Uteuzi: Suleiman Kova ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,751
218,339
Mufti wa Tanzania amemteua aliyekuwa RPC wa Dar es Salaam, Alhaji Suleiman Kova kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA.

Uteuzi huu umekuja kufuatia kujiuzulu ghafla kwa Mwenyekiti wa awali Sheikh Issa Othman, ambaye amefanya kazi hiyo kwa miezi mitatu tu, Sheikh Issa Othman ameachia ngazi kwa madai ya kukumbana na vikwazo vizito kwenye utekelezaji wa Majukumu yake.

Kila la heri Alhaji Kova
 
Mufti wa Tanzania amemteua aliyekuwa RPC wa Dar es Salaam , Alhaji Suleiman Kova kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Maboresho ya BAKWATA .

Uteuzi huu umekuja kufuatia kujiuzulu ghafla kwa Mwenyekiti wa awali Sheikh Issa Othman , ambaye amefanya kazi hiyo kwa miezi mitatu tu , Sheikh Issa Othman ameachia ngazi kwa madai ya kukumbana na vikwazo vizito kwenye utekelezaji wa Majukumu yake .

Kila la heri Alhaji Kova


Wazee ni hazina
Pamoja na kuwa alikua RPC alikua pia muumini wa dini yake

Kila la heri ndugu zetu
 
Ndio maana tunasema BAKWATA ni tawi la kisiasa la chama Fulani ..Nyerere alitukosea Sana waislamu kutuundia dubwana..
Nyerere alifariki 1999, si mlivunje kama haliwafai!? Chuki zenu dhidi ya Nyerere huwa ziko wazi kabisa na hazina sababu!
Tatizo la Waislam siyo Nyerere wala mtu yeyote nje ya Waislam wenyewe.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom