azam

  1. A

    JamiiForums Tanzania Azam TV kwanini mmeamua kipandisha bei ya ving'amuzi vyenu?

    Kwa yeyote anaefaham mantiki ya azam kulazimisha offer ya miezi 3 huku ukiilipia pale unaponunua king'amuzi. Zamani nadhani kwa sehemu nyingi vingamuzi vilikua vyauzwa kwa bei isiyozidi Tsh.150,000 lakini saivi ving'amuzi vyenu vyauzwa mpaka 250,000 huko si kuwaumiza wananchi na wateja wenu...
  2. JamiiForums Tanzania Azam FC ni mtoto wa tajiri anayemtesa mzazi wake

    FIKA Chamazi ukajionee uwekezaji wa Azam FC. Eneo la zaidi ya eka 25 lililosheheni miundombinu ya kumfanya Cristiano Ronaldo au Lionel Messi awe mfungaji bora wa Ligi ya Mabingwa Ulaya na kushinda Ballon D’Or. Hivi sasa wanabadilisha taa zao za uwanjani na kuweka za kisasa za LED zitakazofanya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Edward Charles Manyama kujiunga na Azam FC

    habari mbaya kwetu wana simba, damn
  4. JamiiForums Tanzania Mliokuwa mnapiga kelele Azam Kupata kandarasi ya Miaka 10, Vodacom wamejitoa, fadhilini Ligi japo mwaka Mmoja

    Wale mliokuwa mnapopoma kwa domo kaya kuhusu mkataba wa Azam na TFF kwamba ni muda mrefu na pesa kiduchu tunaomba sasa mtumie fursa ya kufadhili Ligi kuu Bara japo kwa mwaka mmja ili tuone matunda ya midomo yenu. Hii nchi ina majitu yana midomo sana lakini vitendo ni zero, fanyeni ku justify...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini zabuni ya kuonesha Ligi Kuu Tanzania Bara haikutangazwa, kapewa Azam moja kwa moja?

    TFF na AZAM TV zimeingia mkataba wa kudhamini ligi ya soka Tanzania Bara bila ya kutangaza Tenda na Pia hakuna mikataba mirefu kama huubwa miaka kumi.Huu ni ukiukwaji wa utaratibu wa kuonyesha mechi za mpira wa miguu nchini. Duniani kote Tenda zinatangazwa na kila kampuni inatoa ofa lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Azam (SS Bakhresa) Mwenyezi Mungu akupe nini zaidi..!!

    Kwa jina la Muumba na kwa upendo JMTanzania. Mwarabu huyu ametuonesha uzalendo na upendo wa dhati kwa Taifa letu adhimu. WanaMichezo na wanaHabari na wadau wengi watafaidika kwa njia mbalimbali ktk MKATABA na TFF ULIYO WA KIPEKEE hapa Barani Afrika. Waswahili husema mcheza kwao hutunzwa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi na Azam TV Limited kwa pamoja wameingia makubaliano ya kuonesha matangazo ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa muda wa miaka 10 wenye thamani ya Shilingi bilioni 225.6. Kiasi hicho ni kikubwa zaidi kuwahi kutokea Afrika Mashariki na kuifanya...
  8. JamiiForums Tanzania Tukimaliza Kuicheka Simba SC Kufungwa na Kaizer Chiefs FC tusisahau kuwa nasi huku VPL tunaharibu na Azam FC hao wanakuja kutupita

    Kisaikolojia Kumcheka Adui yako Mkubwa kwa Kuanguka ( Kufeli ) Kwake huwa ni Jambo la Kawaida ila halijawahi kuwa Suluhisho la kumaliza Matatizo yako ya kudumu uliyonayo. Tunawacheka Simba SC kwa Kipigo cha Kufungwa Magoli Manne ( 4 ) na Kaizer Chiefs FC juzi ila tusijisahaulishe kuwa nasi huku...
  9. JamiiForums Tanzania Azam TV mechi mnazozirejea wekeni na tarehe

    Sasa hivi naangalia Azam Sports 1 HD pana mechi wameweka kati ya Azam FC na Yanga SC, utaitambua tu kuwa ni marejeo ukisoma kwa chini kushoto neno ' HIGHLIGHTS '. Mechi hii huwezi itambua ni ya lini ila imechezwa uwanja wa Chamanzi, nawashauri wawe wanaweka tarehe mechi za marejeo siku...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mechi Ya Azam FC na KMC Wabadilishwa Muda.

    Mchezo Wa Ligi Kuu VPL Kati Ya Azam FC na KMC uliokuwa uanze Saa 10.0 jioni Umebadilishiwa Muda hadi Saa Moja Jioni....! Source: Blog Ya SalehJembe. Kwa Tafrani lililotokea hapo Majuzi katika Mechi Ya watani ni nini Maoni Yako?
  11. C

    JamiiForums Tanzania Kupeleka mbele Ratiba ya Yanga vs Azam na Yanga vs Biashara United kulifuata kanuni!

