azam

  1. Shark

    JamiiForums Tanzania Kocha Denis Lavagne Atupiwa Virago Azam FC

    T A A R I F A Bodi ya Azam FC imesitisha mkataba na Denis Lavagne, kama kocha mkuu, kuanzia leo, Oktoba 22, 2022. Uamuzi huo ni kwa maslahi mapana ya klabu na mustakabali wa mradi wake wa maendeleo ya kiufundi. Denis Jean Lavagne, raia wa Ufaransa, alijiunga na Azam FC Septemba 7 mwaka huu...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: KMC 2-1 Azam, Samaleko Azam FC

    Mpira umeisha hapa uwanja wa Uhuru, Azam kalala 2-1 dhidi ya KMC. Azam ni timu ya kawaida sana, inakuzwa sana na vyombo vya habari kutaka kuonyesha nchi hii kuna timu kubwa 3. Timu kubwa inayotambulika kitakwimu ni moja tu, nayo ni mnyama Simba SC.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Naishauri Azam inunue timu ya Pan Africa na jina liwe Azam Pan Africa

    Ndugu wanamichezo wenzangu, nimefikiria na kuja na wazo kuhusu timu ya Azam, kama itawezekana basi viongozi wa Azam wafikirie kuinunua timu ya Pan Africa na jina la timu iwe Azam Pan Africa. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba Pan Africa bado ipo na ina mvuto lakini uwezo wa kujiendesha...
  4. Shark

    JamiiForums Tanzania Hashim Ibwe kaimu afisa habari Azam

    Mtangazaji Hasheem Ibwe amekuwa Kaimu Ofisa Habari wa klabu ya Azam FC kuanzia leo Oktoba 18 hadi itakapotangazwa vinginevyo. #mwanaspoti #mwanaspotiupdates
  5. Abu Ubaidah Commando

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Azam kuonesha mechi ya Yanga na Al Hilal

    Naam, baada ya vibonde Al Hilal kunusurika kupigwa kama ngoma uwanja wa Mkapa silaha yao kubwa iliyokuwa imebaki ni kutaka kuchezea mechi gizani, yaani isonyeshwe kwenye TV. Lakini Azam TV wamefanikiwa kupangua baada ya kuwashawishi ma bosi wa Al Hilal kuonyesha mechi hiyo. Ikumbukwe kwamba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kipa wa Azam kumbe hamna kitu jana kapigwa 5

    Azam jana wamefurukuta kwa waarabu ila yule kipa bonge la mtu kaingia wavuni mars tano Shukrani kws linesman kukataa mabao mawili Azam kunani pale Aliyegundua icecream za ukwaju apewe timu anaonekana ana akili nyingi
  8. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania FT: Al Akhdar 3-0 Azam FC / Confederation Cup / October 8, 2022

    Full time Anakosaaaaaa, kipa wa Azam FC anapangua penati. 90' Al Akhdar wanapata penati. 87' Shambulizi la Al Akhdar mpira unagonga nguzo. 63' Wenyeji wanamiliki mpira na kufanya mashambulizi kadhaa. 50' Azam wameonesha utulivu, mchezo umepungua kasi. Kipindi cha pili kimeanza Mapumziko...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zamalek yakacha Azam complex, yalipa Sh 116m

    MABINGWA mara 20 wa Ligi Kuu nchini Misri, Zamalek wameilipa Dola za Kimarekani 50,000 (sh. milioni 116) kwa klabu ya Burundi ya Flambeau du Centre kwa kukubali kucheza mechi zote mbili za hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika nchini Misri kwenye Uwanja wa Borg El Arab. Hapo awali klabu hiyo...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe bila kuicharura Simba ondoka Yanga nenda Azam

    Tanzania ushabiki wa mpira uko juu sana kuliko nchi nyingine zinazotuzunguuka kutokana na aina yetu ya kutaniana kwa kucharurana bila kupigana kati ya Simba na Yanga. Timu hizi ziko hivyo tangu kuanzishwa kwake na kuingia katika sura mpya wakati wa Jerry Muro na Manara. Leo hii Tanzania...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: Prison 1 - 0 Azam, Ligi Kuu ya NBC

    FT: TANZANIA PRISONS 1-0 AZAM FC 46’—⚽️ Jeremiah Juma NB: Azam hawakupiga Shuti lolote lililolenga lango la Prisons.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana Azam Media kwa Mapinduzi ya Tasni ya Habari Nchini

