bandari

  1. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania TANESCO wameshindwa kujiendesha

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naona ni muda muafaka wa kuuzia hili shirika wadau wa DP WORLD afu Bandari tukabaki nayo naona Tanesco wameshindwa kujiendesha. Bado tunawasha mishumaa na makoroboi 2023 kisa umeme hamna zaidi ya masaa 34 aibu TANZAGIZA.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nashauri katoliki waendelee kusoma waraka wa bandari kila wiki baada ya misa hadi Desemba

    Popote walipo TEC chukueni ushauri huu! Waraka uendelee kusomwa kila wiki baada ya misa hadi disemba! Wiki hii serikali waliandaa kila aina ya vigisu na spinning kwa kumtumia Mzee Kikwete na majukwaa, matamasha na maelekezo kwa waandishi ili kukava story zao katika kufumba habari ya waraka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Operesheni Okoa Bandari ya CHADEMA kutua jimbo la Luhaga Mpina

    Operesheni ya Okoa Bandari zetu sasa ni zamu ya wakazi wa Mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara ambapo itawafikia wananchi wa Jimbo la Kisesa linaloongozwa bungeni na Luhaga Mpina. Mbowe na Tundu Lissu watafika Jimbo la Kisesa kuwaeleza wananchi kuhusu suala la Mkataba wa Bandari
  4. Patriot

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

    Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji. Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kijana Mzalendo amtuhumu Chongolo kuwa chawa wa DP World

    Kijana Mzalendo Nkindikwa David amemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Chongolo kushabikia Mkataba wa Bandari licha ya kupingwa kila kona ya nchi. Niwaombe watanzania tuendelee kushikamana kutetea rasilimali zetu na kamwe tusikubali kugawanyishwa na mtu au kikundi cha watu kwa misingi ya dini, itikadi za...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Mkoa Mwanza (Kuhusu Mjadala wa Bandari): Walaaniwe wote wenye nia ovu na Rais Samia

    TAMKO LA SHEIKH WA MKOA MWANZA KUHUSU MJADALA WA BANDARI Utangulizi Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja kumekuwa na mjadala kuhusu uwekezaji na uendeshaji wa bandari zetu na kampuni kutoka Dubai. Mjadala ulianzishwa na wanasiasa na wanasheria lakini baadae ukachukua sura mpya na ya hatari...
  7. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mapungufu 10 ya Mkataba wa Bandari na DP World

    Kuna mchambuzi namshukuru kwa kuifanya kazi ya Serikali kuwa rahisi. Amechambua vipengere vinavyoidhlilisha nchi yetu tukufu ya Tanzania. Mwanasheria Mkuu ni lazima achukue hatua na si kuwaachia kina Mbarawa mambo haya ambayo yana lifedhehesha Taifa.
  8. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Watu wangeshupalia suala la Katiba Mpya kama hili la Bandari tungefika mbali

    Ukitaka kujua hii nchi unafiki ni mkubwa, tazama tulivyo kidedea kuminyana na maswala ya bandari wakati swala la katiba (ambalo ndio source ya haya yote) tumesinzia. CCM na katiba leo hii ndio imetufikisha hapa. Tumeshindwa kudai katiba basi hata hili la bandari tutulie kimya, maana bado nguvu...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tangu sakata la Bandari liamuke Mods wa Jf wanashuguli pevu sana.

    Hawa jamaa ngoje nitumie fursa hii kuwapa pole. Maana wana wakati mgumu sana kuchuja habari. Watu tunaandika kwa mihemko. Kongole kwenu na pole kwa kupitia mefu ya nyuzi bila kucboka... I
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kuupinga Mkataba wa Bandari inaitwa "udini" lakini kuunga mkono sio udini?

