Mvua kubwa zimeendelea kupiga Mombasa for the last three days, zikisababisha mafuriko makubwa across all six sub-counties including Changamwe, Jomvu, Kisauni, Likoni, Mvita na Nyali. Situation imekuwa mbaya kiasi kwamba takriban watu 390 wamelazimika kuhama makazi yao, especially maeneo ya Jomvu...