Jinsi nilivyopata hofu baada ya kutembeza na Jimama

Von_Lufuta

JF-Expert Member
Mar 19, 2023
1,530
3,607
Wadau nawasalimu tena kwa mara nyingine. Najua mpo fresh na mambo yanatembea hata kama ni kigumu.

Leo nimeona niwape mkasa ambao nimeuhifadhi kwa muda mrefu kidogo nikiwa nasubiri nipate uhakika wa afya yangu kama nipo salama au nimepata BOKO haramu.

Ipo hivi, Miaka ya nyuma kidogo kipindi ninasoma Dsm chuo, katika kuperuzi peruzi Facebook nilikutana na picha moja ya Mwanamke ambae anaishi mkoa niliyokuwa nimetokea. Ni mtu mzima ambae mwanae wa kwanza ninamzidi miaka minne tu. Kimaumbile ni zile sampuli za majimama manene ingawa urefu ninamzidi kabisa. Nilituma ombi la urafiki na tukapata kuwa marafiki. Sikuwa namfahamu vyema kipindi hicho japo sura yake haikuwa ngeni. Hata kumtumia friend request ni kwakuwa nilipita kufanya research kwenye profile yake kwanza na kukuta yupo mkoa niliopotokea.

Nilivutiwa nae ila kiuhalisia ni mkubwa sana na anaweza kata kunizaa ila nilitaka kufanya tu kurusha ndoano tupu nione kama samaki huwa wanajichanganya au la. Nikachokoza kwa sms messenger akajibu. Tukaendelea hadi muda flani maji yamefika shingoni kwa maswali alikuwa ananiuliza, ikabidi niende upya kutembelea account yake nikakuta kuna picha kapost yupo na mwanamke ninaemfahamu, hicho kikanipa wepesi, nikadecode hicho kiunzi. Baada ya kuchat nae sana chemistry ilikaa vyema ikabidi nitupie vocal.. alianza kunipuuza na kuniona kama anaweza kunizaa. Nikamwambia we niaminie tu, kwani age kitu Gani, mbona mie najihisi kukosa amani ninapowasilisha hisia zangu halafu unaniyeyusha, nipe shavu bwana, Nina kifua kwahyo kama hofu yako Siri hapa ndio penyewe, nipo matured enough kuweza kustay pasipo yeyote kuja kujua.

Akawa kakubali, issue ikawa tupo mbali. Nikamwambia nitarudi soon tutaonana. Tukapeana namba tukawa tunachat.

Likizo ikafika nikarudi mkoani, nilikutana nae siku moja eneo la wazi tu japo ilikuwa Giza, nilimnyonya mate hadi akalegea. Siku hiyo hatukuendelea zaidi maana alienda kupika.

Tuliendelea kuwasiliana, likizo ikaisha nikarudi Dar bila kumpelekea moto. Nilikuja kupoteza simu nikawa nimepoteza mawasiliano nae, hata password za Facebook sikuwa nazikumbuka, line alienisajilia sijui hata alikuwa wapi. Ikawa hivyo, siku zikapita nikasahau kabisa...

Nilikuja kumaliza Chuo nikarudi home kuendelea na harakati zangu. Ikafika muda wa kujitegemea nikatafuta chumba sehemu nikapata. Sasa siku nahamia pale nilikuta wapangaji wengine walikuwepo tu Nyumbani na yeye akiwa mmoja wapo. Nikasalimia wote Kisha nikapanga vitu vyangu ndani maisha yakaanza. Hapo yeye alikuwa anaishi na mumewe na mtoto wake wa mwisho. Ilikuwa Kila tukionana ni signal tu zinatembea. Kiukweli sikutaka kuendelea nae tena kwa kipindi kile maana akilini hakuwepo tena.

Kuna siku nimeamka mida ya saa nne asubuhi, Ile natoka tu namkuta nje mlangoni kwake, na vyumba vyetu vilikuwa vimepakana. Watu wengine hawakuwepo, mwenye nyumba alikuwa ndani kwake. Akanisalimia "mambo" nikaitikia poa. Kaanza kuniblame kuwa nilimsusia kwa sababu Gani wakati hatukugombana. Nikajitetea kizushi halafu akaniambia nimtajie namba zangu, nikampa. Akanipigia kuhakikusha sijampa ya roli.

