johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 98,103
- 172,192
Kuna tetesi Kuwa Balozi wa Marekani nchini atamtembelea Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa mh Joseph Mbilinyi aka Sugu hospitalini alikolazwa
Ikumbukwe Kuwa Sugu na Balozi wa Marekani ni Marafiki wakubwa na juzikati Sugu Moto Chini alifanya show ya Muziki ubalozini akishirikiana na bendi ya Jeshi la Marekani
Yeye Sugu huwa anajimwambafy kwamba yule Balozi ni baba yake
Ngoja tuone
Mlale Unono ๐ ๐ ๐ฅ ๐น
PIA SOMA
- Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa akutana tena na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi
UPDATE
- Balozi wa Marekani: Nimeongea na rafiki yangu Sugu kipigo alichopata hakikubaliki, ninalaani kwa nguvu zote