azam

  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

    Majira ya saa 1:00 usiku, mabingwa watetezi wa taji, Yanga SC watashuka dimbani kumenyana na Azam Fc katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC. Yanga itashuka dimbani kutafuta alama 3 huku Azam Fc nayo ikijaribu kutafuta alama 3 huku ikiwa haina kocha mkuu. Mechi inategemewa kuwa ngumu na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siioni Azam FC iliyo Imara kuifunga Yanga SC iliyokamilika hata kama Tuisila Kisinda hatocheza

    Kuna muda naongea Kiutani ila hapa nimevaa Uhalisia wangu wa Kiuchambuzi na Kimchezo. Ushindi wa Azam FC leo ni Sare ila Kufungwa na Yanga SC ni lazima kama Israeli anavyoihitaji Roho ya Binadamu. Imeisha hiyo.
  3. shonkoso

    JamiiForums Tanzania Azam TV, mnawadanganya watoto kuwa First day of the week ni Sunday Seriously?

    Huwa nafuatilia sana kipindi chenu cha watoto shanghai. Leo asubuhi nikamsikia host wa Kipindi akiwaamanisha watoto kuwa Saturday is the last day of the week and Sunday is the first day of the week and Monday being the second. That's cheating and not teaching.Waombeni radhi watoto wetu.
  4. Ituzaingo Argentina

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua bei ya ving'amuzi vya Azam

    Wakuu, natumaini mko poa kabisa! Naomba kujua bei za ving'amuzi vya Azam kwa sasa, vya antena na dish. Naomba pia kujua kama vitapanda bei hivi karibuni?! Ahsanteni.
  5. Area 56

    JamiiForums Tanzania Azam Max2 haina tofauti na Azam Energy

    Nimekijaribu hiki kinywaji na kugundua hakina tofauti sana na azam energy. Ni copy and paste. Hakuna jipya.
  6. Malle_Hanzi

    JamiiForums Tanzania SoC02 Azam Tv ni Funzo tosha kwa Wajasiliamali na Wafanyabiashara wanaotaka kuanzisha biashara

    Na Malle Hanzi _______ Mwanzoni mwa miaka ya kuanzia 2010 kuja 2020, Tanzania ilibadili mfumo wa urushaji wa matangazo ya vituo vya Luninga kutoka Analojia kwenda Dijitali. Sababu kuu ya kuhama kutoka Analojia na kwenda mfumo wa Dijitali ni upungufu wa masafa (frequency) uliotokea kuanzia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa Kwa timu kama Simba na yanga kukosa kumiliki uwanja..Kwa Nini Azam Wameweza

    Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
  8. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania CONFIRMED: Mechi ya Singida Big Stars vs Zanaco FC itarushwa LIVE kupitia Azam TV

    Watu wa Soka, Sisi ni wasikivu. Tumeamua tukio la BIG DAY lirushwe LIVE kupitia @azamtvtz ili wadau wote na mashabiki wetu watakaoshindwa kufika uwanjani, waweze kushuhudia burudani zote popote walipo! Hivyo, matukio yote ya BIG DAY ikiwemo mechi yetu ya kirafiki dhidi ya Zanaco FC itarushwa...
  9. Palestine Will be free

    JamiiForums Tanzania Ahsante sana Azam!

    Kuhusu Historia iliyowahi kutokea hapo zamani iitwayo Ottoman empire/Osman, nilikuja na ombi la kuongezewa muda sisi kama wadau na wafuatiliaji wa tamthilia hii inayopendwa, inayosisimua na kufuatiliwa na watu wengi. Sina budi kuwashukuru Azam tv, kwa kulifanyia kazi ombi langu, si mimi tu...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania MO acha kujifanya mjuaji. Kisasi kwa ujuaji wako kinaiimarisha Yanga, Azam kakukomoa kwa kuwapa Yanga bilioni 41, SportPesa kamwaga 12

