Huu wimbo hauchujagi, mzee aliuimba kwa hisia sana, inaelekea huyo sea alikuwa mtundu sana.
Je, Sea ndiyo jina la mhusika kweli au alikuwa kamlenga manzi mwingine, je ni nani huyo aliyesababisha tupate utunzi huu matata kabisa?
Siamini kama wimbo huu aliutunga tunga tu, ni lazima alipata...