    Kwanza nianze jambo moja... Kama utanisoma kwa kuongozwa na Think Tank wa Club ya Simba, yaani Haji Manara, katu hutanielewa! Ni bahati mbaya sana nimetafuta barua kutoka TFF au hata Yanga zinazotoa maelekezo ya kupeleka mbele mechi hizo hapo juu! Pamoja na yote hayo, kama utaweza ku-connect...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ndio Scania zaidi ya 20 za kisasa walizonunua Kampuni ya Azam

    Hii ina akisi hali ya matumaini katika sekta ya biashara nchini Tanzania kwa sasa
  13. JamiiForums Tanzania Aliyemwelewa Zaka za Kazi wa Azam FC anieleweshe

    " Kama Azam FC tukiamua Kumuuza Mchezaji wetu Prince Dube kwa hapa Tanzania ni Klabu moja tu itaweza Bei yetu ila kuna Klabu nyingine isithubutu kwani itauza Jengo lake, Chura walioko Jirani na Magodoro yao yanayododa Madukani " Amezungumza haya leo ( jioni hii ) huko Wasafi FM baada ya...
  14. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 0-1 Azam | VPL | Benjamin Mkapa | April 25, 2021

    Ni mechi muhimu kwa Yanga kuendeleza matumaini kuwania ubingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara na kurejea kileleni ikiwa imeshinda mechi zake mbili zilizopita. Azam baada ya kusuluhu mechi iliyopita na Dodoma jiji itajitahidi kushinda mechi ya leo. Yanga yenye alama 57 na michezo 26 itaikaribisha...
  15. JamiiForums Tanzania Wakati Azam anatawanywa leo Simba wajiandae tarehe 8

    Wakuu habari zenu hapana shaka Simba aka Jobo wamekalia kiti cha uongozi wa ligi kwa muda lkn nimeona wana kelele mingi koko hawa....!! Leo jioni tunachukua pointi tatu muhimu kutoka kwa Azam na kurudi kwenye makazi yetu. Meanwhile nawakumbusha Simba wajiandae kisaikolojia tar 8/05/2021...
  16. JamiiForums Tanzania Leo Azam hatoki Taifa. Yanga tunamchakaza Vibaya sana. Tunashukuru kwa kazi iliyofanyika

    Pamoja na maneno ya kashfa aliyoyasema Saido habari za kula Mayai Viza n.k sisi hatujali na tumemsamehe bado ana utoto. Ila aulize wenzie watamweleza. Na ashukuru kuwa amesafishwa nyota yake sasa anafunga. Angekuwa hataki hayo asingekubali kupelekwa alikopelekwa na wazee.mwenzake Nchimbi si...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi Yanga wafanikiwa kumshawishi Saido Ntibanzokiza kucheza dhidi ya Azam

    Tunashukuru kwa viongozi kuweza mshawishi Saido kucheza match ya leo dhidi ya Azam. Tena baada ya kumwakikishia kuwa atapangwa kuanzia mwanzo na hatotolewa. Kocha mpya ameambiwa kuwa asiwe anamwacha Saido nje ataleta matatizo kwa team. Saido amekubali kucheza dhidi ya Azam na viongozi pia...
  18. JamiiForums Tanzania Azam Tv Morning Trumpet Karume Day 2015 Mahojiano Kati ya Irene Kilenga na Mohamed Said

    AZAM TV KARUME DAY: ABEID AMANI KARUME - "THE MASTERMIND" MAHOJIANO NA IRENE KILENGA 2015 Picha hiyo hapo chini ya Mzee Abeid Amani Karume ilipigwa Dar es Salaam mwaka 1948. Kushoto waliokaa ni Hassan Machakaomo, Selemani Mwinyimadi Chambuso, Mohamed ''Mabosti'' Sultan. Waliokaa kwenye viti...
  19. JamiiForums Tanzania Wazee wa masumbwi, ligi ya kick boxing inaendelea Azam

    Vifuti, mateke ya kutosha, Mawashi, yoko na mai gel za kutosha, Leo kutakuwa na mapambano sita, yote ntakuwa naupdate hapa Michezo yote ina rounds Tatu Pambano la Kwanza Frank Moshi Vs Jafari Juma Mshindi Jafari Juma Pambano la Pili Ally Said Vs Patna Ally Mshindi, Ally Said Pambano la...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana decoder DStv kwa Azam

    Nina decoder ya dstv nataka kubadilishana na mwenye Azam. Location: Dar es Salaam
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…