Alivyokuwa mtu wa ovyo Kila mda ananipigia tu mara uko wapi, nikichelewa ananiambia Leo upo kwa mademu zako, nisiporudi ghetto siku hiyo ataniambia mambo ya kupewa miuno na Malaya hadi nikasahau kurudi, mi naona kawaida tu. Muda mwingine yupo ndani na mumewe usiku nasikia kabisa maongezi Yao halafu anachat na Mimi, hadi namtukana aache ujinga, asije akafumwa hapo Mimi nikapoteza Marinda niliyoyalinda kwa miaka yote maana jamaa yake anafanyaga kazi ngumungumu, kwahiyo unajuA kabisa kikiumana lazima anitatue. Hatukufanya chochote, niliishi kwa wasiwasi sana kipindi hicho hadi walipokuja kuhama.

Baada ya kuhama, mume wake alipata safari, yule jimama akawa ananiita niende nikamfyatulie palepale kwake huku akinihakikishia usalama nikamwambia haitatokea. Nikawa nakutana nae usiku tu namnyonya mate namtia mafinga, ananing'ang'ania nikamtindue mi nakataa kwenda kwake, kwangu najua hawezi kuja maana aliishi pale, guest ye mwenyewe anaogopa, nikimwambia palepale tulipokutania pia hataki kwamba hatofrahi.

Siku ya siku tulikutana kwenye 18, nahisi nyege zake zilikuwa kwenye peak maana mumewe alikuwa hajarudi, kalialia ana hamu namimi simjali, ikabidi nimpe ramani. Nilitegemea itakuwa ngumu ila siku hiyo ni kama nilimsukuma mlevi. Tukakutana na ilipigwa GAME ya kijasusi.. aisee majimama yaacheni kama yalivyo. Kitu ipo tight, linajua kuililia, nilichochea pipe hadi nikahisi itavunjikia mule. Ile miguno Kila nikiikumbuka huwa naipiga nyeto... Baada ya pale nikamsindikiza Kisha Kila mtu kwao. Sasa muda huo equilibrium imepatikana baina ya vichwa vyangu ndio nikakumbuka mechi nimeuza..

Siwafichi, nilikosa raha ghafla na kuingia kwenye depression Kali sana, niliwaza future yangu, nilijiona mpumbavu mmoja kujiingiza kwenye jambo ambalo linaweza kuwa na matokeo mabovu sana. Kuna story nitawapa nilipata demu mmoja wa Arusha nae niliuza mechi sababu ya uzuri wake nikataka Ile direct contact ya miili yetu kupata flavor kamili na niliingia kwenye majuto na kuapa sitorudia ila nikaja kurudia kwa hili jamama. Binadamu tunasahau sana..

Nilitamani muda ufike upesi Ili nipate majibu yangu haraka nijue nafanyeje.. nilikuwa kama kichaa, silali, kula nashindwa, Kila kitu kikawa kibaya hata hobbies zangu hazikuwa na mvuto tena, I was died inside. Kipindi hicho sikutaka hata kuwasiliana na hilo jimama ila lenyewe ndio linakomaa tukutane niliparue tena nikawa napiga vyenga tu. Likawa linaniita kazini kwake naenda linaninunulia tu Matunda. Nikachukua maamuzi ya kumuuliza mara yake ya mwisho kupima akanieleza ila nikawa siamini tu.

Nilikuwa ni mtu wa kwenda vituo vya afya mara kwa mara hadi wakanikariri. Nikijisikia ovyo tu naenda kupima BOKO, nikitokea kipele kidogo naenda kupima BOKO.. kibaya zaidi nilikuja kuugua malaria kipindi hicho hicho Cha msongo, aisee, nikajua kwishaaaa... Nililia sana na kuomba Toba kwa Mungu abadili adhabu maana Ile nisingeibeba.. Kuna muda ninafululiza kwenda kupima BOKO hadi nafokewa na wale madaktari na kuniambia nawasumbua. Nilikuwa naona kabisa majibu ya kuniambia siumwi yalikuwa ya uongo. Furaha ilipotea kabisa, nilitamani hata kujitupa kwenye lory liniondoe nitoweke duniani.

