baba wa taifa

  1. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ashiriki katika kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Mwalimu Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio maalum za mwenge wa uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Nyerere katika uwanja wa Magufuli - Chato mkoani Geita leo tarehe 14 Oktoba 2021.
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Makazi ya baba wa taifa Mwalimu Nyerere baada ya kujiuzulu ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyumba aliyoishi Baba wa Taifa baada ya kuacha kazi ya Ualimu 1955

    ALIPOISHI BABA WA TAIFA BAADA YA KUACHA KAZI YA UALIMU 1955 Hapo ilipo nyumba hii ilikuwapo nyumba ya kawaida ingawa kwa wakati ule nyumba hiyo ilikuwa nyumba ya kuvutia pia. Nyumba hiyo ilikuwa na duka la mwenye nyumba hiyo na barazani palikuwa na barza maarufu ya wazee wa mjini maarufu...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania The Torch on Kilimanjaro: kitabu cha watoto kuhusu Historia ya Baba wa Taifa

    "THE TORCH ON KILIMANJARO" KITABU CHA WATOTO KUHUSU HISTORIA YA BABA WA TAIFA Miujiza ya Mwenyezi Mungu haiishi. Maofisa kutoka CCM Dodoma walikuwa wamemaliza mazungumzo na mimi kuhusu mengi katika historia ya Mwalimu Nyerere, TANU na mambo mengi yaliyotokea wakati wa kupigania uhuru wa...
  5. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania TANZIA Sophia Nyerere, Mjukuu wa Baba wa Taifa afariki Dunia

    Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere. ==== SOPHIA Nyerere, ambaye ni mjukuu wa Baba wa...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Upande wa Pili wa Hotuba ya kuaga ya Baba wa Taifa ukumbi wa Diamond 1985

    UPANDE WA PILI WA HOTUBA YA MWALIMU YA KUAGA Kiasi naogopa kufanya uchambuzi wa hii hotuba kwani kuna mambo nadhani Mwalimu Nyerere kasahau au hakupenda watu wayasikie. Mwalimu hakupokelewa na wazee alipokelewa na Abdul Sykes 1952 tena si New Street kwenye ofisi ya TAA bali nyumbani kwake Mtaa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

    Mjukuu anayeambatana na Mama wa Taifa kwenda kutoa pole kwa Mama Janeth Magufulu yamkini ni mjukuu mwenye malezi na makuzi Kama ya mama wa Taifa. Namzungumzia Bhoke Nyerere aliyeambatana na Mama Maria Nyerere kwenda kwenye familia ya Mama Janeth Magufuli kumkabidhi zawaidi ya kitenge lakini pia...
  8. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Baba wa Taifa angekuwepo angeyasema haya kuhusu Bunge

    Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikuwa ni jasiri sana kuwanyooshea vidole viongozi wazembe na wasiojielewa huku akitumia maneno makali bila woga muda wowote wanapomkera au wanapofanya ndivyo sivyo. Alitumia maneno kama wahuni, wapumbavu, wajinga nk. Mfano angekuwepo leo angesema bunge letu...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Nataka niunde chama ambacho kitawaenzi hayati Baba wa Taifa JK Nyerere na hayati JP Magufuli

    Baada ya kuona wanaodhihaki kazi nzuri aliyoifanya Hayati JP Maguli iliwemo miradi mikubwa ,kutufikisha uchumi wa kati ,kutatua shida za wanyonge waliyokuwa wamedhulumiwa haki zao,kupambana na rushwa nk nataka wazalendo tuunde chama ambacho misingi yake itakuwa ya uzalendo uliyoonyeshwa na...
  10. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kipindi tunalegeza kamba ili kuvuta wawekezaji wa nje tuukumbuke wosia huu wa Hayati Baba wa Taifa

    Tanzania tuna hazina kubwa sana ya wosia ambao umegusa karibu kila eneo ambalo leo hii tunaouona kama changamoto kwa Taifa. Mimi ni muumini wa falsafa ya ujamaa wa Kiafrika na katika maisha yangu ninatembea na vitabu viwili vikubwa yaani Biblia na Ujamaa. Kitabu cha "Ujamaa" cha mwaka 1968...
  11. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli anapaswa kupewa Heshima ya Baba wa Pili wa Taifa la Tanzania

    Habari za wakati huu, ni matumaini yangu wote ni wazima wa Afya na mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa letu pendwa Tanzania. Tukirejea kwenye mada, aliyekuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati John Magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna yake na kwa wakati muafaka ambao amekaa...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mnapomuita Magufuli baba wa Taifa, mnakuwa mnamaanisha nini?

