bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Traxtion

    Miundombinu Tanzania bado sana

    Kusema kweli Tanzania tuna safari ndefu kwenye miundombinu Tanzania ukiachana na main roads, barabara nyingi bado ni za vumbi especially mitaani wanakokaa watu. Hata miji mikubwa kama Mwanza na Mbeya, barabara ni changamoto. Mji unaokua kwa kasi kama Kahama bado uko nyuma kwenye barabara. Dar...
  2. U

    Imetimia miaka 150 bado Wasabato wanasubiri amri ya jumapili itangazwe na kanisa katoliki kisha waanze kuteswa na kulazimishwa kuabudu Jumapili !

    Wadau huu sio utani bali ni unabii wa Mama Elen G White nabii mkubwa wa Wasabato na alioutoa mwaka 1863 akiwa huko Marekani Alidai kwamba AMRI ya kuwataka wanadamu kuabudu siku ya Jumapili kwa lazima itatokea na Marekani kwa ushirikiano na Vatican. Wanadamu wote watakuwa wakisali Jumapili kwa...
  3. Mr Beach Boy

    Sinywi pombe, sio mtu wa wanawake situmii kilevi chochote na bado maisha magumu, shida itakuwa Nini?

    Kijana Nina misimamo sina makundi situmiii kilevi ila sina maisha Wala Hela tatizo linaweza kuwa Nini wakuuu
  4. Allen Kilewella

    Tanzania bado ni nchi ya wakulima na wafanyakazi?

    Kila nikiisoma Katiba ya nchi yetu kuwa misingi ya uchumi wa nchi yetu ni ya kijamaa na nchi hii mifumo yake inadhibitiwa na wakulima na wafanyakazi, huwa nashangazwa kabisa. Hivi ni kweli kuwa nchi yetu inaendeshwa kijamaa na wakulima na wafanyakazi ndiyo wenye sauti na mamlaka ya mwisho...
  5. MamaSamia2025

    Mitandao isikudanganye, watu bado wanaoana na wapenzi waliopigika, wafupi, single mama na hata wenye tabia za hovyo

    Mtandaoni kila mtu anadai hawezi date single mama, mwanaume mfupi, asiye na hela, au mchafu. Ila gizani nje ya mtandao single mama wengi wanaolewa kuliko hata wasio na watoto. Wanaume wafupi wenye sura personal wanang'oa pisi kali kuliko masharobaro. Kuna wale wanasema "I cannot date a broke...
  6. Yoda

    Bado mpaka sasa hakuna biashara iliyopewa jina la mfereji wa Hormuz?

    Wabongo wanapenda sana kuzipa biashara zao majina ya vitu maarufu, tutegemee siku za hivi karibuni kuona Hormuz Cafe, Hormuz Barbershop, Hormuz general store, Mgahawa wa Hormuz, Hormuz Bar n.k Nigeria tayari wameshatembea na upepo
  7. Wakusoma 12

    Kwa nini Mahmoud Ahmadinejad bado anaweza kuwa muhimu

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Mahmoud Ahmadinejad amejulikana zaidi kama mpinzani wa serikali kuliko mfuasi wake. Katika siku ya kwanza ya vita ya Iran, taarifa ya kuuawa kwa Kiongozi Mkuu Ali Khamenei ilifunika habari ya shambulio lililotokea karibu na nyumba ya Ahmadinejad, ambaye alikuwa rais...
  8. Young silver

    Nimetoa ngoma mpya. Naomba sapoti yenu

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏... Support...
  9. Young silver

    Support, support support

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏...
  10. instinct desire

    Mtu yupo chuo kikuu lakini bado analalamika mitandaoni, sasa hiyo elimu inakusaidia nini kama huwezi kutatua matatizo kisomi

    Watanzania elimu ni tiba ya kutatua matatizo siyo kusoma tu kama unasoma gazeti. Inakuwaje mwanachuo ulalamike mitandaoni na upo na utawala hapo hapo ,na Kuna suggestion boxes kibao, na umesoma research writing huoni kama unakidhalilisha chuo? Andikeni maandiko, fanyeni mini research watu waone...
  11. Red black

    Old Milwaukwee Beer hii bia ni balaa nimeinywa juzi ila bado nimelewa siku ya tatu hii

    kama ni kichwa panzi utalewa week Moja Old Milwaukee beer ni tamu sana ikipita kwenye koo😂
  12. Dalton elijah

    SI KWELI Bobi Wine amekutana na Rais Donald Trump

    Kumekuwepo na machapisho kadhaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, yakimuonesha aliyekuwa mgombea wa urais nchini Uganda, Bobi Wine, akidaiwa kukutana na Rais wa Marekani, Donald Trump. Hata hivyo, ukweli ni kwamba picha hizo zinazosambaa mitandaoni zimetengenezwa kwa kutumia...
  13. Tlaatlaah

    Hivi Chadema bado ipo?

