baharini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    PostGE2025 Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuawa miili kutupwa baharini

    Maridhiano yalipaswa kufanyika kabla ya ndugu zetu kuuwawa miili kutupwa baharini na kabla yeye kujiteuwa kuwa rais. Hakuna cha maridhiano wala bibi yake na maridhiano
  2. figganigga

    Warangi Mnawaonea. Ukikataliwa na Mkenya Kaoge maji ya baharini🤣🤣

    Kuna watu wanawawaonea Warangi, Wanyanturu, Wanyiramba eti ni maharage ya Mbeya. Ushakutana na Wakenya wa Nairobi wewe? Ukimuomba Mkenya kududuana akakataa au akakuzungusha zaidi ya siku tatu, nenda kaoge maji ya baharini uondoe mikosi🤣🤣 Yaani Wakenya unajigeuzia kama chapati.. Hahitaji nauli...
  3. Gudasta

    Samaki gani wa baharini (maji chumvi ) ni mzuri kwa supu......

    Wataalam wa samaki wa baharini, naomba kujua ni samaki gani wa baharini ni mzuri kwa kupika supu.. Aksante.
  4. generationn Z

    Utofauti wa speed nchi kavu, angani na baharini

    Iko wazi, kwa kila mtumiaji wa map zinazopatikana ktk simu zetu amewah kupima speed pale anapokuw safarini. Sasa swali langu ni. Ikiwa uko baharini(boti/meri) au angani(ndege/parachuti) hii map itaendelea kufunction km kawaida au kutakuwepo na mabadiliko? Nauliza hivo maana sijawahi panda...
  5. Mshana Jr

    Hazina za baharini

    Kuna mambo makuu matatu baharini 1. Ikutapike 2. Ikumeze 3. Ikuzike Bahari haifugi uchafu ndio maana always maji yake ni safi kutokana na utaratibu iliyojiwekea ya kujitibu Ukikikuta pwani ujue kimetapikwa Ukikikuta kwenye tumbo la mnyama bahari jua kimemezwa Ukikikuta chini ya uso wa bahari jua...
  6. 05CUBA

    Tenda wema kwa mipaka watu hawana shukrani

    iwe funzo kwa watu kuwa na utu na moyo wa shukrani na pia kwa wengine iwe funzo la kuto kujitoa sana kwa watu Waka acha mambo yao Kila mtu anapitia high na lows. Hakuna mtu anapitia highs peke ake., hivyo kila mwanadamu huwa anakuwa na dharura kwa wakati flani maishani na atahitaji tu msaada...
  7. L

    Hii Ndio Picha Bora Ya Siku iliyoteka Mitandaoni na anga la Siasa Za Tanzania. Inatembea mitandaoni kama Upepo wa Baharini

    Ndugu zangu Watanzania, Ni raha na kuna raha kubwa sana pale unapoishi mioyoni mwa watu,pale unapoleta furaha na tabasamu machoni na mioyoni mwa watu,pale unapoonekana tumaini la watu,pale unapoonekana jawabu la matatizo ya watu,pale unapoonekana faraja kwa Maisha ya watu,pale unapoonekana...
  8. Fbn

    Watu wa karibu na bahari wanajifanya wanajua kupara samaki basi kuna samaki wanapatikana amazoni sio baharini unatumia nyundo na cheche zinatoka

    Kuna samaki anapatikana amazoni kwa jina Arapaima (pia anajulikana kama Pirarucu au Paiche). Huyu ni mmoja wa samaki wakubwa kabisa wa maji baridi duniani na hupatikana kwenye Mto Amazon. Magamba yake ni magumu sana na yanakinga hata meno ya wanyama wakali kama mamba na piranha. Ili kuondoa...
  9. President of China

    Kampuni ya Meli ya China na Tanzania (SINOTASHIP): Nguzo ya Usafirishaji wa Mizigo Baharini

    KUNA WATU WANAUMIA WAKONA MAENDELEO YA TANZANIA Serikali ya Tanzaniaimeendelea kushirikiana na wadau mbalimbaliikiwemo Serikali ya Jamhuri ya Watu wa Chinakatika kuboresha huduma za uchukuzi katikaBahari. Mkakati huo umeendelea kutekelezwa naKampuni ya Meli ya China na Tanzania(SINOTASHIP)...
  10. Mshana Jr

    Chumvi ya Baharini ‘Sea Salt’ na Chumvi ya Mawe ‘Rocky Salt’ Zinatofautina katika namna hizi

    1. Sea salt inakuwa imetokana na kuvukisha maji ya bahari wakati ile ya mawe inachimbwa kutoka miamba inayodhaniwa kuwa ilitokea baada ya habari au maziwa ya zamani kukauka 2. Chumvi ya bahari huwa inakuwa na rangi nyeupe au off-white wakati zile za miamba kama Himalayan salt zinakuwa na rangi...
  11. R

    Waya wa umeme ukitumbukia baharini, umeme unafika mpaka wapi?

