Licha ya kupewa kashfa lakini bado vitu hivi ukianza kuvitumia ni ngumu kuacha!

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,340
51,900
Kwema Wakuu!

Kuna vitu bhana licha ya kupewa kashfa kadhaa na watu au Wataalamu WA Afya au Watu wa dini lakini ukijiingiza katika kumi na nane zao ujue kutoka sio kazi ndogo, yaani hutatoka kirahisi. Vitu hivyo ni;

1. Punyeto
Wengine mpaka wameoa lakini wameshindwa kuacha hii kitu.

2. Kitimoto
Huyu mnyama licha ya kupigwa vita na dini karibu zote, sio Waislam, sio Wakristo vitabu vyote vinaeleza kuwa ni najisi na haliwi lakini ukishakula nyama yake kutoka ni ngumu.

3. Sigara

Inasemekana ni rahisi kuacha pombe lakini mziki wa sigara sio mchezo. Kuacha mpaka uombewe.

4. Pombe

5. Chipsi Yai

Hiki chakula tuacheni masikhara ni kitamu kuliko vyakula vingi, hata Baga na pizza havioni ndani.
Licha ya kupigwa vita hasa Kwa wanaume lakini hiki chakula sio leo wala kesho kuachwa kuliwa.
Chips zege Kwa wanawake kuacha ni kitu ambacho hakiwezrkaniki,

6. Uzinzi na Kuchepuka
Ukishaanza kuchepuka kuacha ni kazi kubwa Sana.
Hakuna raha ya Mapenzi Kwa wanaume hasa Kwa mwanamke usiye na uhakika naye. Ukishajiingiza kwenye uzizi kutoka ni KAZI Sana.

7. Madawa ya kulevya

8. Ulozi

Wataalamu wa mambo wanakuambia ukijiingiza kwenye ulozi kutoka hutotaka utoke. Tena ukishaanza Kula nyama za watu.

Ongezea mengine
 
Vingine vinaachika tu kirahisi, vingine ni umri na matukio, kama mnara hausomi vizuri, umeepuka mpaka ndoa hapo. Sigara, wadau wanapumzika miaka mingi na wengine wanaacha kabisa, nimeona wawili.

Huyo mdudu, wengi wataacha tu, ngoja waendelee kuupiga mwingi tuone.

Selfie, hii kama mnara hausomi vizuri, kuacha kabisa itakuwa ngumu, ila interval kubwa kubwa labda inawezekana.
 
Kwema Wakuu!

Kuna vitu bhana licha ya kupewa kashfa kadhaa na watu au Wataalamu WA Afya au Watu wa dini lakini ukijiingiza katika kumi na nane zao ujue kutoka sio kazi ndogo, yaani hutatoka kirahisi. Vitu hivyo ni;

1. Punyeto.
Wengine mpaka wameoa lakini wameshindwa kuacha hii kitu.

2. Kitimoto.
Huyu mnyama licha ya kupigwa vita na dini karibu zote, sio Waislam, sio Wakristo vitabu vyote vinaeleza kuwa ni najisi na haliwi lakini ukishakula nyama yake kutoka ni ngumu.

3. Sigara.
Inasemekana ni rahisi kuacha pombe lakini mziki wa sigara sio mchezo. Kuacha mpaka uombewe.

4. Pombe.

5. Chipsi Yai.
Hiki chakula tuacheni masikhara ni kitamu kuliko vyakula vingi, hata Baga na pizza havioni ndani.
Licha ya kupigwa vita hasa Kwa wanaume lakini hiki chakula sio leo wala kesho kuachwa kuliwa.
Chips zege Kwa wanawake kuacha ni kitu ambacho hakiwezrkaniki,

6. Uzinzi na Kuchepuka
Ukishaanza kuchepuka kuacha ni kazi kubwa Sana.
Hakuna raha ya Mapenzi Kwa wanaume hasa Kwa mwanamke usiye na uhakika naye. Ukishajiingiza kwenye uzizi kutoka ni KAZI Sana.

7. Madawa ya kulevya.

8. Ulozi
Wataalamu WA mambo
hapo #6 ndiyo msalaba wangu,nimeombewa sana lakini nikitoka huko nikitoka kuombewa ndiy ofawanakuambiaa ukijiingiza kwenye ulozi kutoka hutotaka utoke. Tena ukishaanza Kula nyama za watu.

Ongezea mengine,
Mimi hapo namba 6 ndiyo msalaba wangu,najitahidi kweli kuacha kuchepuka lakini nashindwa mpaka namhurumia mke wangu kuwa emeingia chaka kuolewa na mimi
Ibilisi ni kiumbe mbaya sana ana king'ang'anizi sana
 
Sugaring,chumvi
Hivyo vitu vyote karibia ulivyovitaja
Ni addiction ,na matibabu yake unapewa sawa na mtumiaji wa madawa ya kulevya

Ova
 
Back
Top Bottom