Miezi ikapita nikawa narelax polepole baada ya kupiga hesabu nimepima zaidi ya mara nane hospital tofauti tofauti na kuambiwa nipo sawa. Nilienda kupima Final kujua nipoje nashukuru majibu yalikuja vizuri, tabasamu likarudi na nipo sawa sasa baharia mwenzenu.

Nyege zilivyo za kishenzi nikasahau nikaanza kumpanga tena nimrarue ila kabla sijafanikiwa tulikwazana nae jambo fulani na hatuwasiliani tangu hapo..

Nilikaa na hili jambo Ili kuhakikusha nipo safe kwanza ndio nilete khabari kwa bashasha kabisa. Maana ninavyoijua JF ningejikoki kuwasimulia kipindi kile ningekufa kwa comment zenu. Utasikia "Anza kula vizuri Matunda, pumzika muda wa kutosha, jichanganye na ufanye mazoezi"

Hii kitu isikieni tu. Tuwe makini sana ndugu zangu kwenye jitihada za kutafuta Prrrr mpaka Maka (utelezi)

Nawasilisha 🙏🙏🙏🙏
 
Wadau nawasalimu tena kwa mara nyingine. Najua mpo fresh na mambo yanatembea hata kama ni kigumu.

Leo nimeona niwape mkasa ambao nimeuhifadhi kwa muda mrefu kidogo nikiwa nasubiri nipate uhakika wa afya yangu kama nipo salama au nimepata BOKO haramu.

Ipo hivi, Miaka ya nyuma kidogo kipindi ninasoma Dsm chuo, katika kuperuzi peruzi Facebook nilikutana na picha moja ya Mwanamke ambae anaishi mkoa niliyokuwa nimetokea. Ni mtu mzima ambae mwanae wa kwanza ninamzidi miaka minne tu. Kimaumbile ni zile sampuli za majimama manene ingawa urefu ninamzidi kabisa. Nilituma ombi la urafiki na tukapata kuwa marafiki. Sikuwa namfahamu vyema kipindi hicho japo sura yake haikuwa ngeni. Hata kumtumia friend request ni kwakuwa nilipita kufanya research kwenye profile yake kwanza na kukuta yupo mkoa niliopotokea.

Nilivutiwa nae ila kiuhalisia ni mkubwa sana na anaweza kata kunizaa ila nilitaka kufanya tu kurusha ndoano tupu nione kama samaki huwa wanajichanganya au la. Nikachokoza kwa sms messenger akajibu. Tukaendelea hadi muda flani maji yamefika shingoni kwa maswali alikuwa ananiuliza, ikabidi niende upya kutembelea account yake nikakuta kuna picha kapost yupo na mwanamke ninaemfahamu, hicho kikanipa wepesi, nikadecode hicho kiunzi. Baada ya kuchat nae sana chemistry ilikaa vyema ikabidi nitupie vocal.. alianza kunipuuza na kuniona kama anaweza kunizaa. Nikamwambia we niaminie tu, kwani age kitu Gani, mbona mie najihisi kukosa amani ninapowasilisha hisia zangu halafu unaniyeyusha, nipe shavu bwana, Nina kifua kwahyo kama hofu yako Siri hapa ndio penyewe, nipo matured enough kuweza kustay pasipo yeyote kuja kujua.

Akawa kakubali, issue ikawa tupo mbali. Nikamwambia nitarudi soon tutaonana. Tukapeana namba tukawa tunachat.

Likizo ikafika nikarudi mkoani, nilikutana nae siku moja eneo la wazi tu japo ilikuwa Giza, nilimnyonya mate hadi akalegea. Siku hiyo hatukuendelea zaidi maana alienda kupika.

Tuliendelea kuwasiliana, likizo ikaisha nikarudi Dar bila kumpelekea moto. Nilikuja kupoteza simu nikawa nimepoteza mawasiliano nae, hata password za Facebook sikuwa nazikumbuka, line alienisajilia sijui hata alikuwa wapi. Ikawa hivyo, siku zikapita nikasahau kabisa...

