baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Facebook yafukuza wafanyakazi 11,000 baada ya hasara ya Tsh. Tilioni 13

    Kampuni mama ya Facebook imetangaza uamuzi huo leo kwa maelezo kuwa inalazimika kuondoa 13% ya wafanyakazi wake ili kubana matumizi. Mkurugenzi Mtendaji Mark Zuckerberg amesema katika robo ya 3 ya mwaka mapato yameshuka kwa 46% sawa na Tsh. Trilioni 13. Wafanyakazi walioathiriwa watalipwa...
  2. Mwamposa asingekuwa nabii wa Mungu, angeporomoka kabisa baada ya watu 20 kuuawa kwa kukanyagwa kanisani kwake

    Hata Yesu walimwita muongo, kwanza muujiza wa kwanza tu Yesu anabadili maji kuwa wine, dahdahdeki. Yesu alikuwa anajichanganya na machangudoa, wezi, wakwepa kodi na watu wa aina zote. Mwamposa angekuwa ni nabii feki, leo angekuwa amesha sambaratika kimoja. Akifa mtu mmoja tu ni Big issue...
  3. Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

    Nabii Odumeje wa Nigeria akionyesha mkanda alioupata baada ya kushinda pambano la Kimataifa la Vita ya Kiroho. Nabii Odumeje anasema alienda kuzimu akiwa peke yake na akapigana na shetani wakiwa kwenye ulingo uliokuwa umefungwa pande zote. Hakika ukijidhania umemaliza kuyajua yote, wewe...
  4. Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

    Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo. Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo. 1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke. 2. Form yakwanza...
  5. S

    Baada ya haya nani anastahili kuwajibishwa

    Ninaandika kwa mwandiko wa machozi mengi baada ya kushuhudia kilichotokea Bukoba ziwani namna tulivyoshughulika kuokoa watanzania wenzetu na hata wengine kupelekea kupoteza maisha Sitaki kujikita sana huko maana tuko siku nyengine mpya. Je hii inchi yetu. Imekosa kweli vifaa vya uokaji? Mpaka...
  6. 09/11/2022: Simba Queen inaenda kuirudisha heshima ya Taifa tena baada ya Yanga SC kujaribu kuipoteza

    Mnano 09/11/2022 timu bora kabisa katika ukanda Wa Africa Mashariki na Kati, Simba Queen itakua ikiendelea kuliheshimisha Taifa. Kuanzia 19:00 Simba Queen itakua dimbani nchini Morocco ikipambana na 'Mabingwa Watetezi' Mamelodi Sundowns Queen katika nusu fainali ya CAF Women's Champions League...
  7. Kumfikiria mtu halafu baada ya siku 2 au 3 unamuona

    Hii imekaaje wakuu yaani unamfikiria mtu baada ya siku 2 au 3 unakutana nae njiani ni mazi gaombwe au muujiza wakuu
  8. Lishe ya mtoto baada ya kufikisha umri wa miezi 6

    Mtoto akifikisha miezi 6 unaweza kuanza kumpatia vyakula vingine kidogo kidogo. Mtoto akianza kupewa vyakula nje ya maziwa mapema kabla ya miezi 6 ni hatari kwa afya yake maana mfumo wake wa kusaga chakula unakuwa bado haujawa tayari. Aidha, huongeza hatari ya kupatwa na udumavu/utapiamlo...
  9. Hii ndio kauli ya kwanza ya CCM-Tanzania baada ya Ajali ya Ndege ya Precision Air kutokea

    Salamu za Pole na Rambirambi za Chama Cha Mapinduzi kufuatia Ajali ya Ndege ya shirika la Ndege la Precision yenye usajili 5H -PWF iliokuwa imebeba abiria 39, marubani 2 na wahudumu 2 ikitokea Dar es Salaam kuelekea Bokoba.
  10. Taiwan yarusha ndegevita baada ya kugundua vikosi vya China vilivyo karibu

    Ulinzi wa Taipei umeanzishwa kujibu shughuli za hivi karibuni za kijeshi za Beijing karibu na kisiwa kinachojitawala. Vikosi vya jeshi la Taiwan vimechukua hatua ya kuonya ndege za China na vyombo vya majini vilivyogunduliwa karibu na kisiwa hicho kinachojitawala, hii ikiwa ni pamoja na ndege...
  11. Kwa picha: Hali JKIA baada ya marubani wa Kenya Airways kutangaza mgomo