    Nimesikia baadhi ya watangazi wa TV hasa TBC wakimuita Magufuli baba wa Taifa, je wanamaanisha nini? Je, Taifa Lina mababa wawili? Je, Nyerere kawa babu wa Taifa? Je ,Nyerere tushamsahau na hana umuhimu tena kwa Taifa letu? Naombeni tusaidiane majawabu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tusijasahaulishe Kimakusudi japo tupo Majonzini, ila Baba wa Taifa Tanzania ni Mmoja tu Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

    Waliomfuata ni..... Mzee Ali Hassan Mwinyi: Baba wa Mageuzi Tanzania. Hayati Benjamin William Mkapa: Baba wa Uchumi Tanzania. Mzee Jakaya Mrisho Kikwete: Baba wa Mapinduzi ya Kilimo Tanzania. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli: Baba wa Utekelezaji wa Miundombinu Tanzania. All - Rounder ( alias...
  14. Swahili AI

    JamiiForums Tanzania Je, kuna makala yoyote ya Baba Wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?

    Habari wana JF, Hivi kuna yoyote aliwahi kuona makala (documentary) inayohusu maisha ya Muasisi wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere? Mimi binafsi sijawahi. Ila ingekuwa fursa nzuri yakaandaliwa kwa ajili ya vizazi vijavyo na uzuri zaidi mkewe mama Maria bado yupo anaweza akachangia mengi.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anailea familia yake kama Baba wa Taifa alivyoilea yake?

    Wadau, Huu ni uzi wa swali. Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake. Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Miaka 21 baada ya kifo cha Baba wa Taifa, mgombea yupi anabeba maono ya Mwl. Nyerere?

    Leo ni takribani miaka 21 tangia kifo cha muasisi wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere. Tangia kifo cha Baba wa Taifa mnamo Oktoba 14, 1999, Swali kubwa kwa watanzania lilikuwa ni 'Nani atabeba maono ya Baba wa Taifa katika kuiendeleza Tanzania?.' Huu ni mwaka wa uchaguzi na watanzania...
  17. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Walioandika Kitabu cha Biography ya Hayati Baba wa Taifa wamekosoa sana. Sidhani kama hiki kitabu kilihaririwa

    Mathalani ukisoma Ukurasa wa 70 na 71 wa Volume 1 kilichoandikwa na Saida kuna statements ngumu ambazo nawasihi mkasome wenyewe na nisingependa kuziweka hapa kwa sababu ya masuala ya Haki Miliki nk. Kwa kweli nimekatishwa tamaa kwa sababu kitabu hakitasaidia kupasisha historia nzuri ya waasisi...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CCM kama kweli tunataka 'Kumuenzi' vyema Hayati Mzee Mkapa na hata Baba wa Taifa tukae mbali na 'Unafiki' huu wa Kidemokrasia

    Taasisi ya Tulia Trust imetoa mkopo wa bodaboda 21 zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 50 kwa vikundi mbalimbali vya waendesha bodaboda katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Nipashe. ----------- Ni Mpumbavu (Popoma) tu pekee ndiyo anaweza asigundue kuwa hii tayari ni 'Pre Campaign' ambayo huyu...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi alikuwa na nafasi ya kuwa Baba wa Taifa wa pili baada ya Nyerere ila maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo

    Ni Jambo lililo wazi kwamba Mzee Mwinyi ni mtu mwema mpole mnyenyekevu na mkarimu asie na makuu. Alipaswa kuwa na nguvu baada ya Mwalimu kuondoka kwasababu ya kigezo cha seniority list. Lakini maboko yake yalimkosesha hadhi hiyo na kupewa Mkapa. Hebu fikiria mfano huu mdogo. Eti yeye Mzee...
  20. Ng'wamapalala

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mwl. Nyerere alizoea kuishi kwa uongo na udanganyifu

    Katika mwendelezo wa kupinga mawazo na mfumo wa utawala wa Mwl. Nyerere. Tundu Lissu amepasua jipu ambalo wengi huwa wanaogopa kulipasua pale aliposema kuwa Mwl. Nyerere alikuwa ni "msanii wa kisiasa" kwa sababu aliyokuwa anayasema siyo yale aliyokuwa anayatenda kuhusiana na suala la Muungano...
Back
Top Bottom