bakwata

The National Muslim Council of Tanzania is an Islamic organisation based in Tanzania. It is well known by its Swahili acronym BAKWATA.
BAKWATA is a well-established faith-based Islamic organisation registered since 1968. The Council has branch offices all over Tanzania with a network from the national to grassroots level with 22 regional and 169 district offices served by over 3000 sheikhs.Around 10,800 mosques run under its co-ordination. It owns around 40 acres of land in
each of its 22 regions and it has 32 secondary schools, two teachers’ colleges, 30
theological colleges, and a radio station and support numerous madras schools.

From the
late 1990s, BAKWATA has organised and facilitated training for its Muslim scholars on
environmental issues.
Ongoing work on environmental issues includes: environmental education for madras
pupils in 10 coastal districts, environmental education and management clubs in 10
secondary schools owned by BAKWATA and spreading the use of environmental
theological materials in religious ceremonies and sermons on Friday prayers for more
than 80 imams and sheikhs throughout Tanzania.
from 2016 BAKWATA is Offering free education under Mufti Office. this special knowledge is offered to Islamic Imams and Qur an Teacher In Several Centers in different region
the course is aimed to empower them in computer and information Technology and conflict arbitration

the headquarter of BAKWATA is in Kinondoni shamba area, Kinondoni district, Dar es salaam Region

View More On Wikipedia.org
  1. Mkunazi Njiwa

    Sheikh Mkuu wa Tanzania: Muislam hajiendei endei tu,bila amani na utulivu hatuwezi kufanya Ibada zetu na kuishi vyema

    Amani na utulivu.. Ametuasa TUSIJIENDEE ENDEE tu....tusifuate mambo bila kujua undani wake..... Tusipelekwe pelekwe tu kwani Uislam unataka tutumie vyema matumizi ya akili..... Amesema ,tufahamu UMUHIMU WA AMANI na UTULIVU katika nchi. #Nchi Kwanza😍 #Uwe na uchungu na nchi yako 😍
  2. B

    BAKWATA yatoa tamko kuhusu joto la utekwaji na mauaji

    Ofisi za Makao Makuu BAKWATA Kinondoni Tanzania BAKWATA YATOA TAMKO KUHUSU JOTO LA UTEKWAJI NA MAUAJI. https://m.youtube.com/watch?v=J0sxfuUAyJI Tamko hilo rasmi la maandishi likisomwa na Sheikh Hassani Chizenga katibu wa baraza la Ulamaa Tanzania ambaye pia ni Sheikh, Hassani Chizenga...
  3. M

    PreGE2025 Mbunge Kimei achangia shilingi milioni tano ujenzi wa Madrasa Msikiti mkuu wa Taqwa - BAKWATA Kahe

    Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei ameendelea kuunga mkono juhudi za madhehebu ya dini katika kujenga miundombinu mbalimbali yenye lengo la kutoa huduma za kiimani na kujenga maadili kwa jamii. Katika kuhakikisha hilo jana tarehe 30 Agosti, 2024 ametekeleza ahadi yake...
  4. U

    Kikao cha maandalizi ya Maulid ya kitaifa kufanyika Geita

    Katibu Mkuu BAKWATA alhaj Nuhu Jabir Mruma anaongoza kikao cha Bakwata mikoa sita kinachofanyika ukumbi wa maonyesho EPZ mjini Geita. Kikao hiki kinashirikisha masheikh, makatibu, wenyeviti, wahasibu na wajumbe wawakilishi wa halmashauri ya Bakwata taifa wawakilishi wa mikoa pamoja na...
  5. U

    Tabora: BAKWATA wamng’oa sheikh anayedaiwa kufungisha ndoa mara mbili

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Tabora. Katika hali isiyo ya kawaida, Baraza Kuu la Waislamu (Bakwata) katika Kata ya Mtendeni, Manispaa ya Tabora, limeazimia kumuondoa katika nafasi yake, sheikh wa kata hiyo, Bakari Sikonge kwa madai ya kufungisha ndoa mara mbili pamoja...
  6. M

