balozi wa marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Life2

    PostGE2025 Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi ambazo wananchi wake wamewekewa zuio la kuingia Marekani

    Tanzania imejumuishwa kwenye orodha ya nchi 15 mpya zinazokabiliwa na vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump. Hatua hiyo inaifanya Tanzania kuwa miongoni mwa nchi za Afrika na visiwa vya Karibiani zilizotajwa kuwekewa masharti mapya ya usafiri. Kwa mujibu wa...
  2. Analogia Malenga

    PostGE2025 Rais Samia akutana na Kaimu Balozi wa Marekani

    Ubalozi wa Marekani wamepost kuwa Samia kajadili na kaimu balozi. Je, kunani? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma, tarehe 08 Desemba...
  3. Ojuolegbha

    PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania

    Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz katika ofisi ndogo za Wizara, jijini...
  4. Webabu

    Balozi wa Marekani awatukana waarabu kuwa hawajastaarabika

    Balozi wa Marekani nchini Lebanon amewapa vidonge vyao waarabu kwa kuwaambia hawajastaarabika. Tom Barrack ambye ni Balozi wa Marekani nchini Uturuki na mwakilishi maalum wa nchi hiyo nchini Syria alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mara tu baada ya ujumbe wa Marekani kuzungumza na Rais...
  5. S

    Mike Huckabee;- Israel inawanyanyasa wakristu,awasihi watalii wasiende Israel hadi ufumbuzi utakapopatakana

    Itabidi ubalozi wetu nchini Israel itangaze kwa niaba ya taifa la usa ya kwamba nchi ya Israel haikaribishi tena taasisi za dini za Kikristo na wawakilishi wao badala yake wanajihusisha na unyanyasaji na mapokezi mabaya ."-Huckabee Itatubidi tuwatahadharishe wakristo wa America ya kwamba...
  6. Yoda

    Trump amteua demu/girlfriend wa mtoto wake kuwa balozi wa Ugiriki

    Rais wa Marekani anayesubiriwa kuapishiwa Donald Trump amemteua Kimberly Guilfoyle ambaye ni demu wa mtoto wake Don Junior kuwa balozi wa Marekani nchini Ugiriki. Hata hivyo girlfriend huyo wa mtoto wake atahitaji kuthibitishwa na bunge la Seneti la Marekani kuwa balozi mteule. =======...
  7. Kipenzi Changu

    Balozi wa Marekani amtembelea Dr. Kitima; akemea ukandamizaji

    Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Andy Lentz amekutana na Padre Charles Kitima wakati akiendelea kupona kutokana na shambulio la kikatili dhidi yake lililotokea mwezi uliopita.Katika mazungumzo yao Balozi Lentz alisisitiza na kulaani vitendo vyote vya ukatili, hasa vile vinavyolenga...
  8. Erythrocyte

    PreGE2025 Tetesi: Mabalozi wa Marekani na Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Kama ulidhani mambo haya ni madogo, basi unapaswa kufikiria Upya. Taarifa kutoka Makao Makuu ya Chadema inaonyesha Orodha ya Viongozi wa Juu wanaowakilisha Mataifa yao Nchini Tanzania wataohudhuria Kesi ya Uongo ya Uhaini aliyobambikiwa Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, baada ya Viongozi wa...
  9. M

    PreGE2025 Tundu Lissu akutana na Kaimu Balozi wa Marekani kujadili umuhimu wa michakato ya uchaguzi huru, wa haki, na wa amani

    Leo, Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Lentz alikutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na kujadili umuhimu wa michakato ya uchaguzi huru, wa haki, na wa amani kwa maendeleo endelevu ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa ya Tanzania.
  10. W

    Balozi wa Marekani Nchini Kenya ajiuzulu

    Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu tarehe 13 Novemba 2024. Kulingana na taarifa aliyoitoa leo amedai kuwa ameshawasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais wa Marekani Joe Biden na kutotaja sababu ya kujiuzulu kwake. Meg Whitman, amedumu kama balozi...
  11. B

