bagamoyo

Bagamoyo, Tanzania, is a town founded at the end of the 18th century, though it is an extension of a much older (8th century) settlement, Kaole. It was the capital of German East Africa and was one of the most important trading ports along the East African coast along the west of the Indian Ocean. In 2011, the town had 82,578 inhabitants and is the capital of the Bagamoyo District.

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari ya Bagamoyo nani mkweli?

    Awamu zilizopita zilisaini mikataba mingi ikiwemo ya madini, gesi n.k Awamu ya tano nayo imesaini baadhi ya miakataba Lakini inapokuja swala la mradi wa bandari ya Bagamoyo Awamu ya 5 walituambia mradi haufai lakini tumesikia tukiambiwa walishauriwa vibaya Swali ni je, kwa uzoefu wetu katika...
  2. Duplicate_90

    JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa suala la bandari ya Bagamoyo ni uthibitisho kuwa Kikwete ndo anaeongoza nchi kwa sasa!

    Hivi karibuni kumeibuka suala la bandari ya bagamoyo ambayo mh. Hayati JPM alilikataa kwa kuwa mkataba wake ulikuwa wa kinyonyaji. Hivi karibuni suala hilo limeibuka tena upya na spika wa bunge ameonekana kulikingia kifua na kudiriki kusema kuwa Mh Rais alishauriwa vibaya. Je, Mh Ndugai...
  3. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Bagamoyo ijengwe kama Bandari ya kimkakati isifanye kazi zinazofanywa na bandari ya Dar

    Bandari ya Bagamoyo ijengwe kama bandari ya kimkakati iwekewe gari(berth) ambazo bandari nyingine hazina. Pia ujenzi wake kama utapitishwa itabidi tenda itangazwe upya na mzabuni atakayeshinda ndio atajenga tusimkumbatie mchina hata kama ni rafiki yetu. Tanzania tangu tupate uhuru hatuna...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa uhusiano wa Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR

    Habari za Leo wakuu, Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR. Hivyo vitu viwili vinaingilianaje? Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR? Naomba kuwasilisha mada mezani
  5. winnerian

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bagamoyo na Mundelezo wa kundi la "CCM" kuendelea kuila nchi kwa mrija

    Ikumbuke kwamba mambo mengi yanayopitishwa na bunge au kwa lugha raisi "kikundi laghai cha CCM" yanapita kwa njia moja kuu. Njia hii ni kuwahonga mabilioni ya pesa wabunge, individually yaani mmoja mmoja, na hatimae wote wanakuwa kitu kimoja. Wakishakuwa kitu kimoja wanaanza kuimba wimbo mmoja...
  6. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Nawaamasisha Watanzania tuandamane kupinga Ujenzi wa Bandari Bagamoyo

    Ndugu zangu watanzania, Hii nchi sio ya Ndugai wala Wabunge, hii nchi ni yetu sote sisi na watoto wetu. Kumbukeni hatuna sehemu duniani ila hapa Tanzania. Huu ujenzi wa bandari hii ni kujifunga na kuuza nchi yetu kwa mataifa mengine. Hebu fikirieni kuna nchi mpaka sasa zimekabwa mashirika yao...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya kubainika ufisadi wa kutisha, anataka kujifichia kwenye Mradi Bandari ya Bagamoyo?

    Eti, Rais hakushauriwa vizuri kuhusu mradi wa ujenzi bandari ya Bagamoyo, Wakati huohuo yeye ndiye mshauri mkuu wa serikali, alikuwa wapi? Raisi wetu amefariki ndo kunampa mwanya wa kumwandama na kumkandia kila Neno Baya, sasa tunataka mtwambie kama Kweli kazi yenu ni kuishauri serikali na...
  8. funaku

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo ilishaporwa na mafisadi; mradi wa bandari utakuwa ni neema kwao

    Ukienda maeneo ya Mbegani ambapo ndio eneo linalooendekezwa kujengwa bandari hutawakuta wenyeji tena bali mafisadi waliojimilikisha ardhi walizonunua kwa bei ya chini ili wasubiri fidia. Huo mradi sitegemei kuwafaidisha wazawa wa bagamoyo bali mafisadi waliokimbilia huko.
  9. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kosa la Kakoko ni kuzuia mradi wa Bandari ya Bagamoyo

    Nimemsikiliza Rais Mama Samia tokea achukue hatamu za uongozi na leo spika wa Bunge kuhusu Bandari ya Bagamoyo ninashawishika kuamini kuwa Kakoko wa TPA alisimamishwa haraka na mama kwa lengo la kufungulia mradi wa Bagamoyo. Kakoko alikuwa kikwazo cha ulaji au uwekezaji huu. Nawakumbusha...
  10. Pain killer

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Bandari ya Bagamoyo: Aliyemshauri vibaya Rais Magufuli ni nani?

