Habari wote.
Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza inakuaje mmeacha jina la mwisho ambalo kikawaida ndio jina la ukoo wanakuwa wabishi kuwa mtoto halimuhusu.
Jina la ukoo ni la kizazi na kizazi. Kama ni majina matatu basi ni jina la mtoto ,baba yake na la ukoo.Kama ni majina manne basi utaongeza na la babu yake ila huwezi ukaliacha jina la ukoo ukaweka la babu ndio likawa jina la mwisho(ukoo).