    Jenerali Muhoozi yamkuta mazito baada ya kumtishia balozi wa Marekani

    Huku ndiko kupigwa kitu kizito sana utosini: Habari ziwafikie wote wenye kuleta fyoko fyoko: "Chezea wengine siyo beberu!"
  12. JanguKamaJangu

    Balozi wa Marekani Michael A. Battle: Kusema Tanzania haijafungamana, uhalisia haupo hivyo

    https://www.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael A. Battle akizungumza na Mtangazaji Salim Kikeke wa Crown FM amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kusimama yenyewe bila kuwa na ushirikiano wa Nchi nyingine. Akiitaja Tanzania amesema dhana ya kuwa...
  13. B

    Balozi wa Marekani, Michael Battle: Nchi haiwezi kusimama pekee yake

    08 October 2024 Dar es Salaam, Tanzania https://m.youtube.com/watch?v=5Acw2Qxhq1c Balozi wa Marekani nchini Tanzania, mheshimiwa Dr. Michael Anthony Battle, Sr. katika mahojiano exclusive kabisa na mtangazaji nguli Salim Kikeke wa Crown Media ya Tanzania. Balozi huyo anayewakilisha maslahi...
  14. USSR

    Jenerali Muhoozi Kainerugaba atangaza mgogoro na Balozi wa Marekani, William Depp kwa kumdharau Rais Museveni

    Mkuu wa majeshi wa uganda Gen Muhoozi Kainerugaba ametangaza kuwa kama taifa wana mgogoro na balozi wa Marekani William Depp na watachukua hatua asipo omba msamaha. Hapa bongo kuna yule Balozi Battle kila siku kelele ni zamu ya Gen Nkunda kumuibukia bila kupepesa macho USSR Fellow Ugandans...
  15. L

    Balozi wa Marekani Nchini Akutana na Kufanya Mazungumzo na Waziri wa Afya Jenista Mhagama.

    Ndugu zangu Watanzania, Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti. Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
  16. Roving Journalist

    Kituo cha Demokrasia (TCD) na Wadau wanajadili Tathimini ya Hali ya Demokrasia nchini, leo 19/09/2024

    https://www.youtube.com/live/N31EQ_oXGJw?si=_5ZvcnFVTooLwMeb Mwenyekiti wa Chadema Taifa na mwenyekiti wa TCD, Freeman Mbowe siku ya leo ameongoza uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya demokrasia nchini kwa mwaka mmoja uliopita, iliyoandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD). Tukio...
  17. Lord Denning

    Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

    Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania. Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni...
  18. J

    SI KWELI LGE2024 Odemba apokea fungu la fedha kuichafua CCM

    UOVU WA ODEMBA WAMBAINIKA! Anatumika na Ubalozi wa Marekani nchini kutaka kuchafua taswira ya Viongozi wa CCM. Odemba ameweka mapenzi ya upinzani mbele kuliko kazi yake! Wachambuzi wadai odemba anapaswa kuomba radhi kwa jamii kutokana na uongo aliozusha juu ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi...
  19. J

    Balozi wa Marekani kumtembelea Joseph Mbilinyi aka Sugu hospitalini alikolazwa!

    Kuna tetesi Kuwa Balozi wa Marekani nchini atamtembelea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu hospitalini alikolazwa Ikumbukwe Kuwa Sugu na Balozi wa Marekani ni Marafiki wakubwa na juzikati Sugu Moto Chini alifanya show ya Muziki ubalozini akishirikiana na bendi ya...
  20. jmushi1

    Makombora ya Marekani yatumika kuipiga Crimea, Urusi yamwita balozi wa Marekani, yasema italipa kisasi!

    Sijui ni kivipi Russia watalipa kisasi kwa marekani kama walivyosema mara baada ya makombora ya marekani kutumiwa na Ukraine kushambulia Crimea ambayo tayari iko chini ya himaya ya Urusi tokea 2014. Habari zaidi… Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilimwita balozi wa Marekani Jumatatu kupinga...
Back
Top Bottom