Jenerali Muhoozi Kainerugaba atangaza mgogoro na Balozi wa Marekani, William Depp kwa kumdharau Rais Museveni

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
10,840
26,010
Rugaba.jpg

Mkuu wa majeshi wa uganda Gen Muhoozi Kainerugaba ametangaza kuwa kama taifa wana mgogoro na balozi wa Marekani William Depp na watachukua hatua asipo omba msamaha.

Hapa bongo kuna yule Balozi Battle kila siku kelele ni zamu ya Gen Nkunda kumuibukia bila kupepesa macho

USSR

Kainerugaba.png

Fellow Ugandans, it is my solemn duty to announce to you all that we as a nation are about to have a serious confrontation with the current US Ambassador to our country. For disrespecting our beloved and celebrated President and for undermining the constitution of Uganda.

If this current US Ambassador does not apologize to Mzee personally by Monday morning (9.00am) for his undiplomatic behaviour in our country we will demand he leaves Uganda. We have no problem with the USA, as I have said many times it is a country we love and admire. But lately we have a lot of evidence that they have been working against the NRM government.

If ANYBODY is STUPID enough to attack us here in our country. I can only promise them hell, destruction and defeat!! Afghanistan would look like a nice picnic compared to our Resistance. Our fathers showed us the way, sacrifice is better than slavery.
 
Aliyoongea nayaacha kwanza ila Muhoozi mbona anaropoka sana nae? Nafikiri kulikua na watu wa kumjibu huyo balozi na sio yeye kama Cdf ,kwa kitendo cha kumuonya yeye itaonekana kama jeshi ndio limemuonya Mmarikani sasa hapo kuna nini hapo? Mara atavamia Kenya ,mara Updf ni jeshi takatifu duniani yani ana blah blah balaa
 
Mkuu wa majeshi wa uganda Gen Muhoozi Kainerugaba ametangaza kuwa kama taifa wana ogogoro na balozi wa Marekani William Depp na watachukua hatua asipo omba msamaha.

Hapa bongo kuna yule Balozi Battle kila siku kelele ni zamu ya Gen Nkunda kumuibukia bila kupepesa macho

USSR
View attachment 3115037
Huyu kijana ni mlevi hana akili na hajui anacho ongelea
 
Mkuu wa majeshi wa uganda Gen Muhoozi Kainerugaba ametangaza kuwa kama taifa wana ogogoro na balozi wa Marekani William Depp na watachukua hatua asipo omba msamaha.

Hapa bongo kuna yule Balozi Battle kila siku kelele ni zamu ya Gen Nkunda kumuibukia bila kupepesa macho

USSR
View attachment 3115037
Huyu wa hapa ana kiherehere sana
 
Mkuu wa majeshi wa uganda Gen Muhoozi Kainerugaba ametangaza kuwa kama taifa wana ogogoro na balozi wa Marekani William Depp na watachukua hatua asipo omba msamaha.

Hapa bongo kuna yule Balozi Battle kila siku kelele ni zamu ya Gen Nkunda kumuibukia bila kupepesa macho

USSR
View attachment 3115037
Mbona kaeleza mgogoro bila kufafanua mgogoro ni wa nini, aombe radhi kwa kuwakosea nini?

Hata hivyo, mwanajeshi anaingiliaje mambo ya kisiasa?

Hakuna msemaji wa Serikali?
 
Aliyoongea nayaacha kwanza ila Muhoozi mbona anaropoka sana nae? Nafikiri kulikua na watu wa kumjibu huyo balozi na sio yeye kama Cdf ,kwa kitendo cha kumuonya yeye itaonekana kama jeshi ndio limemuonya Mmarikani sasa hapo kuna nini hapo? Mara atavamia Kenya ,mara Updf ni jeshi takatifu duniani yani ana blah blah balaa
Hilo ni disaini ya matoto yaliyodekezwa na kuaminishwa kuwa nchi ni mali yao ya familia..
Huyu sijui kama atamaliza hata huo ucdf.
 
Back
Top Bottom