Azam Marine Zanzibar wekeni huduma ya Lipa namba

Azam Marine Zanzibar wekeni huduma ya Lipa namba

Eswa

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
304
Reaction score
872
Habari za asubuhi.

Imenishangaza sana alfajiri hii, nafika kwenye ofisi za Azam Marine hapa Zanzibar kukata tiketi eti hawana huduma za Lipa namba na kuna mlinzi ana huduma za wakala so unatakiwa utoe kwake kisha ulipie tiketi. Cha ajabu Zan Fast Fery wao Lipa namba.

Kilichoniponza ni kataka kupanda boti yao mpya Kilimanjaro 9, nimejuta sana.
 
Kata tiketi mtandaoni utaona lipa namba...
 
Habari za asubuhi.

Imenishangaza sana alfajiri hii, nafika kwenye ofisi za Azam Marine hapa Zanzibar kukata tiketi eti hawana huduma za Lipa namba na kuna mlinzi ana huduma za wakala so unatakiwa utoe kwake kisha ulipie tiketi. Cha ajabu Zan Fast Fery wao Lipa namba.

Kilichoniponza ni kataka kupanda boti yao mpya Kilimanjaro 9, nimejuta sana.
Hongera mkuu next time wataweka
 
Emu tuone huko mtandaoni kukoje

Unaweza kulipa kwa YAS, Mpesa, Airtelmoney, Azampay au Debit card (Mastercard/Visa...)


Screenshot_20260306_065034_Chrome.jpg
 
Nimeuliza pia kama naweza Lipa kwa visa card wakasema hawana huduma hiyo

Fanya online mzee, usihangaike na hao wa counter....

Fungua hiyo link nimekuwekea ni simple tu...
 
Ofisi zao Dar wana Lipa namba, why upande huu wa Zanzibar hawana.?

Tumia tu online ni simple...

Zanferries na AzamFerries wote wana huduma ya kukata tickets kwa mtandao...
 
Ila binadamu wanapenda kulalamika jameni
 
Back
Top Bottom