azam

  1. JamiiForums Tanzania Azam sports media Kwanini Mechi ya Jana CCM kirumba mlifunga kamera upande mmoja tu?

    Baada ya kuitazama Kwa makini mechi ya Yanga na Geita hapo Jana, niligundua ya kuwa Azam sports walifunga kamera upande wa magharibi tu wa uwanja na kufanya matukio makuu yasionekane Kwa ukaribu na usahihi. Azam media ni kampuni kubwa sana kushindwa kuwa na vifaa vya kutosha ni aibu. Tafadhari...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba ns Azam, Mwamuzi hakunyima penati pande zote?

    Mimi ni Yanga na niwe wazi tu siuungi mkono maamuzi mabovu ya Waamuzi na huwa najiuliza ni hatua gani huchukuliwa kwa waamuzi wanaofanya maamuzi mabovu? Binafsi ndio maana siku zote mimi huwa naunga mkono mstumizi ya VAR ingawa kuna watu wanapinga halafu watu hao hao wanalalamika maamuzi mabovu...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeamua rasmi kuishabikia Azam FC

    Habari za mchana wana JF, Nimekuwa shabiki huru katika soka la bongo kwa muda mrefu, sasa rasmi kwa akili zangu timamu nimeamua niwape sapoti na kuishabikia Azam Fc kemwa moyo mmoja, iwe shida na raha katika hali zote zile mimi Azam rasmi. Sababu kuu zilizopelekea kuchukua maaamuzi haya ni; 1...
  4. JamiiForums Tanzania Azam siyo timu ya kubeza, Kocha Mgunda asiwe mbuzi wa kafara

    1. Azam ni timu nzuri, siyo timu ya kuilalamika sana ikikufunga. 2. Mgunda bado anatafuta chemistry ya timu, apewe muda.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Simba, Yanga na Azam katika hadhi ya nchi tatu za E. Africa

    Hivi eti klabu za Simba, Yanga na Azam ukizipa hadhi ya nchi tatu za East Africa, yaani Kenya, Uganda na Tanzania, klabu ipi itaipa nchi gani. Mimi naanza hivi: Yanga = Kenya Simba = Tanzania Azam = Uganda Karibuni.
  6. JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

    Ni bandika bandua leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa, pale miamba ya soka Afrika mnyama mkali mwituni wekundu wa msimbazi, watakapo karibishwa na matajiri wa Azam FC katika kuwania pointi 3 muhimu ili kujiweka vizuri kwenye msimamo wa ligi kuu! Mara baada ya mnyama kutoshana nguvu na mtani...
  7. JamiiForums Tanzania Watu wangu wa Azam nawaaaminia!

    Bila mbambamba most, hiyo mada ishajieleza! Leo Azam nifanyieni kitu special, ile kitu hizi jamaa zitafanyiwa huko kwenye makundi. Nitoleeni stress ya kutokuoga wiki ya tatu sasa, bundle kupandishwa bei kihuni na umeme kuzingua.
  8. JamiiForums Tanzania Yusuf Bakhressa na Mzee Bakhressa hiki ndicho kinaisibu Azam FC yenu kwa 99%

    1. Kuna wapigaji wengi. 2. Kuna wanafiki wengi. 3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi. 4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji. 5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na mafaza. 6. Ushirikina na kurogana sana. 7. Mchoyo wa kuhonga kwa waamuzi (marefa) ambao wanahongwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kocha Denis Lavagne Atupiwa Virago Azam FC

    T A A R I F A Bodi ya Azam FC imesitisha mkataba na Denis Lavagne, kama kocha mkuu, kuanzia leo, Oktoba 22, 2022. Uamuzi huo ni kwa maslahi mapana ya klabu na mustakabali wa mradi wake wa maendeleo ya kiufundi. Denis Jean Lavagne, raia wa Ufaransa, alijiunga na Azam FC Septemba 7 mwaka huu...
  10. JamiiForums Tanzania FT: KMC 2-1 Azam, Samaleko Azam FC

    Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru, Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC. Azam ni timu ya kawaida sana, inakuzwa sana na vyombo vya habari kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulika kitakwimu ni moja tu, nayo ni mnyama Simba SC.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naishauri Azam inunue timu ya Pan Africa na jina liwe Azam Pan Africa

    Ndugu wanamichezo wenzangu, nimefikiria na kuja na wazo kuhusu timu ya Azam, kama itawezekana basi viongozi wa Azam wafikirie kuinunua timu ya Pan Africa na jina la timu iwe Azam Pan Africa. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba Pan Africa bado ipo na ina mvuto lakini uwezo wa kujiendesha...
  12. JamiiForums Tanzania Hashim Ibwe kaimu afisa habari Azam

    Mtangazaji Hasheem Ibwe amekuwa Kaimu Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC kuanzia leo Oktoba 18 hadi itakapotangazwa vinginevyo. #mwanaspoti #mwanaspotiupdates
  13. JamiiForums Tanzania Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Azam kuonesha mechi ya Yanga na Al Hilal

    Naam, baada ya vibonde Al Hilal kunusurika kupigwa kama ngoma uwanja wa Mkapa silaha yao kubwa iliyokuwa imebaki ni kutaka kuchezea mechi gizani, yaani isonyeshwe kwenye TV. Lakini Azam TV wamefanikiwa kupangua baada ya kuwashawishi ma bosi wa Al Hilal kuonyesha mechi hiyo. Ikumbukwe kwamba...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kipa wa Azam kumbe hamna kitu jana kapigwa 5

    Azam jana wamefurukuta kwa waarabu ila yule kipa bonge la mtu kaingia wavuni mars tano Shukrani kws linesman kukataa mabao mawili Azam kunani pale Aliyegundua icecream za ukwaju apewe timu anaonekana ana akili nyingi
  16. JamiiForums Tanzania FT: Al Akhdar 3-0 Azam FC / Confederation Cup / October 8, 2022

    Full time Anakosaaaaaa, kipa wa Azam FC anapangua penati. 90' Al Akhdar wanapata penati. 87' Shambulizi la Al Akhdar mpira unagonga nguzo. 63' Wenyeji wanamiliki mpira na kufanya mashambulizi kadhaa. 50' Azam wameonesha utulivu, mchezo umepungua kasi. Kipindi cha pili kimeanza Mapumziko...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Zamalek yakacha Azam complex, yalipa Sh 116m

    MABINGWA mara 20 wa Ligi Kuu nchini Misri, Zamalek wameilipa Dola za Kimarekani 50,000 (sh. milioni 116) kwa klabu ya Burundi ya Flambeau du Centre kwa kukubali kucheza mechi zote mbili za hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika nchini Misri kwenye Uwanja wa Borg El Arab. Hapo awali klabu hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe bila kuicharura Simba ondoka Yanga nenda Azam

    Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga. Timu hizi ziko hivyo tangu kuanzishwa kwake na kuingia katika sura mpya wakati wa Jerry Muro na Manara. Leo hii Tanzania...
  19. JamiiForums Tanzania FT: Prison 1 - 0 Azam, Ligi Kuu ya NBC

    FT: TANZANIA PRISONS 1-0 AZAM FC 46’—⚽️ Jeremiah Juma NB: Azam hawakupiga Shuti lolote lililolenga lango la Prisons.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam Media kwa Mapinduzi ya Tasni ya Habari Nchini

    Hakika nyie ni magwiji, Watanzania tunajivunia nyie kwa Sasa. Hongereni pia kwa kutoa vipaji vingi vinavyoenda tumika mahala pengine na vingine vinavyotumika mpaka sasa. Azam Media🙌🏻 👉🏻 Ahmedy Ally from Azam to Simba. 👉🏻 Ally Mayai from Azam to wizarani. 👉🏻 Charles Hillary from Azam to...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…