    Bakwata itatoa tamko walinzi wa kiume kuingia na kuchanganyika na wanawake ni ruksa

    Moyo wangu unajisukuma kuandika haya, kwa kuwa naona kesho. Ndani ya muda mchache kuanzia sasa Baraza kuu la waislam wa BAKWATA litatoa tamko kuwa ni sahihi kwa walinzi wa Rais kuingia na kuchanganyika na wanawake. Sababu kuu ikiwa ni Quran haijakataza kuchanganyika sawa na tofauti za...
  7. Suley2019

    BAKWATA watangaza Iddi ya kuchinja kuwa Juni 17, 2024

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata), limesema Sikukuu ya Eid el Adh’haa itakuwa Jumatatu Juni 17 na swala yake itaswaliwa katika msikiti wa Mohamed VI uliopo makao makuu ya baraza hilo Kinondoni. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Juni 8, 2024 na Katibu Mkuu wa Bakwata, Alhaji Nuhu Mruma...
  8. S

    BAKWATA ichunguze Msikiti wa Kingo unaojengwa Morogoro

    Asalaam Aleykum warahmatullahi wabarakatu. Kwa heshima na Taadhima, nawaomba Baraza la malumaa pamoja na Mwenyekiti wao wauchunguze msikiti huu wa Kingo uliyopo Morogoro ambao hivi sasa upo kwenye ujenzi.Nawapongeza sana kwa hatua waliofikia. Tatizo kubwa la msikiti huu pamoja na kuwa na imamu...
  9. J

    PreGE2025 BAKWATA Arusha yamfanyia Dua Maalumu RC Makonda Ili aweze Kufanikiwa katika Malengo yake ya Uongozi

    Sheikh wa mkoa wa Arusha Sheikh Shaaban Bin Juma akiambatana na viongozi wengine wa BAKWATA mkoa wa Arusha leo, Mei 07.2024 ameongoza sala maalum ya kumuombea kheri Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda ili aweze kufanikiwa kwenye programu yake maalum inayoanza kesho Mei 08.2024...
  10. B

    Rais Samia atoa pole mafuriko ya Rufiji na Moro. Atoa maagizo haya mazito kwa BAKWATA na Serikali

    10 April 2024 MH. RAIS DR. SAMIA S. HASSAN MGENI RASMI BARAZA LA IDD 2024 RAIS SAMIA ATOA POLE MAFURIKO ya RUFIJI na MORO - ATOA MAAGIZO HAYA MAZITO KWA BAKWATA na SERIKALI https://m.youtube.com/watch?v=6UqmPgp6mtY Serikali ipo pamoja na wananchi wa Rufiji na maeneo ya mkoa wa Morogoro asema...
  11. D

    Kuna Muislamu anaendelea kuwafata Bakwata kwa chochote?

    Hii clip ni fikirishi sana, Mufti alipewa amri kutoka Juu atangaze muandamo wa mwezi ambao haupo.
  12. chiembe

    Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Dunia haina siri, waislamu wamefunguka kwamba ule msikiti ambao JPM alikuwa anatamba kuwaombea waislamu wajengewe kumbe ni kazi iliyoanza enzi ya JK mpaka Mufti akasafiri kwenda kwa nchi iliyofadhili ili wakajadiliane. Iwe bhojo!
  13. BARD AI

    Katibu BAKWATA Kagera akatwa mkono, mkataji auawa kwa kipigo

    Mkazi wa Muleba mkoani Kagera, Abdulmalick Yahya (42) ameuawa kwa kushambuliwa na wananchi, baada ya kuonekana akimshambulia kwa panga Katibu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) Mkoa wa Kagera, Hamza Zacharia (43). Kutokana na tukio hilo, Zacharia anauguza majeraha katika Hospitali ya...
  14. Maleven

