bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. LATRA bado mmelala; hamjatoa mwongozo wa wazi nauli jijini Dar es Salaam. Wasafirishaji wanaamua nauli zao

    Haya mambo yanakera Sana. Kesi na magomvi kwenye daladala yanazidi na tumechoshwa na mambo haya.. Hawa wavuta bangi mliowapa mandate kujiamulia bei ni upumbavu mkubwa. Sio Daladala moja tu gari kibao. Huyo hapo mwenye gari number hiyo anakatisha route; pili nauli ulioneshwa hapo si wanayolipa...
  2. Hivi sisi waafrika ni binadamu kamili au bado tuko katika transition stage?

    Hivi sisi ni binadamu kamili kweli au bado tuko katika transition stage? Huko Uganda binadamu wanakulana wenyewe kwa wenyewe kama wanyama pori. Sikiliza clip hiyo hapo nimeiambatanisha.
  3. C

    Bado mnamwita Wakili msomi?

    Naomba kuwauliza makolo, hivi lile jina pendwa la 'wakili msomi' mlilompatia BM bado mnaendelea kulienzi?
  4. I

    Ushirikina bado upo sana katika siasa za Tanzania!

  5. Bongo Kilimo Bado sana tena sana

    Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee. Ukitembelea hizi super Market kubwa kuna vitu vinasikitisha sana na kuona kabisa kilimo sisi bado mno tena...
  6. M

    Acheni kupotosha. Hawa bado ni wabunge wa Chadema mahakama bado haijaamua. Hakuna uamuzi wa mahakama uliowabatilisha.

    Huu ni uzushi usio na kichwa wala miguu.
  7. Wabunge waliofukuzwa CHADEMA wapo Bungeni leo Juni 23, 2022, Spika kawaruhusu kuuliza maswali

    Wabunge wa Viti Maalum, Salome Makamba na Grace Tendega wapo Bungeni, leo Alhamis Juni 23, 2022 na wameuliza maswali ya nyongeza baada ya kupewa fursa hiyo na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson. Wabunge hao walifukuzwa uanachama CHADEMA na kesi waliyofungua kupinga kufukuzwa Mahakamani imetupwa...
  8. Hali ya Uokoaji Afghanistan bado tete, Taliban waomba msaada wa Kimataifa

    Inaelezwa kuwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na uharibifu mkubwa wa majengo na miundo mbinu ni kikwazo kikubwa kwa jopo la uokoji kusini-mashariki mwa Afghanistan, ambapo tetemeko kubwa la ardhi linaripotiwa kuua zaidi ya watu 1,000 na kuacha majeruhi takriban 1500. Mamlaka ya Taliban...
  9. Licha ya kupewa kashfa lakini bado vitu hivi ukianza kuvitumia ni ngumu kuacha!

    Kwema Wakuu! Kuna vitu bhana licha ya kupewa kashfa kadhaa na watu au Wataalamu WA Afya au Watu wa dini lakini ukijiingiza katika kumi na nane zao ujue kutoka sio kazi ndogo, yaani hutatoka kirahisi. Vitu hivyo ni; 1. Punyeto Wengine mpaka wameoa lakini wameshindwa kuacha hii kitu. 2...
  10. Ole Sabaya leo ndiyo unajua mpaka Kukiri kuwa 'Jela' siyo mahala pazuri? Na hapo bado huenda 'Ukaozea' huko kabisa

    Kila Siku tu unashauriwa na Watu 'Maalum' kuwa pale ukiwa unaenda Mahakamani ikitokea Umep;angua Kesi fulani basi 'Body Language' yako isiwe ni ya Kuonyesha kama Ujeuri na Ujivuni kwani ndilo ambalo linakugharimu ila kwa Upopoma (Upumbavu) wako na Kiburi chako unajifanya Gangwe. Halafu acha...
  11. Julio: Bingwa wa ligi kuu ya NBC bado hajapatikana

    Akohojiwa na mwandishi wa Azam Sports 1HD, kocha msaidizi wa Namungo Fc Jamhuri Kihwelo Julio anasema mpaka sasa bado bingwa wa NBC premier league hajapatikana. Anasema kama Mama Samia akisimamisha ligi leo, Simba ndio atakuwa mwakilishi wa kimataifa. Hivyo, yeye anaamini kuwa mpaka ligi...
  12. R

    Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

    Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku . Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
  13. M

    Arusha bado kuna vibaraka wa Mkurugenzi Pima, mkinyamaza Arusha bado si salama

    Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea kuachwa wataharibu kabisa jiji la Arusha Na hili nakuomba sana viongozi wa Chama cha mapinduzi na...
  14. L

    BRICS bado iko imara licha ya changamoto ya COVID-19 na mgogoro wa Ukraine

    Caroline Nassoro Janga la COVID-19 limekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa nchi mbalimbali duniani, kwani katika kudhibiti maambukizi, hatua kadhaa za lazima zilichukuliwa, ikiwemo kufunga shughuli za biashara na kijamii, jambo lilivuruga mwelekeo wa uchumi wa nchi mbalimbali na dunia kwa...
  15. F

    Ismael Jussa amesema kuwa Nyerere ndiye aliyemuua Abeid Karume, yana ukweli haya? Na kama siyo mbona bado anazunguka mitaani, akamatwe

    Nimewahi kusikiliza online TV inaitwa Zanzibar Kamili, kuna mahojiano ya huyo anayeitwa Ismael Jussa ( Nadhani nimetaja jina lake la pili vizuri), huyo Jussa wakati akifanya uchambuzi wa vitabu, kuna sehamu amesema kuwa Nyerere alikuwa anawakandamiza viongozi wa ZNZ kuanzia wakati wa vuguvugu la...
  16. Kocha wa Taifa Stars ni mzuri sana, bado tuna nafasi ya kushinda mechi zijazo

    Taifa Stars inaelekea kukua vizuri na ufundi wake unaridhisha ingawa tumefungwa na Algeria nyumbani. Wachezaji wanajua kujiapanga uwanjani wakienda mbele na nyuma ki team work, wanaanzisha mashambulizi kuanzia golini na midfiled inapanda na kushuka na kutanua uwanja kwa pasi za uhakika. Kama...
  17. Kwanini CDF mpya bado hajatangazwa?

    Kitendo cha CDF wa sasa kuanza rasmi kuaga viongozi wa kitaifa kinatafsiriwa kwamba tàyari ameshapatikana atakayemrithi. Tunaona katika nchi zilizoendelea na hata makampuni makubwa mrithi wa kiongozi mkuu huwa anatangazwa mapema sana na transition inafanyika kirahisi. Kwanini mpaka sasa hivi...
  18. Tusimchomekee Rais, bado tunahitaji kuzuia wanyama wasisafirishwe

    Ni muhimu kuendelea kudhibiti kwa ukali(srtrict prohibition) juu ya kusafirisha wanyama nje ya nchi. Iwapo wanyama tulionao ni kivutio cha kipekee kinachowafanya watalii waje nchini basi hatuna budi kuzuia usafirishaji wa wanyama ili kuendekeza umuhimu wa watalii kuja na kuwaona. naweza...
  19. Bernard Membe kumbuka wakati hizo maiti unazodai kuokotwa kwenye viroba Rais Samia alikuwa Makamu wa Rais. Na hii bado ni Serikali ya awamu ya tano

    Kwa akili ya kawaida utamtenga vipi makamu wa rais ambae ni msaidizi mkuu wa rais wa JMT. Kwa hiyo impliedly kama maiti ziliokotwa na watu kutekwa hovyo makamu wa rais hakujua na kuhusika? Kama alijua huu ni uovu usiofaa alipaswa kujitenga nao kabisa na ikibidi kujiuzulu. Vipi kuhusu ile...
  20. R

    Bado jambo moja tu Rais Samia awe Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania na Afrika nzima

    Kuna sifa kuu Tatu za Mtumishi Bora na Tatu za kiongozi Bora. Sifa za Mtumishi Bora ni: 1. Muwazi 2. Mchapa kazi 3. Mwaminifu Popote pale ukipata mtumishi mwenye sifa hizo usimuache aende zake utakuwa umepoteza hazina kubwa sana. Sifa za Kiongozi Bora: 1. Mtu wa Mfano 2. Muwajibikaji 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…