Serikali kamwe haiwezi kuendeshwa kwa waraka wa TEC wala BAKWATA.
Kila mwananchi anayo haki ya kutoa maoni yake lakini sio lazima kila maoni yafuatwe.
TEC imetoa waraka wake pia BAKWATA inaweza pia kutoa waraka wake lakini sio lazima Serikali ifuate waraka huo.
Jambo la msingi vyombo hivi vya kidini TEC na BAKWATA visijiingize kwenye siasa kwani kufanya hivyo vitawavuruga wananchi.
Taifa hili ni la watanzania wote tuache chokochoko.
Tunamuomba Rais wetu ashikilie hapohapo kamwe asikubali kuyumba wala kuyumbishwa na wanafiki wachache.
Mimi ni RC lakini sikubaliani na waraka wa Baraza kwasababu lengo lake ni kuwagonganisha vichwa watanzania, siungi mkono UNAFIKI na ufitinishaji.
Kwenye suala hili la waraka nasimama na Nchi yangu Tanzania na ninaunga msimamo wa Serikali. Siwezi kufuata unafiki.
Jana nilikuwepo kanisani na nilosikiliza kwa makini waraka uliposomwa, sikuona ulazima wa Baraza kufanya hivyo zaidi ya kueneza chuki na mitafaruku jambo ambalo sio Zuri kwa taifa letu.
Lengo la waraka sio kukosoa au kutoa maoni bali lengo ni kuivuruga Serikali na wananchi.
tunaishauri serikali isikubali kuyumba wala kuyumbishwa na UNAFIKI.
Mwisho nasisitiza na kutoa angalizo, hii tabia ya Baraza kutoa waraka yenye lengo la kuvuruga umoja na mshikamano wa Taifa letu isipo kemewa ndani basi itabomoa misingi ya umoja na mshikamano wa nchi yetu.