Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,010
- 9,875
Mahakama ya Wilaya ya Babati imewahukumu Alex Laurent (27) na Humphley Charles (25) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na misokoto 200 ya bangi yenye uzito wa gramu 566.9
Hakimu wa Wilaya, Jumaa Mwambago alianza kusikiliza kesi hiyo Novemba 19, 2018 baada ya washtakiwa kuwa wamekamatwa Novemba 8, 2018 na misokoto hiyo ya bangi
Hukumu ilitolewa mshtakiwa Humphrey Charles bila kuwepo Mahakamani ambapo Mahakama imetoa amri ya kutafutwa na kukamatwa huku Alex Laurent akiwa ameanza kutumikia kifungo chake
Citizen