bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar wamejua sehemu wa kuweka nguvu wapate Pesa kwa miaka mingi ijayo. Tanzania Bara bado tumelala

    Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni. Rasilimali kubwa inayompa maendeleo ya kweli mwanadamu ni akili. Rasilimali si madini, si...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

    Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika. Na panapotokea mgogoro mzito sana, yule aliyekosewa huwa na option mbili, asamehe au achukue hamsini...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa Wazazi ambao watoto wenu bado hawajapokelewa shule za English Mediums kwa sababu bado hamjalipa ada, pitieni hapa

    Amini nakwambia, hapa duniani kuna watu ambao wanahitaji kitu kimoja tu. Nacho ni mtu wa kuwaambia " hakuna tatizo kabisa endapo utafanya hivyo " au " usiogope" Miongoni mwa watu hao ni kundi la wazazi wanao struggle kuwalipia watoto wao ada kwenye shule za kulipia za kiingereza. Watoto...
  4. JamiiForums Tanzania Bado natafakari kifungo cha jela si adhabu stahiki na rekebu

    Heri ya mwaka 2024 walimwengu Mwaka huu umeingia nikiwa natafakari mambo kivingine hasa hili la kuwafungia watu wazima sehemu moja (jela) bila kujali wamefanya makosa gani, yaani adhabu ni moja kwa watu waliofanya makosa tofauti tofauti. Kwanini tuwaweke wahalifu ndani? tuna waogopa...
  5. JamiiForums Tanzania Afrika tupo bize na kuamini uchawi, bado hatustuki tu kwamba uchawi ni adui wa maendeleo?

    uchawi upo na hutuwezi kuuepuka kwa kuamini kwamba haupo, Kama wewe ni Mkristo au Muislam lazima uamini uwepo wa uchawi lakini hupaswi kuuamini kwa matumizi. Hapa nazungumzia uchawi sio matambiko maana matambiko mengi yana lengo positive kuondoa tatizo japo kuna baadhi ya matambiko yapo...
  6. JamiiForums Tanzania Pamoja na uteuzi wa Dotto Biteko na Paul Makonda. Rais Samia bado hakubaliki kanda ya ziwa

    Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo. Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary. Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda. Haya huyu mwenezi wa CCM sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Israel yamuua kamanda wa Hezbollah, bado mnaendelea kuonywa

    Mpaka sasa Israel wanaendelea kuonya tu, wanapiga mdogo mdogo na kuonya Hezbollah maana kitu watakachokifanya pale Lebanon, mtaanza kulia lia kwamba wanaua hadi watoto....... Hapa wamemuua kamanda...
  8. JamiiForums Tanzania Huu ni uzalendo au bado Serikali yetu inashindwa kutimiza majukumu yake?

    Natumai ni wazima wana jamvi? Hii Taarifa ya mwaka Jana Dec 30, ndugu mmoja mfanyabiashara kisiwa cha gana wilaya ya Ukerewe, amejitolea nyumba yake iwe sehemu ya kituo cha Polisi baada ya kuwepo kwa matukio katika kisiwa hicho yaliyokithiri. Ikiwemo wizi wa injini za maboti ya uvuvi, ulevi...
  9. JamiiForums Tanzania Hili linaweza kuwa suluhisho la kulea watoto wa kubambikiziwa?

    Habari za uzima wakuu? Nikiwa naelekea katika harakati jumatatu njema kabisa, nikakutana na hii kitu hapa. Hii ni HOME DNA TESTS KIT, kama ambavyo wanawake wanaweza kujipima mimba na wanaume wameletewa hii. Kwani Nchini Tanzania zimefika hizi au Ndio kupima kwa kila mtu mmoja mmoja na...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Bado siku 17, nipo kwenye mateso wazee

    Hope wote ni wazima wa afya. Wakuu Leo siku ya kumi na Moja Toka nianze kutumia pep TLD hii nikutokana nilikula pis moja iv bermaid ambayo machale yalinicheza kuwa ina weza kuwa ina moto. Baada ya kuwahi kituoa Cha afya within 72 hrs nikapewa pep TLD, ila wakuu nipo kwenye mateso leo siku ya...
  11. JamiiForums Tanzania Samahani kwa Kuuliza hivi Daraja Jipya la Mto Wami limeshazinduliwa? Na kama bado ni Kwanini?

    Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu, ila popote pale ulipo Hayati John Pombe Magufuli Roho yako ilale mahala pema peponi. Amen.
  12. JamiiForums Tanzania Kama biashara/Ajira inakunyima muda wa ibada bado ni masikini, Ongeza bidii na umaridadi wa akili yako.

    Unatakiwa utafute pesa hadi ifikie hatua pesa ulizotafuta zenyewe zinaanza kutafuta pesa nyenzake zaidi. Unatakiwa ufanye kazi kwa bidii na kwa kujituma bila kujionea hurumq hadi ifikie hatua huitaji bidii kubwa kupata kipato. Kwa hiyo bidii yako lazima iwe na malengo hata kama bado...
  13. JamiiForums Tanzania Paul Clement: Bado Naishi. Sikiliza ubarikiwe

    ....
  14. W

    JamiiForums Tanzania Shule za siku hizi bado watoto wetu wanafundishwa mambo ya utamaduni?

    Kwa siku hizi naona kuna uzungu mwingi sana kwa vijana wengi, nikajiuliza hivi watoto wa sasa wa shule za msingi hufungwa mambo ya kitamaduni? Hapo ni watoto wa shule ya Msingi Oysterbay wakichenza ngoma za asili kwenye mahafali ya mwaka 1987. Je, wa sasa wanaweza cheza ngoma?
  15. JamiiForums Tanzania Nchi moja serikali mbili: Unafahamu kuwa bado China ipo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe?

    Chukua hii kwa ufupi: Nchi ya China inayopatikana mashariki ya mbali ya bara la Asia. Hii ni nchi moja yenye serikali mbili zilizo katika mgogoro wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo havijatamatika toka 1949 mpaka sasa. Katika nchi ya China kuna serikali mbili zinazo ng'ang'ania mamlaka ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Bado siku mbili tu mambo haya yaanze kuwatesa Watanzania

    1. Mpango wa bima kwa wote. Huu ni msumari wa utosini kwa watanzania. Kelele zitasikika kuanzia January 2024 mpango utakapoanza kutekelezwa. Kulipa TShs 360,000/= kwa kila watu 3 kwa mwaka siyo mchezo. Na familia nyingi za kitanzania unakuta watu wako zaidi ya 10 kwenye familia, maana yake kila...
  17. JamiiForums Tanzania TAWA: Bado tunachunguza tukio la Muwindaji kuua Mamba

    Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori (TAWA) imesema inaendelea na uchunguzi kuona kama kuna ukiukwaji wa Sheria za uwindaji baada ya kuonekana kwa video ya Mwindaji wa Marekani Josh Bowmer akifurahia kuwinda mamba mkubwa nchini Tanzania mwenye rekodi ya dunia na kuleta taharuki. Taarifa ya TAWA...
  18. JamiiForums Tanzania Kilo 3000 za madawa ya kulevya zakamatwa..shikamoo kamishna na bado watasema wametesa sana watu

    Hongerasana mh kamishna lyimo kwa kazi nzuri................... Naangalia itv hapa naona mamlaka yetu wamekamata madawa ya kulevya kg 3000 Kamishna lyimo amesema mtandao waliokamata n mkubwa anafurahi kuona kile walichokitafuta wamekipata Mh lyimo anasema atapambana na mapapa mpaka huu...
  19. JamiiForums Tanzania Mapinduzi cup Milioni 100 bado ni ndogo kwa simba na Yanga, Waongeze dau lifike walau 300

    Kwa Yanga na Simba kila timu hapo ina sponsorships deals zenye kuingiza takribani bilioni 5 kila mwaka Kombe la Ligi kuu bingwa anapewa milioni 500 lakini hio bado ni pesa ndogo, Malengo huwa ni kuvuta mpunga wa kimataifa, msimu wa mwaka jana pekee Simba kakunga bilioni 2 kasoro caf na bilioni...
  20. JamiiForums Tanzania Wanyakyusa bado wanaweka kabati za vyombo sebuleni na kutandika vitambaa kwenye makochi

    Hapa Mbeya Mjini nimejionea nyumba kadhaa nilizotembelea hali ni hiyo pamoja na kutandika vitambaa kwenye makochi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…