bakwata

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

    Baraza kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) mkoa wa Mwanza, limefanya maandamano ya amani kupinga mapenzi ya jinsia moja, Ushoga, ulawiti, ukatili wa kijinsia pamoja na mauaji. --- Pia soma - BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali...
  2. BAKWATA yawataka Watanzania kukataa ndoa za jinsia moja, Mufti ashangazwa wanaume kulawitiana ilhali wanawake wa kuolewa wapo

    Mufti wa Tanzania, Abubakar Zuberi ameshangazwa na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kutokemewa lakini badala yake wanalindwa na kutafutiwa uhalali wa ndoa akiwataka Watanzania wote kulaani na kukataa ndoa za jinsia moja nchini. Mufti alitoa hadithi ya nabii Lut ambapo jamii yake...
  3. Bakwata ni taasisi ya serikali yeye viongozi wa kiislamu

    Uisalam utabaki kuwa uisalam. Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran . Kila kitu kingekuwa sawa. 📌 waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine. ...
  4. BAKWATA yataka CASINO ya Palm Village ifungwe, inaleta Usumbufu kwa Viongozi Wastaafu

    Baraza kuu la Waislam Tanzania, limetaka mfanyabiashara wa Casino Gaming kufunga mara moja kwani wanaleta Uaumbufu kwa makazi ya Viongozi. Casino ipo Palm Village Mikocheni. Tatizo ni kwamba Casino ipo eneo lenye Wananchi wengi na hasa Viongozi Wastaafu kuanzia Familia ya BABA WA TAIFA NA RAIS...
  5. Jifunze hili kwenye hili sakata la ndoa ya Dr. Mwaka na Bakwata

    Salamu zenu... Dini ya kiislaam ni dini ambayo hakuna kitu kuhusu maisha ya mwanadam hakijawekwa wazi utaratibu wake... KILA KITU KATIKA MAISHA YA MWANADAM KIMEWEKEWA UTARATIBU KATIKA UISLAAM...KUANZIA KWENYE QUR-AN HADI HADITH ZA MTUME MUHAMMAD صلى الله عليه وسلم. NDOA, TALAKA, NA MIRATHI...
  6. M

    Mke wa Dr. Mwaka anadai Talaka 3. Sasa yale mafundisho yake ya ndoa tufuate au tumteme?

    Wakuu Huko Millard Ayo karipoti kuwa jamaa mke wake wa South Africa anadai talaka na toka mwaka jana hawako pamoja, sasa yule alitufanya wanaume tuonekane hatuna mapenzi na wake zetu kumbe nae ndani kuna waka moto. Haya mambo tuulizane yale nafundisho yake tuyafuate au tumteme maana hata yeye...
  7. Mufti Mkuu asema "Punguzeni dhambi mvua zinyeshe"

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amewaasa Watanzania kupunguza na kuacha kabisa kutenda dhambi na badala yake wamrudie Mwenyezi Mungu ili kuwaepusha na adha ya ukame ulioikumba nchi. Amesema kukosekana kwa mvua, uwepo wa ukame na kukauka kwa maji ardhini ni ishara kwamba watu wanatenda...
  8. BAKWATA yatangaza Sikukuu ya Eid El-Adh’haa kuwa Jumapili Julai 10, 2022

    Baraza Kuu la Waislamu wa Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa Sikukuu ya Eid El-Adh’haa inatarajiwa kuwa Jumapili Julai 10, 2022 ambapo sherehe za kitaifa zitafanyika Dae es Salaam. Katibu Mkuu wa BAKWATA, Nuhu Mruma ameeleza kuwa swala ya Eid itaswaliwa katika Msikiti wa Mfalme Mohamed VI...
  9. Ofisi ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika 1930s/sasa ofisi ya Bakwata Sheikh wa Wilaya

    OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1930s/SASA OFISI YA BAKWATA SHEIKH WA WILAYA NDANI YA OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA Picha hiyo ya kwanza ingawa imepigwa miaka ya 1930s imebeba historia kubwa sana katika historia ya TANU na kupigania uhuru wa Tanganyika. Katika picha...
  10. BAKWATA wana haki kisheria kugawa mali za wanandoa baada ya kuvunja ndoa?