    Yote haya tunayoyaona ni kisasi tu, hapa bongo ukijifanya mjuaji kwenye hizi club za kariakoo basi wanamnenepesha mtani mwenzio ili akuchape gepu. Mo nahisi ana tamaa sana ya kutaka malipo ya juu sana na pale anapokataliwa huwa anawafungia vioo hao aliowakatalia akidhani kwamba ataitwa wakae...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TFF yamfungulia mashitaka Kocha Azam FC kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi

    Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania imemfunguli mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi. Tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo itapangwa na Kamati ya Maadili ambayo tayari imeshapokea malalamiko hayo.
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tunaomba kipindi cha Sports AM cha Azam Tv kianze saa 4:00 asubuhi

    Hiki ni kipindi kizuri sana, tatizo kubwa ni muda wa kuanza kipindi ambapo wengine bado huwa tupo ibadani maana huwa wanaanza saa mbili kamili asubuhi. Kwasisi watu wa zamani, kipindi hiki huwa na Ma-legend wa soka wa zamani huojiwa mubashara studioni na mtaalam Bin Zubery. Tunaomba suala la...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Azam Bagamoyo Sugar waanza uzalishaji

    Hatimaye kampuni ya Azam kupitia kiwanda chake cha Bagamoyo Sugar wameanza uzalishaji rasmi. Je tutgemee, unafuu kwenye bidhaa ya sukari nchini?
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Neno langu kwa Tajiri Yusuf Bakhressa wa Azam FC

    Umeingia kwa 'Pupa' sana katika Vita ya Kusajili ila umesahau kuwa unazungukwa na 'Chawa' wengi wa Simba na Yanga.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Azam TV fanyeni hivi

    Azam TV nawashauri muweke Channel ya wanaotafsri muvi za Kihindi na kizungu kama akina Dj Mack. Juma Khan mtapata wateja zaidi.
  16. ommytk

    JamiiForums Tanzania GSM ingia kwenye biashara za vyakula. Nafasi ya mafanikio ni kubwa

    GSM ilikuwa kampuni ambayo watu wengi atuijui zaidi ya mo. Na Azam lakini kwa sasa GSM imeshika kasi kubwa kwenye kujitangaza wangekuwa sasa na washauri wazuri ndio kipindi Chao sasa kuingia kwenye ushindani wa biashara za vyakula mfano ngano na biashara zingine naamini wala awahitaji nguvu...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TEMESA wakubaliana na Azam Marine kuvusha abiria Kigamboni (Ferry)

    Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) unapenda kuujulisha umma kuwa umefikia makubaliano na kampuni ya Azam marine kutoa huduma ya kuvusha abiria baina ya Magogoni na Kigamboni ili kuendelea kuwapa wananchi huduma ya uhakika wakati huu Wakala ukiendelea kufanyia matengenezo vivuko vyake...
  18. julaibibi

    JamiiForums Tanzania Wewe mkata tiketi Azam Fast Feries

    Wewe kijana mkata tiket azam fast feries jana jion dirisha namba 4 hapo Dar una kiburi na huna huduma nzuri kwa wateja. Majira ya jion jana sisi wengine hatujawah kufika Zanzibar hatujui madaraja hatujui nauli kias gani au zile ethics zote za huduma kwa wateja.Unakaa unakunja kunja midomo hujibu...
  19. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Tuangazie tuhuma walizoelekezewa Azam TV na utetezi wao

    Kuna tuhuma imesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii kuwa azam tv kupitia kipindi chao cha Toonami walirusha katuni yenye maudhui ya hovyo. Azam TV wametoa utetezi kuwa sio ukweli, na ni uzushi ili kuiharibia kwa jamii Sasa kama tuhuma zimepelekwa ka azam TV, kuchunguza kafanya azam TV na...
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Azam Fc tunafukuza lini kocha na Agrey Moris na wazee wenzake

    Kocha wa Azam P didy wa bongo zikibaki dakika kumi mpira kuisha huwa anainama kuomba dua muujiza utokee badala ya kuwapa morari wachezaji wake lakini wapi pumzi ya moto wanapelekewa,anafaa kuwa mwana hip hop ila sio mpira Aggrey Moris na wazee wenzake mafao yao pale Nsssf yameiva. Aliyegundua...
Back
Top Bottom