baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania DSM TO MORO NA MBEYA TO MAKAMBAKO TAZAM ROAD HIVI NI VIPANDE VYA BARABARA VINAVYO UNGANA MAKAZI NA BAADA YA MIAKA MITANO YATAKUA YAMEUNGANA

    Moja ya ya vipande ambayo vinasheeni makazi katika tazam road ni dsm to morogoro km 195na mbeya to makambako km 172 vina fanana ni vipande ambayo baada ya miaka mitano makazi yatakuwa yameungana kutokana na ukuaji wa vimiji vya barabarani
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kupunguza Mawazo Baada Ya Kuachwa.

    Unapoachwa na mtu umpendaye inauma. Hasa ukifikiria kwamba huyo mtu mlikua mnaendana sana. Mlikua mnaelewana. Mawazo huwa ni mengi, lakini kitu kinachotokea ni kwamba unajikuta huwezi waza kitu kingine zaidi ya mawazo ya kuachwa. Kila ukiwaza unaumia. Unaona mambo ni mabaya kila sehemu, hupati...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Feisal Baada ya Kushindwa Kesi dhidi ya Yanga

    Post ya Feisal baada ya Maamuzi ya kamati na hadhi ya wachezaji ya TFF
  4. JamiiForums Tanzania Papa amvua Upadri Padri Munyeshyaka kwa kukiri kuzaa mtoto wa Kiume

    Padre Munyeshyaka raia wa Rwanda aliyekuwa akihudumu katika parokia ya Evreux kaskazini kwa Ufaransa amefukuzwa upadre na hakubaliwa kuhudumu popote duniani kwa kosa la kukiri kuwa na mtoto wa maika kumi. Padre Munyeshyaka pia anahitajika nchi Rwanda kwa makosa ya mauji ya kimbali nchini humu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hivi sasa hivi bado kuna wanaume wakiombwa hela muda mfupi baada ya kutongoza wanatoa?

    Group yangu ya wana wote wakipigwa vizinga na wadada waliotongoza siku moja kabla wanakataa, hapa mtaani hadi madogo wa kiume wanaosoma sekondari wanajua hiyo style ya utapeli, nilishangaa sana kuona mtoto wa kiume wa form 2 akimwambia mwenzake, "huyo ukimtumia hela, ghetto kwako hatokuja, na...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwambe: Kisasi cha Cairo kilivyolipwa Casablanca baada ya miaka 20

    KISASI cha miaka ishirini iliyopita kimelipwa Ijumaa usiku katika Uwanja wa Mohamed V, pale Casablanca. Kisasi cha watu wa Afrika Kaskazini dhidi ya Simba. Maumivu yalikuwa makubwa wakati Simba walipoitoa Zamalek kwa penalti katika uwanja wa Taifa wa Misri miaka ishirini iliyopita pale Cairo...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke alikuwa anaonyesha u-wife material ila baada ya kumwambia sitafuti business partner nataka mke basi kaanza kutafuta njia ya kuondoka

    Wanawake jifunzeni basi, hata kama mme wako nakushirikisha mara chache kwenye deals zangu za biashara usijiweke uhusika ambao sijakupa. Kuna mwanamke nimezaa nae na anakaa kwenye nyumba yangu huko mkoani, mimi nipo zangu hapa Town nimeajiriwa ofisi fulani na nimepanga ila mara kwa mara huwa...
  8. JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje kama mtu amepanda mahindi kwenye eneo langu akidhani ni pake. Nimemwambia ang'oe

    Pale ambapo mtu kavamia na kupanda mti katika eneo la nyumba (uwanja wangu) kwakuwa nasafiri sana. Hata baada ya kumwambia ang'owe akakubali atatoa au kuruhusu hata mimi nitowe lakini baada ya miezi5 hajatowa. Je, mimi niking'oa nitakuwa na kesi?
  9. B

    JamiiForums Tanzania The story of my life: Ukweli mchungu baada ya kugundua mtoto tulie naye hakuwa mtoto wangu

