Uliwezaje kumsamehe mke/mme wako baada ya kugundua kakusaliti?

Bi dentamol

JF-Expert Member
Feb 1, 2014
987
1,912
Ni wiki mbili sasa tangu bidada agundue mme wake anauhusiano wa kimapenz na rafiki yake wa miaka mingi...

Mdada alikua na rafiki yake tangu 2009 ambapo walikutana chuo wakawa marafiki wakaribu sana mpaka wakaitwa mapacha kwan hata nguo walikua wanavaa za kufanana....

Kila mmoja aliweza kwenda kwao na mwenzie kufikia hatua mpaka wazazi wakawa wanafahamiana ...
Badae wote walipata familia ...2019 bidada huyu alimkaribisha mwenzie nyumban kwake mkoa mwingine alipokua ameolewa akaenda kumsalimia kama familia wakamchinjia mbuzi.... Kama miez miwili hv bidada akashangaa ukaribu wa mawasiliano aliokua nao na rafiki yake ukapungua bila sababu ya msingi...

Kama wiki mbili zilizopita ndio akakuta chating kwenye cm ya mume wake za mapenz baina yake na mume wake. Mume anaomba msamaha tu yaishe alipitiwa ...rafiki mtu ndio hapokei cm kabisaa...
Mdada anshindwa kabisa kumsamehe mwanaume anajikuta roho inamuuma tu kila akifikiria ukaribu aliokua nao na rafiki yake wa miaka 13 umevunjika kijinga sana ....

Uliwezaje kumsamehe mwenzie wako ulipogundua kakusaliti?
 
Inategemea na ukubwa wa usaliti, kama nitawafumania live wakiwa kwenye tendo hapo lazima mmoja kaburi litamhusu.

Na ikitoa nimefuma chats kwenye Simu Yake tunaweza tukakaa chini tukayaongea ila nitatoa onyo Kali sana,akizingua Tena siku nyingine ndo itakuwa imetoka hiyo.

Afu unamruhusuje rafiki yako ajenge mazoea yaliyopitiliza na mwenza wako mpaka kubadilishana number za Simu?
 
Ni wiki mbili sasa tangu bidada agundue mme wake anauhusiano wa kimapenz na rafiki yake wa miaka mingi...
Mdada alikua na rafiki yake tangu 2009 ambapo walikutana chuo wakawa marafiki wakaribu sana mpaka wakaitwa mapacha kwan hata nguo walikua wanavaa za kufanana ....
Kila mmoja aliweza kwenda kwao na mwenzie kufikia hatua mpaka wazazi wakawa wanafahamiana ...
Badae wote walipata familia ...2019 bidada huyu alimkaribisha mwenzie nyumban kwake mkoa mwingine alipokua ameolewa akaenda kumsalimia kama familia wakamchinjia mbuzi.... Kama miez miwili hv bidada akashangaa ukaribu wa mawasiliano aliokua nao na rafiki yake ukapungua bila sababu ya msingi...

Kama wiki mbili zilizopita ndio akakuta chating kwenye cm ya mume wake za mapenz baina yake na mume wake. Mume anaomba msamaha tu yaishe alipitiwa ...rafiki mtu ndio hapokei cm kabisaa...
Mdada anshindwa kabisa kumsamehe mwanaume anajikuta roho inamuuma tu kila akifikiria ukaribu aliokua nao na rafiki yake wa miaka 13 umevunjika kijinga sana ....

Uliwezaje kumsamehe mwenzie wako ulipogundua kakusaliti?
Samehe Kama masanja
 
Inategemea na ukubwa wa usaliti, kama nitawafumania live wakiwa kwenye tendo hapo lazima mmoja kaburi litamhusu.

Na ikitoa nimefuma chats kwenye Simu Yake tunaweza tukakaa chini tukayaongea ila nitatoa onyo Kali sana,akizingua Tena siku nyingine ndo itakuwa imetoka hiyo.

Afu unamruhusuje rafiki yako ajenge mazoea yaliyopitiliza na mwenza wako mpaka kubadilishana number za Simu?
Nadhan ni ile shem shem
 
Wanawake mbona mnaweza kabisa kusamehe,ajifariji tu wanaume hawaridhiki.

Ni wanaume tu ndiyo hatuwezi kusamehe usaliti na ukijikaza ukaweza hata jamii inayokuzunguka inakuona spark plugs kichwani kwako zimeungua.
It's a nature,inaaminika kuwa mwanamke akichepuka amependa kutoka moyoni,so kubadili msimamo wake ni ngumu,lkn mwanaume anachepuka kwa tamaa tu,ndio maana kuna wanaume wengine ni wachepukaji sana lkn hasahau familia yake kamwe
 
Inategemea na ukubwa wa usaliti, kama nitawafumania live wakiwa kwenye tendo hapo lazima mmoja kaburi litamhusu.

Na ikitoa nimefuma chats kwenye Simu Yake tunaweza tukakaa chini tukayaongea ila nitatoa onyo Kali sana,akizingua Tena siku nyingine ndo itakuwa imetoka hiyo.

Afu unamruhusuje rafiki yako ajenge mazoea yaliyopitiliza na mwenza wako mpaka kubadilishana number za Simu?
Uwa sitaki mazoea kwa wake za watu na mimi sitaki rafiki amzoee mke wangu
 
Back
Top Bottom