baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Askari aliyekataa Rushwa na Milioni 10, ashushwa cheo, ni baada ya kukataa kwenda kozi

    Salaam Wakuu, Askari Meshack Samson aliyekataa Rushwa ya Mil 10, ameshushwa cho baada ya kukataa kwenda Kozi baada ya kupandishwa cheo.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Je, ni upepo tu au itakuwa upepo baada ya upepo?

    Eneo lote huku ukanda wa pwani, ni karibu kila familia inauguza, kama sio kila mtu kuugua Mafia iliyochanganyika na homa, kchwa, kiuno n.k Kila mtu ukimsalimu anasema anajisikia homa, sijui kichwa, sijui mwili umechoka n.k Kwanza kabisa nadecrea interest kuwa, Mimi si mwanasayansi na sjasomea...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua jinsi Kijana alivyowafanyia wazazi wake, nimelia sana. Kwanini lakini mtu afanye hivi?

    Huyu ni kijana mdogo dereva wetu hapa ofisini. of course yeye ndo huwa ananiendesha maana alipata mafunzo ya udereva marekani na kuwa anaendesha mabalozi wa marekani n.k sasa tupo naye kazini mwezi wa tano sasa. juzi akawa anasema kuwa baba yake anaumwa mafua makali na kikohozi nikamuuliza...
  4. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Wabunge 38 wa Uganda wakubwa na corona baada ya kutoka Tanzania

    Wabunge 38 wa Uganda wakutwa na corona baada ya kutoka Tanzana, Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa...
  5. Mtoto mkubwa

    JamiiForums Tanzania Nimepata kidonda kikubwa kwenye kichwa cha uume baada ya kunywa malafin

    Wakuu nimemeza malafin kwaajili ya malaria, siku ya pili yake nikahisi maumivu kwenye uume kucheki kuna kama vijipele hivi, nikavichukulia poa kuamka siku ya pili yake limekua donda, yani ni kama jeraha la moto linanikondesha sana kwani siwezi nikasema kuwa ni gonjwa la zinaa coz sijasex...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Walipiza kisasi cha kuua kijana baada ya mwenzao kuuawa na sungusungu Mburahati

    Wanabodi, Siku za nyuma niliweka thread kuhusu mauaji ya kijana Jumanne Jongo kuuawa na sungusungu maeneo ya Beach Boy Mburahati.Kijana huyu anaishi maeneo ya Banda Mabibo. Kijana aliyeuawa anaitwa Abdu ana umri wa miaka 19. Kilichotokea ni kwamba kijana aliyeuawa alikwenda kwenye mziki maeneo...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ridhwani Kikwete awe Rais baada ya Rais Samia

    Kutokana na uzalendo, uadilifu, unyenyekevu, ucha Mungu na mapenzi yake kwa Watanzania basi mtoto huyu wa Rais anafaa kuwa raisi wa Jamhuri ya Muungano. Rais Samia naomba mkumbuke hata kwa kumpa uwaziri wa michezo kwani kijana huyu anauwezo mkubwa wa kuongoza. Imewezekana vipi kwa Huseni...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa mtandao wa www.dq-video.xyz unaohusu malipo baada ya kutazama video

    Habari wakuu? Ningependa kufahamishwa juu ya huu mtandao unaohusika na malipo ya USD 400 baada ya kutazama video online kama ni halali au utapeli. Yeyote mwenye ufahamu wa huu mtandao naomba anipe maelezo.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dotto 'Kuchomoa' Bukoba huenda Leo na Kulwa nae 'akachomoa' huko Sumbawanga

    Taarifa za ndani kabisa ambazo GENTAMYCINE nimezipata ni kwamba hili la Ugonjwa ni sababu tu ila tatizo ni Uvaaji wa Nenbo ya akina 'Samjo Samjo' GSM. Inasemekana kuwa endapo Simba SC jana ingecheza bila Nenbo ya akina 'Samjo Samjo' GSM basi TFF ingeshtakiwa nao kwa Kukiuka taratibu za...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Treni Nairobi-Kisumu yafufuliwa baada ya miaka 15, abiria wakata tiketi kwa mpigo na kufikisha asilimia 90%

    After a 15-year break, the Nairobi-Kisumu passenger train service resumed Friday on a high, with over 90 percent of seats booked by Thursday. Queues were still long at the Nairobi Railways Central Station Thursday evening as families heading to the village for festivities booked tickets. “The...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Yaliyofuatia mara baada ya TANU kuundwa 1954

  12. J

    JamiiForums Tanzania Manyoni : TZS 3.5BL za Rais Samia kujenga shule ya "Singida Girls"

    Kihistoria,Wilaya ya Manyoni ndio Wilaya ya kwanza Tanzania kuwa na DC wa kwanza Mwafrica|Mtanzania kwa lugha nyepesi Manyoni ni miongoni mwawilaya za kwanza kwanza kuasisiwa kabla hata ya Uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 Nikweli kwamba,Wilaya hii kongwe imesahaulika karibu na awamu zote...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Mwanamke huyu 'aliyejiua' baada ya 'Kufumaniwa' Mubashara na Mumewe ndiyo Shujaa wangu wa Kufungia Mwaka 2021

    Marehemu Anna Shirima popote ulipo sasa hapo Kaburini ulikozikwa Mkoani Kilimanjaro GENTAMYCINE nakutunuku Tuzo ya Ushujaa Uliotukuka kwa Kitendo chako kizuri na cha Kimedani pia cha Kujiua baada tu Kufumaniwa na Mumeo ukiwa 'Unakazwa' na Hawara yako. Wala hukutaka Mambo mengi au kupotezeana...
  14. evangelical

    JamiiForums Tanzania WAZEE WA KWAMSISI HANDENI WACHOMOA BETRI GARI YA MRADI YAPOTEA NJIANI BAADA YA KULIPWA MILIONI MOJA KATI YA 15 WALIZOTAKA WALIPWE

    Kuna taarifa za kupotea gari ya maradi wa ujenzi wa barabara ya afrika mashariki inayopita kata ya kwa msisi handeni tanga. mkandarasi wa barabara iyo alikuwa anapeleka gari kwa ajili ya kazi hiyo sasa gari moja halijafika kwa msisi handeni kutokea bandari ya dsm Ujenzi huo unandelea baada ya...
  15. Underthesea

    JamiiForums Tanzania Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

    Mume wangu tulikutana chuo, mimi nikiwa na miaka 20, yeye 21. Tukaanza kuishi pamoja kama mke na mume. Tulikuwa tukiandika majarida mitandaoni ndo tunapata pesa ya kujitunza wenyewe, na ndo pesa nilimsomeshea mdogo wangu kwani mama alikuwa mgonjwa na tuliishi maisha duni sana. Mimi na mume...
  16. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Rick Ross atoka kimapenzi na mrembo mwingine ajulikanaye kama Pretty Vee

    Mtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper Rick Ross yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper Pretty Vee. Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika record label yake ya Maybach Music na vyanzo vya habari vya MTO vinasema kuwa Pretty Vee amekuwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Baada ya Marekani, kwa Urusi nako "ban" Inatuhusu

    Serikali imekuwa ikijinasibu kuwa hatuna mgonjwa hata mmoja wa variant mpya: Lakini kote kushoto na kulia "ban" zinatuhusu: Russia completely bans travel from Botswana, Zimbabwe, Hong Kong, Lesotho, Madagascar, Mozambique, Namibia, Tanzania, Eswatini and South Africa Ramaphosa tayari...
  18. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Rick Ross amwambia Hamisa Mobetto wewe ni wangu baada ya kusifiwa sauti yake

    Hamisa Mobetto amekuwa mama wa ajabu, dada na mtu maarufu kwa watu wengi wanaounga mkono maisha yake ya watu mashuhuri. Ingawa amekuwa akikejeliwa na wengi kuhusu jinsi Diamond Platinumz anavyomchukulia mtoto wake, Hamisa ameonekana kuwa mwanamke shupavu ambaye atafanya lolote ili familia yake...
  19. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Bavicha kwenda uwanja wa Mkapa huku mmevalia rangi nyekundu ni wazi kuwa mliwabagua Yanga, kwa mantiki hii mnadhihirisha CHADEMA ni wabaguzi

    Kwa nini msivae rangi nyeupe? Hii ni wazi kuwa hata kura za wanaYanga hamzitaki huko mbeleni.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Nimeondolewa Zoom baada ya sura yangu kuonekana katika mkutano wa Balozi na Watanzania waishio Canada

    Amedai hivyo kupitia akaunti yake ya twitter: "Balozi wa Tanzania Nchini Canada Mh Mpoki Ulisubisya, alikuwa anaongea na Watanzania waishio Canada kwa njia ya Zoom. Nilipata link na kuingia ktk mkutano huo. Baada ya sura yangu kuonekana, waandaaji wa mkutano waliniondoa ghafla.Nafikiri Rais...
Back
Top Bottom