    BAKWATA naomba mtusaidie hili la matumizi ya speaker swala ya asubuhi

    Sasa kwa mfano hapa, wameshatoa azana kisha wameamua kuweka audio ya sheikh anazungumzia mambo ya ndoa ya ndani kabisa, kwa nature ya audio inaonekana kilikua cha wanawake tu tena watu wazima ila hapa imewekwa kwa nguvu kabisa1 asubuhi hii. Mbona misikiti mingine hawafanyi hivi? Mbona waislam...
  15. Mohamed Said

    Tujikumbushe historia ya Bakwata Oktoba hadi Desemba 1968 (Sehemu ya 4)

    Mkutano wa Iringa ulipitisha katiba ya jumuiya mpya ya Waislam, katiba ambayo ilikuwa sawasawa na katiba ya TANU. Hivi ndivyo BAKWATA ilivyoundwa. BAKWATA ikamchagua Saleh Masasi, Muislam tajiri na ambae alikuwa kama mwenyekiti wa mkutano ule kuwa Mwenyekiti wa Taifa na Adam Nasibu akawa...
  16. Mohamed Said

    Tujikumbushe historia ya bakwata october - december 1968 sehemu ya tatu

    Hadi kufikia juma la kwanza la mwezi wa Desemba, mikoa mitatu kati ya kumi na saba ilikuwa tayari imeshajitenga kutoka EAMWS. Kile kikundi cha Adam Nasibu kikaunda kamati kwa ushirikiano na Kamati ya Maulidi ya Dar es Salaam, Adam Nasib akiwa Katibu. Kamati hii ikaitisha mkutano Ukumbi wa...
  17. Mohamed Said

    Tujikumbushe historia ya bakwata october - december 1968 sehemu ya pili

    Hata hivyo, tarehe 14 Novemba, 1968, Baraza la EAMWS la Tanzania liliitisha mkutano wajumbe kutoa mikoa yote ya Tanzania kujadili ‘’mgogoro.’’ Pamoja na waliohudhuria ni wajumbe kutoka mikoa ambayo tayari ilikuwa imekwishajitenga na EAMWS. Mkutano huu ulifanyika katika shule ya Kiislam ya...
  18. Mohamed Said

    Miaka 55 ya BAKWATA: Tujikumbushe Historia Yake na Yaliyotokea October - December 1968

    TUJIKUMBUSHE HISTORIA YA BAKWATA OCTOBER HADI DECEMBER 1968 SEHEMU YA KWANZA "... ikadhihirika kuwa serikali ilikuwa imepania kuivunja EAMWS kwa kuwatumia Waislam wachache walioteuliwa kwa kazi hiyo. Lengo likiwa ni kuanzisha taasisi mpya ambayo serikali itaweza kuiamuru. Ieleweke hapa kuwa...
  19. Erythrocyte

    Twaha Mwaipaya: BAKWATA imewekwa mfukoni na Serikali

    Mwanasiasa Kijana , Mfungwa wa Kisiasa na Mateka wa awamu ya 6, Katibu mwenezi wa Bavicha, Twaha Mwaipaya, akizungumza kwenye Maadhimisho ya miaka miaka 3 tangu kufariki kwa Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif, ameilaumu BAKWATA kwa kuwekwa mfukoni na serikali kiasi cha kushindwa kuikosoa...
  20. Mohamed Said

    Aga Khan na Viongozi wa BAKWATA 1980s

    AGA KHAN PATRON WA EAMWS ALIPOKUTANA NA VIONGOZI WA BAKWATA MIAKA YA 1980 Nakusudia In Shaa Allah kuweka hapa makala mbili au tatu hivi kueleza yaliyotokea baada ya miaka mingi na Aga Khan aliyekuwa Patron wa EAMWS kujaribu upya kusaidia Waislam wa Tanzania lakini safari hii kupitia BAKWATA...
Back
Top Bottom