baba wa taifa

  1. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ipi faida ya Mzee Alli Hassan Mwinyi kuwepo Dodoma kama Baba wa Taifa aliyebakia?

    Upo uwezekano kuwa mzee wetu Alli Hassan Mwinyi alipewa uongozi wa nchi bila kuwa na upeo imara wa kiuongozi. Tofauti kabisa na wazee wenzake, huyu amekuwa hata haelewi umuhimu wa uwepo wa katiba Tanzania. Haelewi maana ya uongozi wa katiba katika nchi. Ni aibu kwa mzee kama Mwinyi ambaye...
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Edwin Mtei aliposikitishwa na Tundu Lissu kumtusi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere

    Tundu Lissu na rekodi yake ya kisiasa, ati sasa naye anautaka Urais. ............... APR 17 EDWIN MTEI ASIKITISHWA NA ALAANI KITENDO CHA TUNDU LISSU KUMTUKANA BABA WA TAIFA, MWL. NYERERE Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar: Mchango wa John Okello (Che Guevara wa Afrika Mashariki) umefutwaje?

    Mwaka 1964 siku thelathini baada ya uhuru wa bandia wa Zanzibar, wanamapinduzi kumi na nne wakiongozwa na mpigania uhuru John Okello aliwaongoza kwenye mapinduzi ya Zanzibar yaliyokuwa na umwagaji mkubwa wa damu. Baada ya mapinduzi kufanikiwa John Okello [kiongozi wa mapinduzi] alichukua jukumu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Julius K. Nyerere: Ikulu ni pahali patakatifu, sio pango la wanyang'anyi

    "Mimi sikuchaguliwa na watanzania ili niifanye Ikulu kuwa Pango la wanyanganyi" Pili naomba tujadili hali ya ikulu yetu, je ni pango la wanyanganyi au ni mahali patakatifu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Barua kwa Baba wa Taifa

    Shikamoo babu Salaam kutoka duniani Tunapoazimisha miaka 20 toka mwenyezi mungu akuvune baada ya kumaliza kazi tunasikitika sana kuona tulio wengi tumesahau uliyotuasa, tumesahau wosia wako. Nakumbuka pale ulipoona uhuru wa Tanzania si uhuru kama nchi nyingine za afrika haziko huru...
  6. Kadhi Mkuu 1

    JamiiForums Tanzania INikihesabu kutoka 14 Oct 1999 hadi 14 Oct 2019 napata miaka 19. Iweje tuadhimishe miaka 20 ya kifo cha Baba wa Taifa?

    Wanabodi, Kila nikihesabu miaka tangu Baba wa Taifa afariki napata 19. Hii ni toka mwaka 1999 hado 2019. sasa ilikuwaje tukaadhimisha miaka 20 tareha 14 October 2019? R.I.P mpendwa wetu JKN. Lengo ni kuwekana sawa hakuna jingine.
  7. PRJ2012

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Miaka 20 ijayo sidhani kama kuna watu tutakuwa hai

    Alichosema Rais wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo katika maadhimisho ya miaka 20 ya kifo cha baba wa taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mkoani Lindi. "Miaka 20 iliyopita baba wa taifa alikuwa hai lakini sasa ametangulia mbele za haki. Miaka 20 ijayo sidhani kama kuna watu tutakuwa...
  8. babalao 2

    JamiiForums Tanzania Mjue Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa undani

    HISTORIA FUPI YA MWALIMU NYERERE MPAKA MAUTI YALIPOMFIKA Tarehe ya kuzaliwa: 13 Aprili 1922 Mahali pa kuzaliwa: Butiama Tarehe ya kifo: 14 Oktoba 1999 Rais wa kwanza wa Tanzania: Alingia ofisini 1964 - 1985 Alifuatwa na: Ali Hassan Mwinyi Dini: Mkristo Mkatoliki Elimu yake Chuo Kikuu cha...
Back
Top Bottom