baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya binti kwa baba yake yalisaidia kumtoa baba gerezani

    Ilitokea huko Ufaransa, wakati wa utawala wa Louis XIV, huyu baba alihukumiwa kufia gerezani kwa njaa kosa lake aliiba mkate. Mtoto wake akiyekua ananyonyesha alikwenda kumtembelea baba yake kila siku. Akifika anampa baba yake maziwa yake anyonye. Baada ya miezi minne walishangaa kumuona mzee...
  2. JamiiForums Tanzania Niliwasha Moto mahali kwa bahati mbaya ukaunguza nyumba 300

    Nilikuwa na shamba langu mahali Fulani mwaka fulani nilienda kulisafisha nilipowasha mabiwi ya majani Moto ukanishinda nguvu kwasababu niliwasha mchana wa jua Kali. Moto unaenda Kijiji I kuchoma nyumba 300 mnisamehe. Sipendi ujinga. Kisa Cha kwanza. Meya wa mji x aliniita lofa mbele ya watu...
  3. JamiiForums Tanzania Baba wa ubatizo wa Freeman Aikael Mbowe huyu hapa

    Sitaki kuongezea neno…..,
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ndio hesabu za Ney wa Mitego kwenye wimbo wake mpya uitwao " Baba"

    Kwa maoni yangu wimbo wa " Baba" by Ney wa Mitego ni " commercial" Na sio wimbo wa kisiasa kama watu wengi wanavyo weza kuutafsiri Msanii Ney wa Mitego amemtumia Hayati Magufuli kama " point of contact" kufikisha ujumbe wenye lengo la kupush agenda yake ktk biashara ya muziki wake Lengo Hasa...
  5. JamiiForums Tanzania Sitosahau siku niliyotishiwa bunduki na baba!

    Ilikuwa hivi. Muda mrefu sana yapata miaka 10 na ushee. Hiyo siku nilikuwa nacheza pool table mtaani, huo mchezo unaitwa "shamkware." Ni kamari na una majina mengi sana huo mchezo, pia mnaweza cheza watu wawili na zaidi. Katika kucheza na kupiga mahesabu makali mwisho wa game mshindi nlikuwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

    Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka: “Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake...
  7. JamiiForums Tanzania Nabii Mashimo amtaja Malisa GJ kama mrithi wa Paul Makonda

    Huko kwenye viunga vya Instagram tayari Mchungaji wa taifa na nabii komandoo Mashimo ametamka wazi kwamba kijana na kada wa CHADEMA, kamanda Malisa GJ kuwa mrithi wa RC mstaafu Baba Keagan. Mimi kama mwanafunzi wa shule ya uongozi chini ya mwalimu mkuu Komredi POLEPOLE nimefurahishwa na tamko...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kuendeleza utamaduni wa baba kupewa mapaja na firigisi ya kuku?

    Naona huu utamaduni umekaa kimfumo dume na kuvuka mipaka. Sometimes hata watoto nao wale hayo mapaja.
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli (R.I.P), Hivi Aliwezaje kufanya yote haya?

    Nimeangalia kinachoendelea sasa katika nchi na kujikuta nalazimika kumuuliza yafuatayo kuhusu mpendwa wetu Magufuli (r.i.p); 1. Hivi aliwezaje kuwafanya watu wamuogope vile? hofu ile ni kutumbuliwa tu au?!!! namkumbuka mkuu mmoja wa mkoa (nikifanikiwa nitaitupia clip) alivyokuwa anatetemeka...
  10. JamiiForums Tanzania Kifo cha baba wa kiroho huwaacha waumini wengi njia panda

    Kumekuwa na hii tabia hasa kwenye makanisa ya kilokole kumuita Mchungaji wako kuwa ni baba yako wa kiroho. Huyu ni mtu ambaye hutakiwi kufanya jambo lolote bila kumshirikisha. Ukitaka kuoa au kuolewa lazima ukamuulize kwanza, umepata kiwanja lazima umuulize kuwa ununue au usinunue, unataka...
  11. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Acharangwa Mapanga akituhumiwa kumuua Baba Mkwe kwa Uchawi

    Mwanamke aitwaye Limi Kulwa (30) ameuawa kwa kukatwa na panga sehemu za kichwani, usoni, na mikono yote miwili katika kijiji cha Ilunga, kata ya Iyenze, Manispaa ya Kahama mkoa wa Shinyanga akituhumiwa kumuua kwa kumroga baba mkwe wake aitwaye Lusana Kulwa (60). Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  12. JamiiForums Tanzania Prof Sarungi: Mimi ni msafi

    THISDAY CORRESPONDENT Musoma THE former Minister for Defence and National Service, Prof. Philemon Sarungi, has denied any personal involvement or criminal wrongdoing in the controversial dealings surrounding the Buhemba gold mine in Mara Region. Sarungi recently came under sharp criticism...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini baba hamsindikize mama kliniki?

    Jitihada za kupunguza matatizo na vifo kwa mama wajawazito ni kipaumbele dunianii kote, jitihada hizi zinatiliwa mkazo Zaidi kwenye nchi zinzoendelea kama Tanzania. Mwaka 2015 shirika la afya duniani WHO limeripoti vifo vya wamama wajawazito 830 kila siku kwa sababu ya matatizo wakati wa...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoa: Baba Mchungaji anawakumbusha vijana wetu wa kike na wa kiume misingi imara kwa mahusiano na ndoa imara

    Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje? Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu? Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila kufuata taratibu? Ni kushindwa kulipa mahari au kushindwa kujua faida za kufuata taratibu? Wazazi...
  15. JamiiForums Tanzania Singida: Adaiwa kujinyonga baada ya kufumaniwa chumbani akiwa na baba yake

    Msichana mdogo wa Kati ya umri wa miaka 17 Hadi 18 aitwaye Raheli mkaazi wa Kimpungua Manispaa ya Singida anadaiwa kujinyonga siku ya Jumapili 19/9/2021 baada ya mama yake mdogo kuwakuta wakifanya mapenzi na mume wake yaani baba mdogo wa marehemu. Akielezea tukio Hilo mama huyo aliyejulikana...
  16. JamiiForums Tanzania Makazi ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Baba wa Kambo vs Mtoto wa Kambo huko Muscat, Oman

    Baba wa Kambo Ni huyo alievaa kanzu.
  18. JamiiForums Tanzania Watoto wa Cristiano Rolnado baada ya baba yao kuhamia Man United

  19. JamiiForums Tanzania anko anawasalimu kwa jina la baba na la mwana na roho mtakatifu, amen!

    anko anawapenda sanaa
  20. JamiiForums Tanzania Baba yake Mbowe kusaidia kudai Uhuru sio defence ya Mbowe kutofanya uhalifu, tutumie busara kujenga hoja

    Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…