azam

  1. JamiiForums Tanzania Azam Bagamoyo Sugar waanza uzalishaji

    Hatimaye kampuni ya Azam kupitia kiwanda chake cha Bagamoyo Sugar wameanza uzalishaji rasmi. Je tutgemee, unafuu kwenye bidhaa ya sukari nchini?
  2. JamiiForums Tanzania Neno langu kwa Tajiri Yusuf Bakhressa wa Azam FC

    Umeingia kwa 'Pupa' sana katika Vita ya Kusajili ila umesahau kuwa unazungukwa na 'Chawa' wengi wa Simba na Yanga.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Azam TV fanyeni hivi

    Azam TV nawashauri muweke Channel ya wanaotafsri muvi za Kihindi na kizungu kama akina Dj Mack. Juma Khan mtapata wateja zaidi.
  4. JamiiForums Tanzania GSM ingia kwenye biashara za vyakula. Nafasi ya mafanikio ni kubwa

    GSM ilikuwa kampuni ambayo watu wengi atuijui zaidi ya mo. Na Azam lakini kwa sasa GSM imeshika kasi kubwa kwenye kujitangaza wangekuwa sasa na washauri wazuri ndio kipindi Chao sasa kuingia kwenye ushindani wa biashara za vyakula mfano ngano na biashara zingine naamini wala awahitaji nguvu...
  5. JamiiForums Tanzania TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unapenda kuujulisha umma kuwa umefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine kutoa huduma ya kuvusha abiria baina ya Magogoni na Kigamboni ili kuendelea kuwapa wananchi huduma ya uhakika wakati huu Wakala ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake...
  6. JamiiForums Tanzania Wewe mkata tiketi Azam Fast Feries

    Wewe kijana mkata tiket azam fast feries jana jion dirisha namba 4 hapo Dar una kiburi na huna huduma nzuri kwa wateja. Majira ya jion jana sisi wengine hatujawah kufika Zanzibar hatujui madaraja hatujui nauli kias gani au zile ethics zote za huduma kwa wateja.Unakaa unakunja kunja midomo hujibu...
  7. JamiiForums Tanzania Tuangazie tuhuma walizoelekezewa Azam TV na utetezi wao

    Kuna tuhuma imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa azam tv kupitia kipindi chao cha Toonami walirusha katuni yenye maudhui ya hovyo. Azam TV wametoa utetezi kuwa sio ukweli, na ni uzushi ili kuiharibia kwa jamii Sasa kama tuhuma zimepelekwa ka azam TV, kuchunguza kafanya azam TV na...
  8. JamiiForums Tanzania Azam Fc tunafukuza lini kocha na Agrey Moris na wazee wenzake

    Kocha wa Azam P didy wa bongo zikibaki dakika kumi mpira kuisha huwa anainama kuomba dua muujiza utokee badala ya kuwapa morari wachezaji wake lakini wapi pumzi ya moto wanapelekewa,anafaa kuwa mwana hip hop ila sio mpira Aggrey Moris na wazee wenzake mafao yao pale Nsssf yameiva. Aliyegundua...
  9. JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1-0 Simba| Azam Sports Federation Cup| CCM Kirumba, Mwanza

    Ahlan Wasahlan wana JF Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Yanga Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Ni mchezo unaozikutanisha timu mbili zenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania. Mara ya mwisho kwa timu...
  10. JamiiForums Tanzania Azam FC huu Mpira mlioucheza na Simba SC jana Chamazi mngeucheza katika Mechi zenu zote mmgekuwa "mnademadema' hivyo katika Ligi?