    KWA NINI KUUPINGA MKATABA WA BANDARI INAITWA "UDINI" LAKINI KUUNGA MKONO SIO UDINI? MSIWE WAPUMBAVU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wanasiasa moja ya mambo yanayowashushia heshima ni kigeugeu na unafiki wao. Wanasiasa wakisifiwa na viongozi wa dini hawasemi dini imeingizwa kwenye Siasa...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sheikh Muharam Mziwanda adai Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena Bandari ya Dar

    Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini. Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi. Je kanisa...
  12. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tangu sakata la Bandari lianze, waziri mmoja wa Mama Samia (naibu) hajatamka lolote kuutetea wala kuupinga

    Ukimya wa Mbunge wa Chalinze unatupa picha gani kuhusu msimamo wake kwa mkataba huu wa ajabu ajabu? jimboni hajapita kuufafanua wala kuukosoa. Je anataka tumuone ni mwema sana kuwa hana upande wakati aliupigia kura mkataba huu?
  13. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama tungetakiwa tupige kura juu ya mkataba wa bandari

    Wanangu wapendwa, Je kama tungetakiwa wabongo tupige kura kupitisha au kuupiga chini mkataba wa bandari, wapi ungeeelekeza kura yako? Kama itawafurahisha hasa ikizingatiwa kuwa inatoka kwa baba yeni, pigeni kura kuonyesha nini kifanyike. Maaskofu wa dhehebu moja linalosifika kwa ubakaji na...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Bandari: Mbarikiwa amjibu Kikwete, asema wanakemea uovu

    https://youtu.be/XejFzX2kqfc Katika harakati za kupigania bandari isiuzwe mtumishi wa Mungu amejitokeza na kumchambua Kikwete. Mtumishi amesema Kikwete hakuainisha mipaka. Kwamba matendo yapi ya mwanasiasa tanatakiwa kukemewa. Amehoji mbona pindi dini inaposifia wanasiasa hakuwahi kuhoji...
  15. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Teolojia ya Ukombozi wa Rasilimali za Watanzania Wanyonge Dhidi ya Wageni: Tamko la Maaskofu wa TEC juu ya Bandari zetu limegonga penyewe!

    I. UTANGULIZI Aya ya 19(2) katika Katiba ya Tanzania (1977) inaizuia serikali kujitenga na ubaguzi wa kidini na kuhimiza usawa wa kidini kwa kutumia maneno ifuatayo: "Bila ya kuathiri sheria zinazohusika za Jamhuri ya Muungano, kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la mkataba wa bandari: Kuna kila dalili (kuna asilimia kubwa) kuwa Viongozi wetu wamekuwa "Blackmailed"

    Maana si kwa kukomaa huko! Hivi mtu ukiwa blackmailed unafanyaje kujinasua? Tufanyeje tuweze kuwanasua? Maana kwa kweli naanza kuwaonea huruma na inabidi tuwaombee sana!!
  17. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete kukemea Udini peke yake haitoshi tunataka Msimamo wako juu ya Mkataba mbovu wa Bandari

    Bila kupoteza mda waraka wa Maaskofu umemtoa Kikwete pangoni alikojificha siku nyingi. Binafsi nimekuwa nikihoji uadilifu wa huyu mstaafu na faida yake kwa nchi pale mambo yanapokuwa yanaenda mrama amekuwa kimya sana. Sasa tumemskia anakemea udini ambayo ni planned huko mara kwenye kanisa la...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshe, swala la mkataba wa bandari si la kisiasa ni la kiuchumi

    Kuna watu wanapotosha kuwa TEC imeingilia maswala ya kisiasa. Kwamba TEC iache kuchanganya dini na siasa. Ninachopenda mfahamu ni kwamba, michakato katika nchi imegawanyika katika sehemu tatu Siasa, uchumi na jamii...yaani political, economic and social. Swala la mkataba wa bandari si swala la...
  19. Nominee

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari linaenda kuongeza mpasuko wa kidini. Tukosoe kwa tahadhari

    Ni haki na wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha rasilimali za nchi yake hazichezewi hovyo.Nawapongeza nyote munaotoa maoni yenu ya kuukosoa huu mkataba ila chonde chonde, tujitahidi kuongeza umakini tunapokosoa. Kikawaida,imani ina nguvu sana kwenye suala la ushawishi. Unaweza kushangaa mtu...
  20. Bwana Bima

    JamiiForums Tanzania Kama hoja ni Ufanisi wa Bandari Nawaza hivi..

    1)Fanya utafiti yakinifu na makini kubaini gharama,namna bora ya uendeshaji,faida na mengineyo watu wa project wanaweza kunisaidia. Weka mipango mirefu na mifupi na kufanya tafiti za mara kwa mara kuona malengo yamefika wapi 2)Tafuta wataalam waliobobea kwenye maswala ya uendeshaji wa bandari...
Back
Top Bottom