino ambazo zitaendelea hadi mwezi wa 3 mwaka 2024 lakini Serikali ilitulia bila kufanya Marekebisho ya Barabara zake...
  14. JamiiForums Tanzania Tanroads Pwani, huyu mhandisi hapaswi kuwa kazini. Mapinga haharibu barabara

    Si kawaida kuwasagia kunguni wahandisi wanzangu, lakini hii tunayoiona kwenye picha sijui niite uzembe, uhujumu aukukosa uelewa kabisa juu ya masuala ya barabara. Lakini kwa vyovyote kichofanyika pale Mapinga kuelekea kilima cha Kerege , ni uharibifu ambao unaiondoa barabara ya Dar-Bagamoyo...
  15. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hali ya Barabara ya Madale Mwisho-Mbopo-Mabwepande ni mbaya sana

    Habari! Napenda kuchukua nafasi hii kuwasilisha kilio cha Watanzania wanoishi na kutumia barabara ya kuanzia madale mwisho kwenda mbopo had mabwepande. Hali ya barabara hii ni mbaya, ukijumlisha na mvua zinazoendelea! Barabara zimekatika na kutenganishwa na maji, tunalipia kubebwa migongoni...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa awataka waliojenga Barabarani kubomoa nyumba zao kupisha upanuzi wa barabara

    Waziri wa ujenzi Innocent Bashungwa amewataka wananchi wote waliojenga ndani ya hifadhi za barabara katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kuanza kujiandaa kisaikolojia na kuondoka wenyewe kabla ya serikali kuanza kubomoa ili kupanua ujenzi wa barabara. Bashungwa aliyasema hayo wakati wa ziara...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mbalawa, ulisema mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi sasa mbona haonekani site Tanga mjini na Pangani?

    Hii ni kukutaarifu tu kuwa mkandarasi wa barabara ya Tanga to Pangani umemlipa bilioni 3 kuanza kazi haonekani site Tanga mjini wala Pangani? Hii ilikuwa ni mara ya mwisho sometime in September uliposema hayo mbele ya camera Mvua zinanyesha ni tope tupu kila mahali! Mwambie basi aje...
  18. JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani ukikutana na mtoto kwenye barabara isiyo na watu kama hivi?

    Utachukua hatua gani hili likikutokea?
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tunaendelea kuimarisha miundombinu ya barabara na madaraja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita inaendelea na juhudi mbalimbali za kuimarisha miundombinu ya Barabara na Madaraja Nchini kwani ndio kilio cha wananchi kwa sasa. Rais Samia amesema hayo wakati akizungumza na wananchi...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kuna barabara ina trafiki wengi kuzidi Arusha - Moshi?

    Nimekuja kaskazini, kila baada ya Kilomita 5 unakutana askari wa usalama barabarani. Yaani ukitoka na gari private Moshi mpaka Arusha ni mwendo wa kunyata (kutembea polepole) barabara ina matrafiki wengi sana. Huwezi kutoboa lazima usimamishwe. Hivi kuna barabara nyingine yenye trafiki wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…