    Hakika nyie ni magwiji, Watanzania tunajivunia nyie kwa Sasa. Hongereni pia kwa kutoa vipaji vingi vinavyoenda tumika mahala pengine na vingine vinavyotumika mpaka sasa. Azam Media🙌🏻 👉🏻 Ahmedy Ally from Azam to Simba. 👉🏻 Ally Mayai from Azam to wizarani. 👉🏻 Charles Hillary from Azam to...
  13. T

    JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA hakikisheni watangazaji wenu (Baraka mpenja,Patrick Nyembera n.k) wanapata elimu ya msingi kuhusiana na michezo wanayoitangaza mubashara

    Amani iwe nanyi. Nikiwa kama mdau wa michezo, napenda kuishauri kampuni ya habari ya AZAM kuhakikisha kuwa uwekezaji wao wanaoufanya katika tasnia ya michezo unaendana sambamba na kuwapa elimu ya msingi (basic education) watangazaji na wachambuzi wao. Niipongeze kampuni ya Azam Media katika...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Azam TV vipi huko, hii App mpya ya Yanga SC haijaathiri mkataba wenu?

    App ilikuwepo miaka 4 naona imefufuliwa , vipi huko wajameni haijaathiri mkataba wenu wazee wa azam tv? si mlipewa exclusive kurusha mambo yao au inakuwaje? Poleni sana ni suala la muda hata you tube account yao wataifanya active tena, palepale mliposhindwana na simba jamaa wakajifanya wapole...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Azam mnaenda kuharibu Mchezo wa Ngumi. Watu wakishaona haya maigizo mara mbili tatu wanaachana na Huu Upuuzi

    Sisi wapenzi halisi wa ngumi tunachukizwa na Upuuzi na dharau ambazo wanazifanya Azam katika mchezo wa Ngumi. Huu si mchezo wa Maigizo. Mtakuja sababisha mtu adhurike au afe ulingoni. Lakini pia hiyo tabia kuna watu wataacha kabisa kufuatilia mchezo wa ngumi. Sababu inaonekana kabisa...
  16. Shamkware

    JamiiForums Tanzania Azam nini shida mmeshindwa biashara au tatizo nini?

    Leo nimezunguka kutafuta kisimbuzi cha dishi cha kampuni ya Azam media kila sehemu hakuna nimeanza kupita kwa mawakala kadhaa wote hawana nikaona niende moja kwa moja mpaka makao makuu pale Tazara pia nikaambiwa hakuna dishi. Nimeshangaa nakujiliuliza nini kinatokea kampuni kubwa kama Azam...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Azam TV Kipindi Maalum Cha Malkia Elizabeth (1926 - 2022) Jaffar Mponda na Mohamed Said Leo Usiku Saa Tatu

    ZUMARI TV AZAM: KIPINDI MAALUM CHA MALKIA ELIZABETH (1926 - 2022) JAFFAR MPONDA NA MOHAMED SAID LEO USIKU SAA TATU Picha ya kwanza Malkia Elizabeth 1953. Picha ya Pili barua ya viongozi wa TAA kwenda kwa Malkia Elizabeth wakimpongeza kwa kuwatawazwa kuwa malkia 1953. Mwandishi kulia akiwa nje...
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Decoder ya Azam ni moja ya Decoder za ovyo/cheap quality ambazo nimepata zitumia

    Nimeshabadilisha remote mara 3. Remote bado mpya unabonyeza Menu yenyewe ina change program. Unaongeza sauti sometimes ina change channel. Unarudi Back inakupeleka kwenye menu. Unaweza bonyeza button hata mara tatu isi respond na hapo umeielekeza kabisa karibu na decoder siyo kwamba ipo mbali...
  19. Mr_Plan

    JamiiForums Tanzania UEFA tunaangalia channel gani kwenye Azam TV

    Kwa Sisi Wadau na Wenye Visimbuzi vya Azam TV.....UEFA Tunacheki Chaneli Gani
  20. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Anaefanya kazi Azam tv sehemu ya ku-reply ajithathimini.

    Aisee Hutu jamaa sidhani Kama anajua kazi yake,sehemu nyingi zenye utata harudii/hazirudii inaweza chukua hata dakika 5 akarudia kidogo tu, Tunaomba ajirekebishe na awe sharp kwenye matukio kufanya reply..
Back
Top Bottom