    Habari wakuu Leo spika wa bunge Ndugai kasema Hayati Magufuli alishauriwa vibaya kuhusu kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo na bunge linataka kupendekeza ikiwezekana bandali ijengwe tu. Sasa hapa napata kigugumizi hao washauri wa Magufuli waliompotosha Magufuli ni akina nani? Mimi binafsi nina...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  12. Joshua kachala

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Beach plot for sale Bagamoyo

    Beach plot for sale Bagamoyo Viwanja vipo eka 3 na lina hati miliki kila eka moja bei yake 120million maongezi yapo. [emoji1428] eka moja tsh: 120million maongezi yapo [emoji3591]viwanja vinagusa maji kabisa [emoji3513]0712943877=0789076089 kalibuni sana
  13. Torero

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari ya Bagamoyo urejeshwe haraka sana

    Wandugu, sasa ni muda muafaka wa kurejesha ule mradi wetu mkubwa wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa maslahi mapana ya kiuchumi na kwa faida za kichumi. Yafanyike maandalizi mapema na washirika wote wakae katika mazungumzo ili hatimae mradi uanze kazi mara moja. Ikumbukwe mradi huu...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri kununua kiwanja Kaole, Bagamoyo

    Habari zenu wadau.Kuna kiwanja nataka kukinunua Bagamoyo Kaole naombeni ushauri wenu.Sqm 1000 sh million 12 ni karibu na beach (500metres from the beach). Plan yangu ni baadae kujenga vi apartments hata vinne vidogo kwa ajili ya watalii wanaokuja kuvipangisha.Lakini pia nina option ya Kiromo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wakati wa kuianika mikataba yote ya Magufuli kama wao walivyoanika mkataba wa Bandari ya Bagamoyo na mingineyo

    Huu ndio ushauri wangu kwa serikali hii mpya ili tuone ni nini kimo kwenye hiyo mikataba na tukigundua ni mikataba mbovu; basi tuisitishe na kisha tuifumue kabla ya kuendelea nayo. Tukumbuke ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ulifutiliwa mbali kwa hoja mkataba wake ulikuwa mbovu na baaadhi yawatu...
  16. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Upanuzi barabara Bagamoyo, Kawawa na Mwenge anayeelewa haya atueleze

    Hivi jamani kuna mtu anaelewa kitu gani kinaendelea upanuzi wa barabara kati ya kawawa road na mwenge atueleweshe. Hapo kinachoonekana kila siku ni vurugu tu mtu hupati picha kitu gani kinafanyika. Mara magari yahamishwe huku mara kule huku siku zinaenda mtu hupati picha kitu gani wanafanya...
  17. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kufika 2030 miji hii itakuwa mikubwa na iliyopangwa vizuri sana

    1. Kigamboni: kuna kampuni nyingi sana zinapima na kuuza viwanja huko, ukiona ramani zao ni za kuvutia na kupangika vizuri tofauti na DSM. 2. Bagamoyo na Kibaha Pwani: hii kuna upimaji mkubwa na uuzaji wa haraka na bei ni chee kuliko Kigamboni, kwa sasa upimaji bado kidogo ufike mji mdogo wa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Emmanuel Lukumai, Mwenyekiti wa CHADEMA Bagamoyo afariki dunia

    Taarifa kutoka Kanda ya Pwani ambayo imetolewa na Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally inaeleza kwamba Mh Lukumai amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na Matatizo ya Upumuaji. Mh Lukumai alikuwa Mgombea ubunge wa Chadema wa Jimbo la Bagamoyo kwenye kile kilichoitwa uchaguzi Mkuu...
  19. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  20. Lambardi

    JamiiForums Tanzania Naililia Bagamoyo! JK amewaachaje?

    Salaam kwenu heshima mbele! Naamini lengo JK lilikuwa zuri kuigawa Wilaya ya Bagamoyo na kujenga bandari ili Bagamoyo iwe Port City. Hakuna vijiji wala nini; sasa kilichotokea wilaya imeisha kabisa haina maana hata kuitwa wilaya. Ina square km 25 tu. Urefu wake na upana means 625 sq km tu...
Back
Top Bottom