Radi yaua mifugo Babati

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Ng'ombe 16 na mbuzi watano wa familia mbili tofauti kijiji cha Endamanang kata ya Nar wilayani Babati Mkoa wa Manyara imekufa baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua na upepo mkali.

Hata hivyo, kwenye tukio hilo hakukuwa na madhara kwa binadamu zaidi ya kuzua hofu na taharuki kwa wakazi wa kijiji hicho.

Shuhuda wa tukio hilo, Richard Bayo akizungumza leo Jumatatu Machi 8, 2021 amesema tukio hilo limetokea Machi 7, 2021 na kubainisha kuwa tukio hilo limetokea wakati ng'ombe na mbuzi hao wakiwa wanachungwa kwenye eneo la malisho ya mifugo.

Amesema baadhi ya watoto wa eneo hilo walipatwa na hofu kutokana na mngurumo za radi na mvua iliyonyesha huku ikiambatana na upepo mkali.

"Tunamshukuru Mungu hakukuwa na madhara kwa binadamu zaidi ya ng'ombe na mbuzi hao kufa papo hapo wakati wa tukio hilo la kusikitisha," amesema Bayo.

1615205720951.png
 
View attachment 1720173
 
Radi ni hatari, natamani kujua elimu ya nguvu hii ya umeme wa radi unawezakuathiri ukubwa gani kwa mpigo mmoja....I am here to learn
 
Nasikia radi ikipiga mti huo mti hukauka, je nyama nazo si zitakuwa zimesha iva na vyote vya tumboni?
 
Radi ni hatari, natamani kujua elimu ya nguvu hii ya umeme wa radi unawezakuathiri ukubwa gani kwa mpigo mmoja....I am here to learn
Kuna nchi walikuwa wanafanya utafiti kama wanaweza ku capture umeme wa radi wakautumia majumbani
 
Ng'ombe 16 na mbuzi watano wa familia mbili tofauti kijiji cha Endamanang kata ya Nar wilayani Babati Mkoa wa Manyara imekufa baada ya kupigwa na radi iliyoambatana na mvua na upepo mkali.

Hata hivyo, kwenye tukio hilo hakukuwa na madhara kwa binadamu zaidi ya kuzua hofu na taharuki kwa wakazi wa kijiji hicho.

Shuhuda wa tukio hilo, Richard Bayo akizungumza leo Jumatatu Machi 8, 2021 amesema tukio hilo limetokea Machi 7, 2021 na kubainisha kuwa tukio hilo limetokea wakati ng'ombe na mbuzi hao wakiwa wanachungwa kwenye eneo la malisho ya mifugo.

Amesema baadhi ya watoto wa eneo hilo walipatwa na hofu kutokana na mngurumo za radi na mvua iliyonyesha huku ikiambatana na upepo mkali.

"Tunamshukuru Mungu hakukuwa na madhara kwa binadamu zaidi ya ng'ombe na mbuzi hao kufa papo hapo wakati wa tukio hilo la kusikitisha," amesema Bayo.

View attachment 1720173
Pole zao sana.
Hapo kuna mmoja kwa muonekano tuu ukikata nyama unatafuna haina tena haja ya kuchoma
 
Back
Top Bottom