    Habari zenu wana jamii forum Leo naomba niwaletee kisa cha ukweli kilichotokea miaka kama 9-10 iliyopita wakati wa kuhangaika na Maisha, naomba nikiri mimi sio mtu wa kupost sana mara Nyingi ni mtu wa kusoma tu content za watu. Mtaniwia radhi kwa uandishi mbovu mana sio mtaalamu sana wa...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA - KANISA LABADILISHWA KUWA MSIKITI BAADA YA WAFUASI WA KIKRISTO KUSILIMU

    Sisemi mengi video clip ina yote kwa Kiswahili...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Iringa: Ajinyonga baada ya kuachana na mkewe

    Kijana Carlos Mwamilinga aliyekuwa na miaka 37, amekutwa amejinyonga kwa kamba katika chumba alichokuwa akiishi eneo la Njiapanda ya Mtwivila kwa kile kinachodhaniwa kuwa ni kutingwa na mawazo kupita kiasi kutokana na kuachana na mkewe mwezi mmoja uliopita. Marafiki na majirani wa marehemu...
  12. JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  13. JamiiForums Tanzania Mwili wa bondia Ibrahim Najim aliyefariki baada ya kuanguka ulingoni, kuzikwa Kyela

    Mwili wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Ibrahim Najim unatarajiwa kuzikwa wilayani Kyela Mkoani Mbeya. Najum alianguka ulingoni jumapili iliyopita baada ya kumalizika kwa pambano lake la raundi nne dhidi ya bondia Laurent Segu wa Dodoma na kuwahishwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma...
  14. JamiiForums Tanzania DSTV nimewaheshimu zaidi baada ya kutumia Azam TV

    Sometimes kuna kampuni zinakuwa zinakupa huduma Bora Sana lakini unashindwa kuona Hadi unapoenda kwingineko ukapata huduma mbovu ndo unagundua kumbe wale wengine wako class's ya juu sana. Nimeteseka Sana na Azam TV, kila nikitaka kubadili kifurushi. Wao wanadai nikitaka kubadili kifurushi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Bondia Mtanzania afariki baada ya kupigwa

    Taarifa za hivi punde zinasema kwamba, Bondia Mtanzania, Ibrahim Najum, amefariki dunia leo Aprili 27, 2023 baada ya kukaa hospitali kwa takribani siku tatu akipatiwa matibabu. Bondia huyo Aprili 24, 2023 alikimbizwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma, kufuatia mfadhaiko alioupata na kuanguka...
  16. JamiiForums Tanzania Membe Vs Musiba: Huwezi Kuomba Msamaha Baada ya Hukumu, Msamaha unaomba Wakati wa kesi au Kabla ya Kesi

    Kwema Wakuu! Membe Vs Musiba; Huwezi Kuomba Msamaha Baada ya Hukumu, Msamaha unaomba Wakati wa kesi au Kabla ya Kesi. Kuna Watu bhana wanafurahisha Sana. Hivi uliona wapi mtu akapewa Msamaha pasipo ya yeye kuomba Msamaha? Wapi? Na lini? Uliona wapi mtu anasamehewa ikiwa alipewa muda wa...
  17. JamiiForums Tanzania Libya: Abiria 55 wafariki baada ya boti kuzama

    Boti hiyo iliyokuwa imebeba wahamiaji wakielekea Barani Ulaya imezama katika Pwani ya Libya ilikuwa na abiria 60. Watu watano wamesalimika akiwemo mtoto raia wa Syria, huku Wanausalama wakiwa na kazi ya kuopoa miwili kutoka kwenye bahari. Libya imekuwa ikitumika kama njia kuvuka kwenda Ulaya...
  18. JamiiForums Tanzania Jiji la Dar us Salaama (Dar es Salaam) Tanzania kabla na baada ya mwaka 1868

    Kabla ya mwaka 1868, Jiji linalofahamika kwa jina la Dar es Salaam, halikuwepo kabisa. Badala yake kulikuwa na mji ulioundwa na miji mitatu maarufu, ambayo ni Kunduchi, Mbwamaji na Tindwa. Kila mji ulijitegemea, huku idadi ya wakazi wake wote kwa jumla haikuzidi watu 2,000. Kati ya miji hiyo...
  19. JamiiForums Tanzania Madaktari na wataalamu wa chakula, kwanini haishauriwi kuongeza chumvi baada ya chakula kuiva?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali. Tuchukulie mifano hii: Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…