Nilikuja kumaliza Chuo nikarudi home kuendelea na harakati zangu. Ikafika muda wa kujitegemea nikatafuta chumba sehemu nikapata. Sasa siku nahamia pale nilikuta wapangaji wengine walikuwepo tu Nyumbani na yeye akiwa mmoja wapo. Nikasalimia wote Kisha nikapanga vitu vyangu ndani maisha yakaanza. Hapo yeye alikuwa anaishi na mumewe na watoto mtoto wake wa mwisho. Ilikuwa Kila tulionana ni signal tu zinatembea. Kiukweli sikutaka kuendelea nae tena kwa kipindi kile maana akilini hakuwepo tena.

Kuna siku nimeamka mida ya saa nne, Ile natoka tu namkuta nje mlangoni kwake, na vyuma vyetu vilikuwa vimepakana. Watu wengine hawakuwepo, mwenye nyumba alikuwa ndani kwake. Akanisalimia "mambo" nikaitikia poa. Kaanza kuniblame kuwa nilimsusia kwa sababu Gani wakati hatukugombana. Nikajitetea kizushi halafu akaniambia nimtajie namba zangu, nikampa. Akanipigia kuhakikusha sijampa ya roli.

Alivyokuwa mtu wa ovyo Kila mda ananipigia tu mara uko wapi, nikichelewa ananiambia Leo upo kwa mademu zako, nisipoeudi ghetto siku hiyo ataniambia mambo ya kupewa miuno na Malaya hadi nikasahau kurudi, mi naona kawaida tu. Muda mwingine yupo ndani na mumewe usiku nasikia kabisa maongezi Yao halafu anachat na Mimi, hadi namtukana aache ujinga, asije akafumwa hapo Mimi nikapoteza Marinda maana jamaa yake anafanyaga kazi ngumungumu, kwahiyo unajuA kabisa kikiumana lazima anitatue. Hatujufanya chochote, nilioishi kwa wasiwasi sana kipindi hicho hadi walipokuja kuhama.

Baada ya kuhama, mume wake alipata safari, yule jimama akawa ananiita niende nikamfyatue palepale kwake nikamwambia haitatokea. Nikawa nakutana nae usiku tu namnyonya mate namtia mafinga, ananing'ang'ania nikamtindue mi nakataa kwenda kwake, kwangu najua hawezi, guest anaogopa, nikimwambia palepale pia hataki kwamba hatofrahi.

Siku ya siku tukikutana kwenye 18, nahisi nyege zake zilikuwa kwenye peak maana mumewe alikuwa hajarudi, kalialia ana hamu namimi sijali ikabidi nimpe ramani. Nilitegemea itakuwa ngumu ila siku hiyo ni kama nilisukuma mlevi. Tukakutana na ilipigwa GAME ya kijasusi.. aisee majimama yaacheni kama yalivyo. Kitu ipo tight, linajua kuililia, nilichochea pipe hadi nikahisi itavunjikia mule. Ile miguno Kila nikiikumbuka huwa naipiga nyeto... Baada ya pale nikamsindikiza Kisha Kila mtu kwao. Sasa muda huo equilibrium imepatikana baina ya vichwa vyangu ndio nikakumbuka mechi nimeuza..

Siwafichi, nilikosa raha ghafla na kuingia kwenye depression Kali sana, niliwaza future yangu, nilijiona mpumbavu mmoja kujiingiza kwenye jambo ambalo linaweza kuwa na matokeo mabovu sana. Kuna story nitawapa nilipata demu mmoja wa Arusha nae niliuza mechi na nikiingia kwenye majuto na kuapa sitorudia ila nikaja kurudia kwa hili jamama. Binadamu tunasahau sana..

Nilitamani muda ufike upesi Ili nipate majibu yangu haraka nijue nafanyeje.. nilikuwa kama kichaa, silali, kula nashindwa, Kila kitu kikawa kibaya hata hobbies zangu hazikuwa na mvuto tena, I was died inside. Kipindi hicho sikutaka hata kuwasiliana na hilo jimama ila lenyewe ndio linakomaa tukutane niliparue tena nikawa napiga vyenga tu. Likawa linaniita kazini kwake naenda linaninunulia tu Matunda. Nikachukua maamuzi ya kumuuliza mara yake ya mwisho kupima akanieleza ila nikawa siamini tu.