    Eti wakuu, kwa mfano nguzo ya umeme ikianguka (mfano Kigamboni) na waya ukaingia baharini, umeme unaweza ukaleta madhara kwa umbali upi?? Hadi Zanzibar au mpaka Ulaya?? Wataalam wa Electricity mje kutupa elimu huku.
  12. Mshana Jr

    Maajabu ya baharini

    Mojawapo ya mafumbo ya chini ya maji ambayo hapo awali yaliwashangaza wataalam ni ugunduzi wa michoro ya ajabu kwenye mchanga yenye muundo wa duara karibu kabisa uliopatikana chini ya bahari karibu na Japani. Iliwachukua muongo mmoja kujua kwanini ilitokea na kwanini ilitokea ghafla na kutoweka...
  13. Mshana Jr

    Ubunifu: Marembo kwa kutumia makombe ya baharini

  14. Yoda

    Ethiopia yenye nguvu ilishindwaje kupenya baharini kupata bandari pembe ya Afrika?

    Ethiopia huwa inahesabika kama taifa lenye nguvu na mojawapo la himya za kale zaidi katika bara la Africa, kinachonishangaza ni wao kukosa upenyo wa baharini kuwawezesha kuwa na bandari yao tena wakiwa karibu kabisa na bahari za Hindi na Red Sea. Karne zote hizo wamishindwaje kumpata mnyonge...
  15. L

    Huawei yazindua mradi wa uhifadhi wa eneo lililohifadhiwa la baharini nchini Kenya

    Mwanzoni mwa karne ya 20, harakati za wahifadhi mazingira zilizochochewa na watu mashuhuri kama vile John Muir, Gifford Pinchot, na Paul Sarasin zilisisitiza haja ya kuhifadhi mazingira ya asili. Katika kukabiliana na mahitaji yanayokua ya kulinda mazingira haya ya asili na kuratibu juhudi za...
  16. Rorscharch

    Je, kuzaliwa baharini kunakupa Uraia wa Nchi gani?

    Kuzaliwa baharini ni tukio la nadra linalochochea maswali ya kisheria na kijamii kuhusu utambulisho wa uraia. Je, mtu anayeona mwanga wake wa kwanza akiwa majini, anahesabika kama raia wa nchi gani? Swali hili linaibua changamoto za kipekee, huku majibu yake yakitegemea vigezo mbalimbali...
  17. Mshana Jr

    Hofu ya mto unapoingia baharini

    Wajuvi wanasema kwamba kabla ya kuingia baharini, mto unatetemeka kwa hofu; unatazama nyuma katika safari nzima, vilele na milima ulikopitia, barabara ndefu na yenye kupindapinda iliyovuka kati ya misitu na miji, na mwishowe unaona mbele yake bahari kubwa sana hivi.. Kiasi kwamba kuingia ndani...
  18. GENTAMYCINE

    Nitamdharau zaidi mwana Simba SC yoyote anayejidanganya kuwa leo Mtoto atampiga Baba Bustanini Kwake Baharini

    Kama Sisi wenyewe tu (Simba SC) wale tuliokuwa tukidhani ni Watoto wetu Wapendwa wataweza Kutulegezea tukikutana nao lakini Wote wanatudindia tu huku wakitukosakosa Kutufunga na mara nyingine Marefa huwa wanatubeba tusije Kuadhirika ndiyo leo tumuombee Mtoto Mnafiki aweze Kumpiga Baba yake...
  19. GENTAMYCINE

    Mikoa saba kupata mvua kuanzia leo usiku

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema baadhi ya maeneo ya mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Mtwara, Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia pamoja na Uguja na Pemba yatapata mvua nyepesi kuanzia leo saa 3:00 usiku. "Angalizo la mawimbi makubwa yanayofikia mita mbili limetolewa kwa...
  20. Yohimbe bark

    Ni kweli biashara za ziwani au baharini na madini bila uchawi hautoboi?

    Habari wakuu, hivi ni kweli biashara hizi bila ndumba hutoboi? Sisi wengine tupo kati kwa Mungu kama hatupo na kwenye ndumba ni weupe kabisa ila ndio hivyo tunaforce hivyo hivyo. Mimi nimeanza biashara za ziwani ila mambo ninayoambiwa hadi naogopa, wanasema watu wamekuja na mitaji yao wamepotea...
Back
Top Bottom