azam

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ally Ahmada anaigharimu Azam FC

    Huyu Mmoroko anawaghalimu sana Azam, na sjui kwa nini kocha nae haoni. Pole yao kwa leo. Ila Azam nahisi leo walikuwa wanamuwaza Feisal maana kuna muda walikuwa kama hawapo uwanjani huku wakikosa magoli ya wazi.
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 2-3 Yanga | Ligi Kuu | Uwanja wa Mkapa / 25.12.2022

    Mchezo huu ni wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga ikiwa kileleni katika nafasi ya kwanza wakati Azam FC ikiwa nafasi ya tatu. AZAM vs YANGA: Katika mechi 11 walizokutana kwenye Ligi Kuu tangu msimu wa 2017/18, Yanga wameshinda mara nyingi zaidi huku sare zikiwa ni mbili pekee. Mchezo wa leo...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kutokana na mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam mechi ya Azam na Yanga itapigika kweli kwa Mkapa?

    Kama vile naona Uwanja utafurika Maji. Mvua hii Kubwa ya Dar es Salaam Kitapigika kweli leo kwa Mkapa Azam na Yanga?
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Huenda Feisal anataka kumtikia nje, Azam inahusishwa ili kupoteza maboya!

    Mjadala wa sasa ni kuhusu Feisal kuondoka Yanga, huku akihusishwa kutaka kuhamia Azam FC. Sio yeye Feisal wala Azam Fc waliosema kuhusu Feisal kuhamia Azam Fc bali ni tetesi za mitandaoni za mashabiki. Kwa udadisi wangu nahisi huu ni mchezo tu ili kutupoteza maboya, lakini lengo halisi la...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Azam animalistic kuwavuruga Yanga, atahamia upande wa pili na ndio tutaheshimiana

    Kwa sasa Makolo wanafurahia haya yanayoendelea Yanga ila nawashauri wafurahie pia pale jeuei ya pesa za Azam zitapotumikia dhidi yao. Tetesi ni zaidi ya mchezaji mmoja wa Yanga kwenda Azam na hapa ndio utajua nguvu ya pesa inataka kutumika kuwavuruga Yanga. Ubora wa Yanga unawatesa sana watu...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kibwana Shomari kutimkia Azam Fc

    Klabu ya AZAM FC inahusishwa na kutaka kumsajili beki wa kulia Kibwana Shomari kutoka Yanga Sc. #sportsplanetupdates
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Azam wameamua kuwa wahuni kama kaka zao sasa ligi kuu itanoga

    Kalimangonga Ongara ni mtoto wa mjini,tangu aichukue timu kuna mabadiliko nayaona. Timu imeamua kuwa ya kihuni kama wahuni wa jangwani na msimbazi. Azam sasa kuna viashiria vya kununua mechi kama wanajangwani Azam sasa kuna viashiria vya ndumba kama msimbazi Azam sasa wanafanya uhuni kwenye...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiufundi bado naiona Yanga SC ni bora kuliko Azam FC na kwamba ina 85% za kushinda leo

    Ukiwatizama Yanga SC katika kila Idara na kuangalia Fitness yao hasa kwa Mchezaji mmoja mmoja na ukawalinganisha na wa Azam FC na current performance yao ambayo ni ya kusuasua bado nawaona Yanga SC si tu ni favourite katika Mzizima Derby ya leo bali pia ni Title Contender ambao nilishasema (japo...
  9. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Azam kurudi mezani na Yanga, kumnunua Fei kwa pesa taslimu pamoja na Iddi Nado

    Ndo inaishia hivyo. Kutoka vyanzo vya ndani, licha ya Yanga kurejesha pesa na kudai mkataba uheshimiwe lakini imeonekana na wazi kuwa hali haitakuwa tena shwari kati ya Fei na Wananchi kwa sasa. Azam baada ya kuchokonoa na kuharibu sasa hawana budi kuyamaliza kwa njia sahihi nayo ni kupeleka...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Feisal Salum (Feitoto) aaga rasmi Yanga

    Umekuwa wakati mzuri sana kuichezea klabu ya Young Africans SC (Yanga) klabu yenye historia kubwa na ya kuvutia chini na Afrika yote. Tumekuwa na nyakati nyingi mchanganyiko, tulifurahi pamoja pale furaha ilipokuja elekeo wetu na tulihuzunika pamoja nyakati mbaya zilipotutokea. Nitakumbuka...
  11. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu kwanini Fei hapaswi kucheza tena Yanga baada ya sakata lake la Azam

