Qatar 2022 Kwa Sisi wa Kisimbuzi cha Azam ina maana hatupati Kitu? Nasonga Mbele.

Ina maana kwa mimi Mtanzania mwenye kisimbusi cha Azam ndo basi kombe la Dunia Qatar 2022 sipelekwi? Wadau sisi hatutaweza ona hata nusu ya matches? Nimeulizwa hayo maswali sikuweza jibu. Nawasifu sana DSTV kwa kweli.
Tuliwaambia kwamba hakuna kama DSTV mkabisha , waswahili wengi wananunua Azam kwa sababu ya local soccer , sinema zetu na kiswahili
 
Wataonyesha kwa HD?
Hao apo
Screenshot_20221120-163240.jpg
 
Back
Top Bottom