    Salaam wakuu, Mdogo wangu ndoa yake imevunjwa na baraza kuu la Waislamu(Bakwata) kupitia kwa kadhi wa baraza hilo mkoa fulani huku Bara. Baada ya kuvunja ndoa hiyo baraza hilo linataka mdogo wangu na mtalaka wake watafute watathmini wakakague mali walizochuma kwenye ndoa ili baraza hilo...
  11. Nimeshangaa Mufti kuongea maneno ya kujipendekeza kuwa Rais awasamehe kina Mbowe

    Nimemshangaa Mufti Abubakar Zuberi kwa maneno yake baada ya kukutana na Mhe Rais kuhusu Mhe Freeman Mbowe. Yaani kiongozi mkubwa kama mufti unaongea maneno ya uoga uoga na kujipendekeza eti Rais awasamehe kina Mbowe eti wakirudia tena wachukuliwe hatua. Yaani kiongozi anayewaza adhabu tu...
  12. Tunaifungua nchi kiuchumi sawa; nani aliifunga?

    Habari za majukumu wadau, Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika Zanzibar maswali ni mengi. Mada mbalimbali zimetolewa na wana kongamano. Ujumbe wa kongamano hilo ni "...
  13. Mbunge wa Mbogwe aliyedaiwa kuugua uchizi awaomba BAKWATA kumuombea dua

    "Vipo vyombo vimeibuka na kusema mimi Nicodemus Maganga ni kichaa, niliugua wiki chache zilizopita, ni kawaida kuugua , suala hili liliibuka na kwenye kipindi cha uchaguzi. Hivyo niwaombe ndugu zangu viongozi wa BAKWATA Mbogwe mniombee dua" Nicodemus Maganga, Mbunge wa Mbogwe...
  14. Maswali 11 yenye utata: BAKWATA ilianzishwa na nani?

    Kwanza kabisa huu uzi sio wa nia mbaya yoyote ile nimeanza kulisema hili mapema waswahili wanasema kuuliza si ujinga tunauliza ili tujifunze na kwa nia ya kujipatia elimu na maarifa Na mimi nimeona nijifanye sijuwi lolote ili nielimike. Naombeni mnijibu maswali yafuatayo ambayo yananipa utata...
  15. BAKWATA: Maulid kusomwa usiku wa tarehe 18/10/2021 hivyo tarehe 19/10/2021 ni mapumziko

    Wakuu salaam, Taarifa rasmi kuhusu maadhimisho ya Sikukuu ya Maulid mwaka huu. BAKWATA wanafafanua kuwa itasomwa usiku wa leo hivyo kesho inakuwa ni mapumziko. Hii hapa chini ni barua yao kuthibitisha taarifa hii
  16. G

    Bakwata tuambieni sikukuu ya Maulid ni lini

    Wadau naomba kujuzwa, tusije damka asubuhi mapema kuwahi magari kumbe sio siku ya kazi
  17. Ni yapi Majukumu ya BAKWATA?

    Kwanza nitangulize tahadhari sina nia ya kukashifu dini yoyote wala kufanya uzi huu sehemu ya malumbano Si kwamba nataka kuyaelezea majumu hayo la! Bali nataka mniambie ni yapi maana naona kama nielewavyo mimi sivyo Kuna hiki chombo kilichojipa mamlaka ya kusimamia waislam Tanzania (nina maana...
  18. D

    Bakwata, tani 50 ya Tende zilizotolewa kama msaada na Saudi Arabia zimepelekwa wapi?

    Bakwata tende ziko wapi mlizopewa na ubalozi wa Saudia
  19. U

    Dkt Philip Mpango Mgeni Rasmi Ufunguzi Mkutano Mkuu wa BAKWATA Tanga

    Wadau wa JF Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango atakuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkutano huo mkuu utafanyika siku ya Jumapili Juni 27,2021 Mkoani Tanga Taarifa imetolewa na Katibu Mkuu wa...
  20. BAKWATA mnaruhusu vipi viongozi wa kisiasa kuongoza Misikiti yenu?

    Nimeipokea na kuileta hapa wakuu, Imfikie Mufti Mkuu wa Bakwata. Katika Msikiti wa Kisumu, Mtaa wa Mtambani, Magomeni Mikumi, Dar es Salaam kuna Mgogoro mkubwa unafukuta mwaka sasa na ajabu Mufti wa Mkoa ana makazi yake kama mita 100 toka kwenye huo Msikiti. Hapo nyuma ilitokea kuna Uchaguzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…