    Nasikia kuna breaking news kwamba eti Yanga wamerejesha fedha zilizo lipwa na Fei ili Fei aendelee kucheza Yanga. Ni utoto huu. Mashabiki wa Yanga tayari wamesha Kubali kuondoka kwa Fey. Kama kuna mtu yupo nyuma ya sakata la Fei kwa ajili ya kuwa push viongozi Yanga wa muongezee Fey mshahara...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilitaka nimlaumu Feitoto kuhamia Azam FC ila kwa hiki alichowaambia matajiri wa Yanga SC yuko sahihi

    "Naipambania sana timu yenu kuliko hawa wachezaji wa kigeni mizigo mizigo, ila kila nikiwaambia mniongezee mshahara mnasema hata kupewa huu unahodha wa timu ni heshima kwangu, kwa Wazanzibari na kwamba nisijali mtanifikiria. Mnatudharau mno Wachezaji Wazawa naondoka kwenda kwa wanaojua kujali...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Mazingira haya Tata na ninavyoujua Mpira wa Bongo ulivyo Azam FC ameshafungwa mapema tu na Yanga SC Krismasi

    1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi..... Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi. 2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi...... Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa...
  14. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania TCRA acheni kushiriki kwenye wizi wa vifurushi unaofanywa na AZAM TV

    Azam Tv imekua na tabia ya kutuibia wateja wa vifurushi vya Azam Tv, mteja ananunua kifurushi cha bei kadhaa na chaneli kadhaa kwenye kifurushi husika lakini kabla haujamaliza muda wa kifurushi husika Azam Tv wananyofoa baadhi ya chaneli ulizolipia, huu ni wizi na ni sawa na mwenye basi...
  15. chichiboy1

    JamiiForums Tanzania Marekebisho ya visimbuzi vya Azam

    Kisimbuzi cha Azam kinajizima na kuwaka kinapotaka, ni wakala gani maeneo ya Chamazi anayerekebisha hizi vitu manake nilienda kwenye duka la wakala nilipokinunua (nilinunua mwezi September) fundi wao akasema nitoe elfu 25 abadili LNB na HDMI cable? Naona matangazo yanasema marekebisho ni bure...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kisimbuzi cha Azam kinajiamulia mambo kitakavyo, sikielewi kabisa

    Ukiizima kwa Remote baada ya muda unakuta imejiwasha. Sijui shida ni nini. Na ni mpya haijaharibika kitu. Nazima kila napomaliza kuangalia....lakini baada ya sekunde nakuta ipo On. Ukija kwenye remote nayo ina mauza uza sana. Unaweza ongeza sauti yenyewe ikabadili channel. Ukabonyeza Menu...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Azam FC endeleeni na Hashim Ibwe, Zaka Zakazi mtafutieni chaka lingine

    Hashimu Ibwe ni kijana, ni mweledi, anaufahamu mpira, ana mtaji wa mashabiki zake, anafahamika na ana bahati kweikwei. Au nyie hamuoni?
  18. N

    JamiiForums Tanzania Kuona kombe la Dunia kupitia TBC1 katika king'amuzi cha Antena cha Azam

    Habari wajumbe, Naomba kujuzwa kama wanaomiliki ving'amuzi vya Azam vya Antena , wanaweza kuona mechi kadhaa zinazorushwa na TBC1 za Kombe la Dunia. maana nimekuwa nikisikia taarifa zinazokinzana, kuna wale wanaosema , unaweza ukaona na wengine wanasema Azam wanablock TBC1 wakati wa mechi...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Morning Trumpet Azam tv 9 December: Mohamed Said na historia ya Uhuru wa Tanganyika - 1

  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Morning Trumpet Azam TV 9 December: Mohamed Said na Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    MORNING TRUMPET AZAM TV KESHO 9 DECEMBER: MOHAMED SAID NA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA Kesho In Shaa Allah asubuhi saa moja na nusu nimelikwa kuzungumza kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Picha hiyo ni kipindi changu cha kwanza nilichofanya katika Morning Trumpet mwaka wa 2015.
Back
Top Bottom