Nilikuwa ni mtu wa kwenda vituo vya afya mara kwa mara hadi wakanikariri. Nikijisikia ovyo tu naenda kupima BOKO, nikitokea kipele naenda kupima BOKO.. kibaya zaidi nilikuja kuugua malaria kipindi hicho Cha msongo, aisee, nikajua kwishaaaa... Nililia sana na kuomba Toba kwa Mungu abadili adhabu maana Ile nisingeibeba.. Kuna muda ninafululiza kwenda kupima BOKO hadi nafokewa na wale madaktari na kuniambia nawasumbua. Nilikuwa naona kabisa majibu ya kuniambia siumwi yalikuwa ya uongo. Furaha ilipotea kabisa, nilitamani hata kujitupa kwenye lory liniondoe nitoweke duniani.

Miezi ikapita nikawa narelax polepole baada ya kupiga hesabu nimepima zaidi ya mara nane hospital tofauti tofauti na kuambiwa nipo sawa. Nilienda kupima Final kujua nipoje nashukuru majibu yalikuja vizuri, tabasamu likarudi na nipo sawa sasa baharia mwenzenu.

Nyege zilivyo za kishenzi nikasahau nikaanza kumpanga tena nimrarue ila kabla sijafanikiwa tulikwazana nae jambo fulani na hatuwasiliani tangu hapo..

Nilikaa na hili jambo Ili kuhakikusha nipo safe ndio nilete khabari kwa bashasha kabisa. Maana ninavyoijua JF ningejikoki kuwasimulia kipindi kile ningekuoa kwa comment zenu. Utasikia "Anza kula vizuri Matunda, pumzika muda wa kutosha na ufanye mazoezi"

Kuwa makini sana umenusurika
 
Chai
 
Kuna limama niliwah kuwa nalo lilikuwa na dalili za ngoma na watu wengi pale mtaan kwake walikuwa wanaamin hvyo maana kwanza lilikuwa limejicream sana ingawaje lilikuwa leupe,afu mdomo kama umeungua hv

Ila kabla ya kulana tulipima na tukawa tupo sawa,baadae nakuja kuambiwa kuwa mtu akiwa anatumia ARV's vizur vipimo huwa vinaonesha hana

Ila mwanzo mwanzo nilikuwa nalipelekea moto hatar na lilikuwa na kambusus tight katamu sana na viuno lilikuwa linajua kuvikata

Lakin ajabu ile asubuh lilikuwa halipend kabisa kutiana,baadae nilianza kuhis labda linanibania nisije nikalichubua likaniambukiza,baadae kwasababu ya kuwaza mambo ya ngoma ngoma nilianza kukosa hamu nalo hadi nikawa nakosa hisia nalo tukawa tumeachana kiaina na baadae lilisafir kurud kwa mumewe
 
BOKO ni habari nyingine, waache waseme hizi ni chai. Huu Uzi kuna siku wataukumbuka. Ni Kama WARAKA WA AMANI KWA WAYAHIDI.. SIKU WAKISHINDWA KULA NA KUNYWA NDIO WATAUREJEA
 
Kuna limama niliwah kuwa nalo lilikuwa na dalili za ngoma na watu wengi pale mtaan kwake walikuwa wanaamin hvyo maana kwanza lilikuwa limejicream sana ingawaje lilikuwa leupe,afu mdomo kama umeungua hv

Ila kabla ya kulana tulipima na tukawa tupo sawa,baadae nakuja kuambiwa kuwa mtu akiwa anatumia ARV's vizur vipimo huwa vinaonesha hana

Ila mwanzo mwanzo nilikuwa nalipelekea moto hatar na lilikuwa na kambusus tight katamu sana na viuno lilikuwa linajua kuvikata

Lakin ajabu ile asubuh lilikuwa halipend kabisa kutiana,baadae nilianza kuhis labda linanibania nisije nikalichubua likaniambukiza,baadae kwasababu ya kuwaza mambo ya ngoma ngoma nilianza kukosa hamu nalo hadi nikawa nakosa hisia nalo tukawa tumeachana kiaina na baadae lilisafir kurud kwa mumewe
Duh.
 
Back
Top Bottom