bakwata

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ifuate mfano wa KKKT

    Kanisa la Kilutheri la Kiinjili Tanzania limetoa muongozo kwa viongozi wake wa dini waache kujihusisha na siasa. Jambo hili ni jema haswa ukizingatia kuwa Kanisa hilo lina waumini ambao wana mrengo wa vyama tofauti vya siasa kwa hiyo siyo busara kwa viongozi wa kiroho wa kanisa hilo...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini BAKWATA inashindwa kumpa miongozo sahihi kiongozi wa dini Sheikh Ponda?

    BAKWATA ndio chombo cha juu kabisa cha waislamu nchini Tanzania kikiongozwa na Mufti. Hizi taasisi nyingine ni jumuiya tu lakini chombo kikuu chenye utambulisho wa kuwawakilisha waislamu kitaifa ni Bakwata. Ndio maana hata kwenye Bunge la Katiba waislamu nchini Tanzania waliwakilishwa na...
  3. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Bakwata uislaam huo mmeutoa wapi? Kumbukeni moto ni mkali sana mtaenda chomwa

    Nayaandika haya nikiwa na uchungu mkubwa rohoni mwangu. Nikiangalia wale walio pewa mamlaka ya usimamizi wa sheria ya Allah wanafanya mambo mazito ya kumuasi Allah na kudhulumu watu. Kwanza nibainishe mimi sio mtu wa kuendeshwa na mihemko ya kiharakati... Sina chuki juu ya bakwata na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Ninachofahamu kuhusu BAKWATA

    Mara nyingi Watanzania hususani Waislam tumekuwa katika mkanganyiko mkubwa kwamba BAKWATA ni ya Waislam, wengine wakisema ya serikali, na wengine wakiwa na majibu yao mengine! Nimekuwa nikimsikiliza mtu mmoja hapa katika mikutano yake nanukuu "BAKWATA ni tawi la Kanisa," baada ya kusoma rejea...
  5. zubedayo_mchuzi

    JamiiForums Tanzania BAKWATA iliundwa na nani?

    Habari zenu Wana JF, Leo tujikite kwenye swala hili ambalo kimsingi ndio chimbuko la mgawanyiko wa maslahi ya watu fulani fulani. Nimekuwa nikipitia pitia vyanzo vingi ili kujua ni nani walioanzisha BAKWATA ambayo mpaka muda huu imekuwa ikilalamikiwa na Waislamu wengi kuwa ipo chini ya...
Back
Top Bottom