Rais Samia kapiga kipyenga,
Sasa siasa za ushindani wa sera, vyama na watu wenye mvuto, haiba na weledi wa kutetea wananchi zitaanza.
Baada ya Magufuli kudominate single handedly siasa za nchi kwa kuwaweka lock up vyama vya siasa, wapinzani au wenye maoni tofauti NDANI ya CCM kupigwa pini...