balozi

Baloži (pronunciation ; German: Rollbusch) is a town of Latvia situated in the Ķekava municipality just 12 kilometres from the centre of Riga. In 2020, the city had a population of 6,829.
Baloži was founded soon after the Second World War; as a village at the time, it was developed for the nearby peat factory workers. The oldest part of the town is built in a Stalinist style. During the 1970s, territory of the village was expanded towards the A7 highway. During the 1980s this part was built as a modern residential district and called Titurga. In 1991 Baloži received town rights. After the Latvian administrative territorial reform of 2009, Baloži became part of Ķekava Municipality and thus became one of the few Latvian towns which are not municipal centres.

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    TANZIA Balozi wa Saudia afa katikati ya hotuba akimsifia Rais Al Sisi

    Balozi maarufu wa Saudia na tajiri mkubwa bwana Mohamed Al qahtan, amefariki huko jijini Cairo nchini Misri wakati akitoa hotuba yake. Mara baada ya kumsifia Rais Alsisi kwa kuashiria picha yake iliyokuwa nyuma yake kwa kusema huyu ni kiongozi wa watu wote mpaka siku ya mwisho ghafla alianguka...
  2. Melubo Letema

    Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro Ampongeza Simbu Kwa Medali ya Fedha.

    Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Dkt Asha-Rose Migiro, Ampongeza mwanariadha Alphonce Felix Simbu kwa kunyakua Medali ya fedha baada ya kuibuka mshindi wa pili, nyuma ya Mganda Victor Kiplagat katika mchuano wa Marathon Kwa wanaume katika Michezo ya Jumuiya ya Madola yaliyofanyika leo jijini...
  3. peno hasegawa

    USHAURI: Januari Makamba ateuliwe kuwa Balozi

    Ninashauri Rais amteue January Makamba awe balozi na apangiwe nchi ya kuiwakilisha.
  4. beth

    Balozi Caroline Kitana Chipeta ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague

    Balozi Caroline Kitana Chipeta ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini Uholanzi Balozi Chipeta alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Mambo ya Nje
  5. GENTAMYCINE

    Sikubaliani kabisa na hii Teua Teua ya Balozi kwa kila Mtu, kwani inatuaibisha na inadhalilisha pia Hadhi ya Neno Balozi kwa wenye Akili duniani

    Tokea mwaka 2005 hadi sasa ( Leo ) karibia 99% ya Watu wanaoteuliwa kuwa Mabalozi na Marais wa Nyakati hizo ( hizi ) ni Watu very incompetent, wana IQ ndogo na Failures pia katika Nafasi walizokuwa. Halafu ni nani aliyetulisha Sumu ya Upumbavu na Ushamba kuwa kila Mtanzania anaweza kuwa Balozi...
  6. JanguKamaJangu

    Rais wa Ukraine amuondoa balozi wao Ujerumani baada ya kauli yenye utata

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amemuondoa Balozi wa taifa lake Nchini Ujerumani, Andriy Melnyk siku chache baada ya kutoa kauli yenye utata. Pamoja na kusema kuwa hayo ni mabadiliko ya kawaida lakini balozi wao wa Ujerumani hivi karibuni alinukuliwa akiishutumu Serikali ya taifa hilo kwa...
  7. JanguKamaJangu

    Marekani ipo tayari kuishauri Tanzania kuhusu usalama wa mpaka wake na Msumbiji

    Serikali ya Marekani ipo tayari kutoa ujuzi na ushauri kwa Tanzania katika masuala ya kiusalama ili kuimarisha ulinzi kwenye mpaka wake na nchi ya Msumbiji. Katika mahojiano maalumu na BBC Balozi wa Marekani nchini Tanzania Donald Wright alieleza namna ambavyo Marekani inavyoguswa na tishio la...
  8. Nyendo

    Balozi Mulamula atumia Mkutano wa CHOGM kuitangaza Tanzania

    Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki chini ya uongozi wa Waziri Liberata Mulamula imeendelea kutumia majukwaa ya kimataifa kuitangaza nchi na fursa zake kama sehemu ya utekelezaji wa diplomasia ya uchumi. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi...
  9. Roving Journalist

    Balozi Mulamula ataka migogoro katika Nchi za Jumuiya ya Madola imalizwe

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiwa katika kiti cha Tanzania wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika nchini Rwanda tarehe 20 hadi 25 Juni 2022. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
  10. T

    Maxence Melo: 2017 niliwahi kufuatwa na watu wasiojulikana ila Balozi wa Umoja wa Ulaya akaninusuru!

