Balozi Kagasheki ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya PAROLE

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,503
2,977
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili, 2023.

6ffdb8f6-f270-437d-9956-cff1a02782b8.jpeg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili, 2023.

View attachment 2594524
Nchi hii ina wenyewe.....si wangempa hata Paacal Mayalla na yeye akalambamo kidogo.

Hao akina kagasheki wameshachuma vya kutosha.

Hii nchi ina watu kama 1000 tu ndio wanaokula kila kitu kila siku miaka yote

Wengine tunasindikiza tu huku tukiambiwa tuwe wazalendo😅😅
 
Hii recycling ♻️ ya watu wale wale, ingefanyika pia kwenye uchafu huu wa plastics mazingira ya nchi yangejua bora zaidi, hivi hakuna damu mpya ya vijana kuongoza hii nchi,,why royal families zile zile?,huyu balozi why asisitaafu na kulea wajukuu na nafasi hii akapewa kijana?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom