bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Dreva bajaji anusurika kutekwa na watu wanaodhaniwa ni ‘askari’ eneo la JUWATA Morogoro mjini

    Ilivyokuwa Bajaji ziligongana zenyewe mbili hapo juwata njia ikawa blocked. Watu waliovaa kiraia wakashuka kwenye land cruiser nyeupe tinted wakawa wanawafokea wale bajaji. Mmoja wa wale bajaji akawa anajitetea hawezi kutoa bajaji kutokana na Hali iliyokuwepo mpaka watu wasogee. Reaction ya...
  2. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Bodaboda na bajaji zimesaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza uhalifu nchini, vijana wengi wamestaarabika

    Bodaboda na bajaji zimesaidia kutoa ajira kwa vijana wengi hapa nchini hivyo imepunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya kiuhalifu (ukabaji) hapa nchini kulinganisha na miaka ya nyuma ambapo vijana ajira walikuwa hawana na hawana namna ya kupata pesa zaidi ya kuiba na kupora(kukaba) . Pia...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za Pikipiki na Bajaji (Sehemu ya Tano)

    JINSI YA KUSIMAMIA NA KUENDESHA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI. ⚙Watu wengi wanatamani sana kufanya  Biasha hii, laikini hawajui jinsi gani wanaweza kusimamia biashara yao ili iweze Kukua na kuleta manufaa na faida. Suala hili limekuwa changamoto zaidi kwa wale wenye...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za pikipiki na bajaji (sehemu ya nne) Inaendelea

    SPEA MUHIMU ZA KUANZA NAZO KWENYE BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI REJAREJA. Mjadala wa leo utajikita zaidi kwenye Spea za umuhimu zaidi kuanza nazo kwenye duka lako jipya kama mfanyabiashara mpya wa spea za pikipiki. ⚙kwanza nimuhimu kufahamu aina ya pikipiki unazohitaji kuuza spea zake kama...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya Spea za Pikipiki na Bajaji (sehemu ya Tatu) inaendelea...

    JINSI YA KUFANYA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI REJAREJA REJAREJA ⚙Mambo Muhimu zaidi ya Kuzingatia kabla ya kuanzisha Biashara ya spea za pikipiki na bajaji rejareja🎯 Ukitaka kuanzisha biashara ya spea za pikipiki na bajaji ni rahisi sana, ila inahitaji msingi thabiti na msimamo...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya pili)

    Sehemu Iliyopita tuliishia kwenye mjadala wa mtaji, Inaendelea... MTAJI WA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI KWA WAUZAJI WA REJAREJA: Makala hii ya Pili Itaangazia zaidi bishara hii kwa wale wanaopenda kufanya rejareja. Hakuna mtaji kamili/sahihi wakuanza nao. Mtaji hutegemea zaidi hali ya kiuchumi ya...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji (Sehemu ya Kwanza)

    KAMA UNA MTAJI NA UNATAFUTA BIASHARA YA KUFANYA? Umeshawahi kufikiri kuhusu biashara ya spea za pikipiki na bajaji? Hii ni moja kati ya biashara zinazokua kwa kasi sana, kwani maelfu ya vijana wamejiari kwenye boda boda na bajajiIdadi hii inaongezeka siku hadi siku, hivyo kufanya idadi ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Fieldforce na uongozi wa Morogoro wawa kikwazo kwa waendesha bajaji

    Ni huzuni na kero kwa hili linaloendelea mjini Morogoro, Fieldforce wamejikita kukamata bajaji, Pia Tarura na sector zingine za kiutawala zote zimetolea macho waendesha babaji kwa kamatakamata na uwazishwaji wa vitu vipya Kila uchao ili tu kutengeneza mianya ya kujinufaisha huku wakiwaweka...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama una pesa za majini au za ufisadi zitupe kwenye biashara ya bodaboda na Bajaji