    Abiria wamekuwa wakipanga foleni katika kituo cha wasafiri wa kimataifa katika uwanja wa JKIA ili kujua hali ya safari zao. Baadhi ya safari zimeahirishwa na wateja wengine kuhamishiwa ndege zingine, lakini wengine wao wamesubiri hadi saa 6 kuhudumiwa.
  12. TANGA: Watumishi wabainika kuongeza idadi ya Wagonjwa wa VVU ili kunufaika na Fedha za AMREF

    Watumishi wa afya katika wilaya ya Muheza waliohusika kusajili wagonjwa hewa 313 wa virusi vya Ukimwi (VVU) ili kuonyesha takwimu zipo juu za wanaoishi na VVU kwa maslahi yao binafsi ikiwemo kujinufaisha na fedha zinazotolewa na shirika la afya la AMREF. Awali akitoa taarifa kwa waandishi wa...
  13. Mrejesho baada ya kukaa mwaka bila kujihusisha na mapenzi

    Mara ya mwisho kujihusisha na mapenzi ilikuwa mwaka jana na mwezi wa 10 hivi, Nikipiga hesabu inakaribia mwaka Mtu wa mwisho kukutana naye ameolewa na ameshajifungua. Baada ya kukaa mwaka bila show haya ndiyo mabadiliko ambayo nayaona. Kila mwanamke namuona ni mzuri, natamani kila mwanamke na...
  14. N

    Baada ya kufuma messages za kumtumia muamala mchepuko, mke aja juu nae achukua kiasi cha pesa huku akiapa kutokirudisha. Busara ni kufanya nini hapa?

    Ndo hivyo wadau! Mke afuma muamala wa 20k kwenda kwa mchepuko huku msg za kushukuru na malavidavi nyingi tu. Mke akasirika na kuzama mfukoni mwa suruali ya mumewe wakati yupo bafuni na kutoka na 30k huku akijiapiza kutoirudisha hiyo kwa madai kuwa anapata tabu kumbe hela zinaenda kwa malaya...
  15. Maxence Melo: Hakutakuwa na haja ya visimbuzi vingi tena baada ya miaka 5

    Awali, Mkurugenzi wa JamiiForums aliulizwa swali na mtangazaji wa EATV kuwa, mwaka 2020 alisikika akisema kutakuwa na mawasiliano bila kuhitaji line za simu, mtangazaji akasema inawezekanaje mtu kupata mawasiliano, kulipa bills nk bila kuwa na line za simu? Akijibu swali hilo Mkurugenzi...
  16. Baada ya Act wazalendo kuwapiga bao Chadema kisiasa. Chadema wanaeneza uongo kuwa wamejenga ofisi mikoani.

    Jiwe la msingi limeandikwa kwa mark pen. Jengo ambalo ni duka la wananzengo. Huu ni utapeli mkubwa sana wa kisiasa.
  17. Baada ya Muziki wa dini, mziki namba mbili ni Hip Hop

    Hii tathmini nimeifanya kwa muda mrefu sana, takribani miaka 20 sasa. Nimejiridhisha kabisa baada ya miziki ya dini basi mziki unaofuata ni Hip Hop. Hip Hop ni jina lenye maana kubwa, pana na muhimu zaidi kama mtu utalifuatilia kiundani zaidi. Mfano Manju Kool Herc alisema, "Hip Hop ni kemia...
  18. I

    Mradi kusimama baada ya uzinduzi

    Ndugu wana jamvi, Natafuta heading yenye taarifa inayoonyesha mradi ukisimama baada ya uzinduzi. Mfano kiongozi mkubwa (Rais, au waziri anazindua mradi wa maji, umeme au ujenzi. Halafu baada ya hapo mkandarasi anasepa na hakuna kinachoendelea hapo. Natafuta mwenye link ya story ya miradi kama...
  19. Mbatia amtaka Selasini kulipa fidia ya Tsh bilioni 3

    Mgororo wa uongozi ndani ya Chama cha NCCR- Mageuzi sasa unazidi kufukuta na sasa aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho James Mbatia, kumtaka Kaimu mwenyekiti wa chama hicho, Joseph Selasini, amlipe fidia ya Sh3 bilioni kwa kile anachodai kuwa ni kumkashfu. Mbatia amefungua kesi hiyo dhidi ya...
  20. Baada ya zoezi la kugawa gesi tarajieni yafuatayo...

    N.G.O inayojihusisha na tafiti itaanzisha kura za maoni/maruhani na matokeo yatakuwa % nyingi zitaonyesha anapendwa. Tayari kiongozi wa hiyo N.G.O. aliyekoswakoswa na m-lakezone alishachukua chake kwa ajili ya zoezi hilo pale ofisi za Gaspiano. 2024 Muajemi atalinunua gazeti maarufu ambalo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…