    Akihojiwa kwenye kipindi cha kinagaubaga ndugu Maxence Melo amesema walikuja watu wasiofahamika wakitaka kumchukua ili wakamhoji kwanini amefanya mahojiano na Balozi wa Umoja wa Ulaya, lakini Balozi aliwakatalia katakata akisema hamuwezi kumchukua nikiwa naye mimi. Kweli nchi ilikuwa ngumu sana...
  11. K

    Rais umekosea kuwakilishwa na Balozi kwenye mkutano wa EAC kuhusu Congo

    Rais hapa kakosea na tumekuwa wazembe sana na wavivu kama nchi. Congo DRC ni sehemu muhimu sana lakini tumekuwa wazembe sana na tunawaachia nchi za nje wanatumia mbinu za kuwagombanisha ili tu wachukue madini. Tanzania kama nchi kubwa tulikuwa na uwezo mkubwa sana kuanzia enzi za kabila kuifanya...
  12. beth

    Balozi wa Urusi asusia kikao cha Umoja wa Mataifa (UN)

    Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vassily Nebenzia ametoka nje ya kikao ya Baraza la Usalama baada ya Rais wa Baraza la Ulaya, Charles Michel kuishutumu Moscow kwa kusababisha janga la Chakula duniani Michel ameyashutumu Majeshi ya Urusi kwa uhalifu wa kivita na makosa mengine ya...
  13. chiembe

    Vyombo vya habari Malawi vyajiwinda kumsubiri balozi Polepole aanze kusakata sebene, vimuandike, viuze magazeti

    Waandishi wa habari za udaku wa Malawi wanajiwinda kuanza kuandika habari za vituko ambazo balozi wa Tanzania Malawi atakuwa akiweka katika mitandao yake ya kijamii Balozi Polepole, ambaye atakuwa sura ya Tanzania na Rais wa Tanzania, ana tabia ya kushangaza ya kukata mauno akicheza sebene...
  14. beth

    Macocha Moshe Tembele ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Indonesia

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Macocha Moshe Tembele kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Indonesia Balozi Tembele alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataita (Multilateral Cooperation) kabla ya kuteuliwa na Rais Samia
  15. Camilo Cienfuegos

    Tanzania iliwahi kumkataa Balozi wa Zambia nchini

    Ni baada ya jina la balozi huyo kuwa na maana mbaya kwa lugha ya kiswahili nchini Tanzania. Kumbe jina linaweza kukunyima ulaji.
  16. M

    Huu sasa ni ushenzi: Balozi wa Urusi nchini Poland amwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu

    Hii imevuka mipaka!! Balozi wa Urusi nchini Poland alimwagiwa kimiminika cha rangi nyekundu wakati akiwa katika harakati za kuadhimisha ushindi wa Jeshi la Urusi dhidi ya majeshi ya kinazi ya Hitler. Alimwagiwa na waandamanaji wa kike wanaopinga vita nchini ukraine. Hili tukio lilitukia jana...
  17. JanguKamaJangu

    Balozi wa Marekani akutana na Mbowe, asema upinzani imara ni afya ya demokrasia

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Donald J. Wright, leo Aprili 11, 2022 amepost picha akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe kisha akaandika: “Ni jambo zuri kukutana na Freeman Mbowe asubuhi ya leo. Upinzani mahiri wa kisiasa ni jambo jema kwa afya ya...
  18. figganigga

    TANZIA Balozi Emanuel Ole Naiko afariki Dunia Dar

    Familia ya Emmanuel Ole Naiko inasikitika kutangaza kifo cha BABA YAO, BALOZI EMMANUEL OLE NAIKO kilichotokea leo 30/03/22, nyumbani kwake Bahari Beach, Dar es Salaam. Habari ziwafikie wana familia waliopo Dar es Salaam, Monduli-Arusha na kwengine kote. Balozi Ole-Naiko amewahi kushika...
  19. Valencia_UPV

    Balozi zetu toeni fursa kwa Wajasiriamali

    Inashangaza Sana Balozi zetu huko ughaibuni hazitoi taarifa za fursa zilizopo huko. Fikiria nchi za Middle and Far East zilivyo na fursa ya Ajira, chakula na Ujenzi Ila wenzetu ubalozini wametulia tu. Qatar World Cup 2022 inakuja Ila utakuta hawa ndugu zetu hawana huo muda. Why? NB: Ubalozi...
  20. Roving Journalist

    Waziri Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Ahmad Al Homaid

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo tarehe 24 Machi,2022, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Mhe. Balozi Hussain Ahmad Al Homaid Jijini Dar es Salaam. Viongozi hao pamoja na mambo mengine wamezungumzia ushirikiano wa Nchi hizo mbili katika...
Back
Top Bottom