    Hii biashara soko lake limejaa vijana walioharibikiwa akili na ufahamu. Bajaji moja sasa si chini ya millioni 10 za Kitanzania. Pikipiki moja sasa si chini ya millioni 3 za Kitanzania. Utupe hiyo pesa eti kisa tu pesa utakuwa unaletewa nyumbani. Unawajua bodaboda wewe 😂😂😂 Itazame hii picha...
  11. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Bajaji inauzwa Milion 1

    INAPATIKANA BEI POA! 🔥 🛺 Bajaji inauzwa – Bajaj Maxima 📍 Mahali: Yombo Vituka Sigara – Karibu na Viwanja vya VETA Maelezo Muhimu: Aina: Bajaj Maxima Hali: Imetumika Tatizo: Inahitaji matengenezo ya engine (engine imeharibika) Bei: Tsh 1,000,000 (milioni moja tu – maelewano yapo...
  12. iPhone 6

    JamiiForums Tanzania Bajaji inauzwa

    BAJAJI INAPATIKANA BEI POA! 🔥 🛺 Bajaji inauzwa aina ya Maxima (Imetumika) 📍 Mahali: Yombo Vituka Sigara – Karibu na Viwanja vya VETA Maelezo Muhimu: Aina: Bajaj Maxima Hali: Imetumika Tatizo: Inahitaji matengenezo ya engine (engine imeharibika) Bei: Tsh 1,000,000 (milioni moja...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mavunde Azindua SACCOS ya Waendesha Pikipiki na Bajaji Dodoma

    MAVUNDE AZINDUA SACCOS YA WAENDESHA PIKIPIKI NA BAJAJ DODOMA. ▪️Atoa rai SACCOS kuwainua Vijana kupitia mkopo wa Asilimia 10 ▪️Ataka Vijana wamiliki vyombo vyao vya usafiri ▪️Wampongeza Rais Samia kwa ujenzi wa ofisi ya Waendesha Pikipiki na Bajaj Dodoma(UMAPIDO) Dodoma Mbunge wa Jimbo la...
  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Bajaji nne zapinduka muda tofauti Ubungo maji, hakuna vifo

    Wananchi wakisaidia kuwatoa abiria waliopata ajali ya bajaji iliyoanguka katika eneo la Ubungo Maji, mchepuko wa Barabara ya Morogoro. Kwa mujibu wa mashuhuda, bajaji nne zimeanguka katika eneo hilo kwa nyakati tofauti. Katika ajali hizo, hakuna vifo vilivyoripotiwa, lakini majeruhi kadhaa...
  15. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Ninaitafuta bajaji ya mkataba

    Nahitaji bajaji ya mkataba Kama unayo au unaweza kuniunganisha na mwenye nayo. Mawasiliano: PM tuzungumze 0781694294
  16. King Loto

    JamiiForums Tanzania natafuta bajaji iliyo na good condition nipo dar.

    Wakuu mwenye anauza bajaji ani PM inbox, isiwe na kipengele, natoa box mbili tu kwa dalali..... Mimi napatikana mbezi makabe. Bei ni mazungumzo Hit my PM Kwa muuzaji aliye serious tu.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kuna wezi na matapeli wana vitambulisho na sare za Tarura feki wanatembea na boda au bajaji wanakamata madeni na wrong parking

    Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni! Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki! Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao! Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
  18. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Bajaji biashara kichaa Kuna jamaa kanunua juzi bajaji mpya Leo imepata ajali haitamaniki milion 10 zimeenda

    Aisee, huku mtaani kuna jamaa alinunua bajaji juzi, akampa dereva ili ampelekee hesabu kila siku. Leo asubuhi bajaji imepata ajali mbaya sana—haitamaniki kabisa. Imeharibika vibaya kiasi kwamba sasa ni ya kuuza kama chuma chakavu tu. Milioni kumi zimepotea kizembe sana. Yule jamaa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Bajaji used TVs no D zinauzwa bei nzuri zipo Dar

    Bajaji Tvs no DGK inauzwa , kwa sasa IPO inafanya kazi mbezi Bei 3M Contact: 0675336219
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bodaboda, Bajaji na Wajasiriamali Dar wagomea maandamano CHADEMA

    Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa...
Back
Top Bottom