    Wanafiki wakubwa nyie na natamani mno mmalize mkiwa Nafasi ya Saba au hata ya Kumi Ligi Kuu ya NBC ikimalizika. Yaami Michezaji yenu akina Morris, Kangwa, Asamoah, Miguna, Mudathiri na Chilunda inacheza kwa Nguvu na Kukamia pale tu wakicheza na Simba SC ila wakicheza na Yanga SC wanakuwa Laini...
  11. JamiiForums Tanzania Azam Marine yaongeza nauli kwenda Zanzibar, kuanza kutumika kesho Mei 19

    Wale wa kuvuka maji, boti zinatumia mafuta...
  12. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Azam TV Remote Control inauzwa

    p
  13. JamiiForums Tanzania Interview Rais Samia na Azam TV, azungumzia safari, Urais, Mikopo ya Miradi ya Magufuli, Ripoti ya CAG

    Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Tido Mhando wa Azam TV, leo Mei 4, 2022 RAIS SAMIA: HAKUNA FUNDI WA URAIS, HAUZOELEKI Rais Samia Suluhu Hassan amesema nafasi ya Urais haizoeleki kwa kuwa kuna mambo mengi. “Sidhani kama kuna mtu anaweza kusema ni fundi katika nafasi ya Urais, labda...
  14. JamiiForums Tanzania Mukoko Tonombe anukia Azam FC

    Imeelezwa kuwa kiungo wa kazi aliyewahi kucheza ndani ya Yanga, Mukoko Tonombe yupo kwenye rada za mabosi Azam FC ili kuweza kuinasa saini yake. Nyota huyo ni miongoni mwa wachezaji ambao waliweza kufanya vizuri ndani ya Yanga msimu uliopia wakati timu hiyo ilipomaliza ikiwa nafasi ya pili...
  15. JamiiForums Tanzania Yanga 1-1 (7-6 penati) Geita Gold | Azam Sports Federation | Estadio de Bejamin Mkapa

    Mchezo wa kwanza wa robo fainali ya Azam Sports Federation utapigwa usiku huu ambapo Yanga atawakaribisha Geita Gold katika dimba la Benjamin Mkapa. Kwa live updates tukutane hapa saa 1::00 usiku ================= Mchezo umeanza na timu zote zinashambuliana kwa zamu. Dk ya 20: Geita...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli Azam FC timu iliyokuwa inategemewa kuleta mapinduzi ya soka inazidiwa point 23 na Yanga inayoongoza ligi?

    Viongozi wa Azam ni kama walifanikiwa kuingizwa kwenye mtego wa U Yanga na U Simba hususani kulalamikia hujuma timu inayofanyiwa dhidi ya mabeberu hao wa soka hapa nchini na kupelekea wao kutokufanya vizuri. Wakati mwingine wakaenda mbali zaidi na kuhisi pia chama cha soka kimewakumbatia zaidi...
  17. JamiiForums Tanzania Kukataliwa Goli la Simba dhidi ya Coastal, Azam TV Hamtutendei Haki Wateja Wenu

    Kwema Wakuu, Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi...
  18. JamiiForums Tanzania LIGI KUU: Msimamo ulivyo baada ya Yanga kuifunga Azam FC, Simba yazidiwa pointi 14

    Msimamo wa Ligi Kuu Bara ulivyo kwa sasa baada ya Yanga kuifunga Azam FC mabao 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex usiku wa Aprili 6, 2022. Kwa matokeo hayo sasa Simba imezidiwa pointi 14 na vinara hao wa ligi licha ya kuwa Simba wana michezo miwili mkononi.
  19. JamiiForums Tanzania Azam Mungu akupe nini na hapa napo umeshindwa?

    Kweli Azam fc kama jina lake lilivyo limekaa kiurojourojo nahisi wachezaji wake hula iscream tyu, Inasikitisha hata kwa kikosi hiki cha Yanga kibovu umeshindwa kutoa hata sare... Azam wewe utaweza kucheza federation? Round ya kwanza tyu ushatolewa.... dadeki zako
  20. JamiiForums Tanzania Kwa Director kipindi Cha sports AM Azam sports 1 tar 3/4/2022

    Mtangazaji wenu mahamoud bin Zubery anapiga miayo wazi wazi na mbaya zaidi sio tu sauti ya miayo kusikika Bali anaonekana wazi wazi akipiga miayo... Kama Hilo halitoshi pia anakosea kutaja muda wazi wazi saa 10:21 anasema saa saa 10:30, Director huu ni uzembe wa hali ya juu.. Vipi kama siku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…