babati

Babati is a small town in Babati Urban District of Manyara Region of Tanzania. It is the administrative capital of Babati Urban District and Babati Rural District and also the administrative capital of Manyara Region.

Babati town has developed from a mere village since Babati District was established in 1985. The new status boosted the town into rapid growth. The town is located at the end of Tarangire National Park and at the base of Lake Babati, nestling under Mount Kwaraha (2145 m asl.).

View More On Wikipedia.org
  1. Super Handsome

    CCM Babati wavurugana

    Sintofahamu imeibuka kwa baadhi ya wanachama wa CCM wa Wilaya ya Babati Mjini Mkoani Manyara, wakilalamikia utaratibu wa ugawaji wa kadi za chama hicho kwa manufaa ya watu wanaotaka madaraka kwenye uchaguzi mkuu wa CCM unaotarajiwa kufanyika mwaka huu. Wanachama hao ambao waligoma kutaja majina...
  2. Kamanda Asiyechoka

    Babati: Viongozi wa CCM wilaya ya Babati wamshamburia askari Polisi kwa mateke na fimbo, kisa tu kuulizwa kibali cha mkutano

    Viongozi CCM mbaroni kwa kumjeruhi Askari Polisi KATIBU wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Babati Filbert Mdaki (52) na Katibu wa Jumuiya ya Vijana UVCCM wa Wilaya hiyo, George Sanka (46) wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpiga Askari Polisi mateke na fimbo. Kamanda wa Polisi...
  3. Jembe Jembe

    Babati, Manyara: Serikali yamfutia Mashtaka ya Uhujumu uchumi Mhadhiri wa Chuo Kikuu

    Mkurugenzi wa Mashitaka ya jinai nchini l (DPP)amemfutia Mashtaka ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili Mahakamani mhadhiri wa Chuo kikuu cha SAUT tawi la Arusha, Subilaga Masebo na wenzake wanne. Akiwasilisha maombi ya kuondoa shtaka hilo, mwendesha mashtaka wa serikali Lusiana Shaban...
  4. mshale21

    Babati, Manyara: Ajinyonga baada ya kumuua mkewe kwa wivu wa mapenzi

    Babati. Mkazi wa mtaa wa Kiongozi Mjini Babati mkoani Manyara, Lucas Mangu (46) amefariki dunia kwa kujinyonga mara baada ya kumuua mke wake Anna Kisino (41) kwa kumpiga kutokana na wivu wa kimapenzi. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Marrison Mwakyoma akizungumza na Mwananchi Digital leo...
  5. Analogia Malenga

    Naibu Waziri Pauline Gekul atamani kurejeshwa kwa 'jando na unyago'

    Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, ambaye ni Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Pauline Gekul amesema kutokana na matatizo yanayowakumba watoto wakike anatamani jando na unyango vingerudi huku akipiga marufuku ukeketaji. Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini, ambaye ni Naibu...
  6. C

    Nipo Babati Nahitaji Chimbo za Starehe.

    Waswahili wanasema Fuja Mali Kufa Kwaja, Kama kawaida Santana leo nimetua Babati Manyara, Nasikia Huku Kuna totoz za Laana. Wazoefu nitonyeni Chimbo za Starehe zenye watoto safi wa Kimbulu. Ova!
  7. Analogia Malenga

    Babati: Jela miaka 30 kwa kukutwa na bangi gramu 566.9

    Mahakama ya Wilaya ya Babati imewahukumu Alex Laurent (27) na Humphley Charles (25) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na misokoto 200 ya bangi yenye uzito wa gramu 566.9 Hakimu wa Wilaya, Jumaa Mwambago alianza kusikiliza kesi hiyo Novemba 19, 2018...
  8. Analogia Malenga

    Radi yaua mifugo Babati

    Ng'ombe 16 na mbuzi watano wa familia mbili tofauti kijiji cha Endamanang kata ya Nar wilayani Babati Mkoa wa Manyara imekufa baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua na upepo mkali. Hata hivyo, kwenye tukio hilo hakukuwa na madhara kwa binadamu zaidi ya kuzua hofu na taharuki kwa wakazi...
  9. K

    Mdee na wenzake wakiomba msamaha nashauri wasamehewe

    Wadau wa JF habari! Kama ikitokea hawa wanawake wakatambua kua wamekosea na kuomba radhi nashauri wasamehewe. Jambo hili limetukwaza wengi ila kama watakiri makosa wasamehewe na tuwapokee. CCM iliweza kuwasamehe kina Sophia Simba. Jesca Msambatavangu na wengineo hivyo...
  10. Analogia Malenga

    GE2020 Mkutano wa Kampeni wa Dkt. Magufuli - Babati

    Mgombea urais kwa tiketi CCM, Dkt. Magufuli yuko mkoani Manyara akiendelea na mkutano wa kampeni Alipokuwa Minjingu akielekea Babati amekataa kuingilia Uhuru wa mahakama baada ya mama mmoja aliyedai kudhurumiwa mali zake ambaye uamuzi ulitolewa mahakamani kuomba kusaidiwa, aidha amemshauri...
  11. Nyendo

    GE2020 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqqaro achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati Vijijini kupitia CCM

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha Gabriel Daqqaro amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge jimbo la Babati vijijini kupitia Chama Cha Mapinduzi-CCM
  12. I

    GE2020 Wilhelmon Mayo, Mtia nia wa ubunge jimbo la Babati Mjini, Manyara

    Maendeleo na mabadiliko ya Babati yataletwa na kijana wa Babati ambaye anajua ni nini wanababati wamekosa kwa muda mrefu. Pamoja na kuwa anafanya kazi Babati mjini pia ni kijana mzalendo na anayeshirikiana na wananchi katika maisha ya kila siku. Mtu kama huyo ndio anayehitajika na anayetafutwa...
  13. I

    GE2020 Hatima ya CCM Babati Mjini

    Katibu mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiru Ally anatakiwa kuwa makini katika harakati za kumteua mwakilishi wa CCM katika uchaguzi wa Oktoba mwaka 2020. Anatakiwa kuhakikisha na kumleta Mgombea ambaye atawafaa Wananchi wa babati na siyo mtu anayempenda yeye au anayependwa na chama au wajube wa...
  14. I

    GE2020 Vita kali ubunge Babati Mjini. Nani apewe?

    Hawa ni baadhi ya wanaccm walioonyesha nia ya kugombea Ubunge jimbo la Babati mjini. Je, nani anaweza kuwa kuipeperusha bendera ya CCM?
Back
Top Bottom