    Wanajishughulisha na nini kwa sasa baada ya kuachana na masuala ya kisiasa na kua kituo cha mamluki na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi katika eneo la maziwa makuu? Na je, shughuli zao hizo za ukuwadi wa mabwenyenye ya magharibi bado wanazifanyia Nairobi au wamezihamishia DRC? Na wale vijana...
  14. Parabolic

    Sheikh Mussa: Watoto wajengewe msingi wa dini wakiwa bado wadogo

    Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Mahmoud Mussa Wadi akimpa zawadi mmoja wa washindi katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur An yaliyofanyika Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Machi 18, 2026 ambapo viongozi mbalimbali walihudhuria akiwemo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Mhandisi...
  15. Yoda

    Kwa nini pamoja na kutokuwa na uthibitisho bado ni vigumu sana waamini Mungu kuwa atheists wakiwa wakubwa?

    Kwa nini ni vigumu sana watu kuacha kuamini mungu wakati 99% wanaamini mungu kwa sababu tu walizaliwa na wazazi waamini mungu(wenye dini) ila sio kwamba walianza kuamini mungu kwa sababu walipata uthibitisho kuwa mungu yupo? Pia ukizingatia binadamu wote wanazaliwa atheists ni ajabu baada ya...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wakristo wenzangu, kwahiyo pamoja na kuwa na elimu zetu Bado tunaamini Nabii Yona alimezwa na nyangumi na akatapikwa akiwa Yu hai?

    Hapa sasa nakubaliana na Mzee Kikwete hasa aliposema Akili za kuambiwa changanya na zako. Inawezekana vipi mtu amezwe siku3 nzima mchana na usiku Kisha akatapikwe akiwa Yu hai? Haihitaji maelezo mengi sana naishia hapa ila Mimi pamoja na ukristo wangu nakiri wazi tulipigwa chumvi iliongezwa...
  17. Vien

    Nilipata demu wa chuo kupitia dating app, sikujua kama bado alikuwa bikra

    Huyu demu nilimpata kupitia hizi dating app kama ilivyo kawaida siku hizi. Unajua tena maisha ya sasa - watu wengi wanakutana mtandaoni, wanaongea kidogo, halafu wanaamua kuonana. Yeye aliniambia anaishi Sinza, na alikuwa mwanafunzi wa chuo mwaka wa pili IFM. Kwa kifupi alikuwa msichana wa...
  18. A

    Mbali na spika, mbongo aishiye uingereza amchangia milioni 20 mwenye uvimbe shingoni; mchango wafikia mil. 30, bado mil. 10 tu

    "Mungu ni mkubwa jamani! Mungu Anaweza nyiye! Mungu hashindwi na jambo lolote. Sikutegemea kama Watanzania wenzangu watachangia hadi sasa kupata shilingi milioni thelathini (30,000,000)... "Japokuwa niliamini kwa imani kwamba zitafika. Sasa Mungu yeye amefanya kwa vitendo," Ndivyo alivyosema...
  19. M

    Mwigulu: Hao wanaotoka kwenye mataifa yao, wanadhani sisi bado ni makoloni yao, wanatuletea vingereza vingi vingi...

    Waziri Mkuu Mwigulu ameyasema hayo leo Wilaya ya Karatu wakati wa ziara ya kikazi, akiwa anamzungumzia mkandarasi wa kigeni aliyepewa kujenga mradi wa umwagilia na kushindwa kuutekeleza, na aliambiwa kunyang'anywa akaishtaki Serikali
  20. MK254

    Aliyekusudiwa kumrithi Ayatollah anusurika kuuawa, hapo bado hajateuliwa ila anawindwa

    Fununu tu kwamba atamrithi baba yake imetosha awindwe, aisei Israel ni balaa.... Mojtaba Khamenei has reportedly survived the strike on Iran and is seen by the establishment as the prospective next supreme leader, two Iranian sources told Reuters on Wednesday. Mojtaba is seen by the...
Back
Top Bottom